Kwamba una doubt Uimara wa tofali za kuchoma kwa kuzifananisha na tofali na sementi??Ishu sio upatikanaji wa tofali laki mbili , ishu ni uimara , nimetoa mfano je yale maghorofa ya posta ya twin tower unaweza kujengea kwa tofali za kuchoma au ni kutaka kuwatoa watu kafara
Una umri gani?!Hivi kwanini Jiji la Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma tofauti na mikoa mingi ya Tanzania, je tofali za kuchoma ni ishara ya umaskini ?
Hapo sikupingi kwenye uharibifu wa mazingira ni sawa mfano mkoa wa mbeya wilaya ya kyela kuna mabwawa mengi sana yanaharibu mazingiraMatofali ya kuchoma yanachangia sana uharibifu mkubwa wa mazingira. Ukataji wa miti na uchimbzji wa udongp.
Mikoa ambayo haya yanafanyika, wamefikia kuchimba udongo kwenye maeneo ya makazi na kusababisha mabwawa ya kutengenezwa na kulwa chanzo cha mazalia ya mbu na wadudu wengine.
Ila ni matofali mazuri sana kutakuwa na uthibiti mzuri. Bei rahisi, mepesi, magumu na unaweza kupata ukuta wa nchi nane. Ni mazuri sehemu yenye tetemeko kama Kanda ya Kati na Kaskazini.
Inawezekana pia ila kwa wajenzi maskini nunua pumba za mpunga tu.Kuna mwamba kasema kuna mashine za kuchomea
Udongo wa tope unafananisha na saruji ?Kwamba una doubt Uimara wa tofali za kuchoma kwa kuzifananisha na tofali na sementi??
Au huzijui??
Kumbe zinachoma vzr sikujua nilijua ni magogo tuInawezekana pia ila kwa wajenzi maskini nunua pumba za mpunga tu.
Tofali ya mfinyanzi kama imechomwa vizuri ni imara zaidi. Hizo hata ulaya wanatumia pia.Kwahiyo unaniambia mfinyanzi ungekuwepo tofali za kuchoma zingekuwa ndio talk of the town
Pumba za mpunga zinivisha tofari vizuri tu kuliko kuni.Kumbe zinachoma vzr sikujua nilijua ni magogo tu
Sehemu tunazotumia hizi tofari kanda ya ziwa wanatumia pumba kwa sababu kupata kuni ni ngumuKumbe zinachoma vzr sikujua nilijua ni magogo tu
Ni kweli wanatumia ila kwa nyumba za chini sio maghorofa marefuTofali ya mfinyanzi kama imechomwa vizuri ni imara zaidi. Hizo hata ulaya wanatumia pia.
Hapo umenipa Data nilikuwa sijuiSehemu tunazotumia hizi tofari kanda ya ziwa wanatumia pumba kwa sababu kupata kuni ni ngumu
Karibu mkuu unaproject nije nikuchomee hizo tofari ?Hapo umenipa Data nilikuwa sijui
Hhhh nataka niwe muasisi wa kuanzisha tofali za kuchoma Dar wengine wafwate trendKaribu mkuu unaproject nije nikuchomee hizo tofari ?
Ni kweli wanatumia ila kwa nyumba za chini sio maghorofa marefu
Hata mimi nilitaka kusema hivi ni kweli dsm kuna udongo wa mfinyanzi ila ni tofauti na mfinyanzi wa mikoani ndo maana dsm ni ngumu sana kuona kichuguuShida sio mfinyanzi; shida ni kiwango cha mchanga kwenye udongo husika. Mchanga unakuwa mwingi sana kwenye udongo; tofali haishiki na utakapo kuja kuichoma haiwi ngumu, inakuwa biskuti sababu ya kiwango kikubwa cha mchanga.
Sio umasikini zile zinaendana aina ya udongo sio kila udongo niwa kuchoma..kuna udongo ukiuchoma ndo unazidi kulainika hivyo kwa hapa dar ni grarama sana labda ukanunue mkoani huko ndo uje kujengea hukuHivi kwanini Jiji la Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma tofauti na mikoa mingi ya Tanzania, je tofali za kuchoma ni ishara ya umaskini ?
Tuna compare Dar es salaam na mikoa ya Tanzania au na miji mingine ya Afrika? Hebu kuwa specific....I disagree mbona big cities kama Blantyre, Lusaka , Harare mpaka Namibia wanachoma tofali na hakuna
Na vp ukifanyia ujenzi uimara upo ?
Kwani Dar matajiri?je tofali za kuchoma ni ishara ya umaskini ?
Mwenye chongo kwa vipofu anaona , ukilinganisha na mikoa mingine Big YesKwani Dar matajiri?
Ukisema ni ishu ya kitamaduni na Background ya wakoloni nakuelewaTuna compare Dar es salaam na mikoa ya Tanzania au na miji mingine ya Afrika? Hebu kuwa specific....
Pia ni ishu ya tamaduni. Miji iliyotawaliwa na waingereza wanapendelea tofali za kuchoma compared na tofali za cement.
Tanganyika/Dar es salaam ilitawaliwa n la Mwarabu then mjerumani ambao wote wana tamaduni za kujenga na mawe au tofali compared to waingereza.
Nenda Nairobi tu hapo utaona....
So kuna effect za culture pia.