Kwanini Balozi Mulamula alikuwa anaonekana smart sana na kuheshimika huko Ugenini?

Hebu futa takataka yako, unaelewa hata unachoandika? Hebu acheni mafumbo ya kipumbavu, Rais ni Taasisi kubwa, tuipe heshima.
Kwahiyo unataka kuniambia mama Samia japo kaenda marekani zaidi ya mara 2, lakin Biden amempuuza tu..
 
Wachaaaa
 
Hapa kwa huyu mama ndiyo 'end of the road'.. Mara unapokuwa nje ya 'system' huwezi kufurukuta tena na hata ukipata dili la Mashirika ya Kimataifa nje ya nchi lazima waombe ruhusa kwa Serikali yako kukutumia..
Kwa sasa atabaki na cheo chake cha Ubalozi tu..
 
Nafasi ya waziri wa mambo ya nje tangu mwanzo ilikuwa ikmnyemelea Tax Stergoma baada ya kutoka SADC ila sijui ilitokeaje akapewa Mulamula?
 


Huyo hajatafuta connection yoyote kwa umri wake atafute connection zinasaidia nini , connection zinamfata mwenyewe

amepelekwa Kua balozi na serikali ya Tanzania , Leo hii anekua Agent wa Marekani baada ya kuanza ku outshine mamlaka ya Tanzania ( hili ndio Kosa lake na amekosea kibongo bongo )
 
Wazungu sio watu wa kawaida wale hata kidogo. Tusijipe moyo kwa mambo ya uongo. Those guys have nukes but we Africans have polygamy.
 
May be CIA walimu-recruit, ndio maana SSH alikuwa anaongelea Siri, may be aliunnguza picha, wajanja wakamnasa anauza classified info
 
Smart kwa hilo komwe kama boga?
 
Huyo alikua balozi wa marekani nchini tanzania.
Viongozi waliopo hawaijui Katiba, hawajawahi isoma yote, huishika na KUAPA bila kujua kilichoandikwa ndani.

Mtu mwenye URAIA pacha aliwezaje kuteuliwa waziri mambo ya nje???

What if ni Agent??🙃🙃🙃. Muda wa matazamio umekwisha, maamuzi magumu yanahitajika.
 
Mnavipa vitu thamani ambavyo havipaswi kupewa thamani. Kupiga picha na Biden hakuna thamani yoyote kwa maslahi ya Tanzania. Mbona hamjielewi nyie watu. Hata huyo Samia angeenda akapiga picha na Biden still kwetu sisi wapiga kura wa Tanzania tuna vipaumbele vyetu tofauti na wanavyofikiria wao au unavyofikiria wewe.
 
Basi sawa. Wana nukes ndiyo lakini si hata north korea wana nukes?
Mkuu, hata hao Pyongyang ni level za mbali sana kutuzidi sisi. Africans wengi tunaendekeza masuala ya hovyo ndio maana hatuendelei sana.
 
MamaSamia2025
 
Mkuu, hata hao Pyongyang ni level za mbali sana kutuzidi sisi. Africans wengi tunaendekeza masuala ya hovyo ndio maana hatuendelei sana.
Unatamani Afrika ipige hatua za maendeleo lakini hatuwezi kufika huko kwa fikra na approach mlizo nazo nyie. Afrika ikitaka kuendelea lazima ijikate kwenye mnyororo wa kuwa vibaraka. Kwani Pyongyang walifikaje hapo? Kwa kujigonga kwa mmarekani? Iran leo hii ni moto wa kuotea mbali. Wamefika hapo kwa kujigonga gonga kwa mmarekani?

Ni kweli Afrika inaendekeza mambo ya ovyo sana tu miongoni mwa mambo hayo ya ovyo ni haya ya kushangilia akina Mulamula kupiga picha na Biden.
 
Mkuu, hivi unafahamu kwamba wakati tunapata uhuru miaka ya 1960s, uchumi katika nchi nyingi za Afrika zililingana na nchi za Asia kama Korea Kusini na Singapore? Leo tupo wapi? Nini kilitokea? Mpaka sasa kipi kimefanywa kurekebisha makosa yale? Mkuu kuwa mzalendo haina maana ya sasa mtu afumbie macho ukweli kama askari wa Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…