Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
-
- #121
Kuna maeneo Dar kuna mfinyanzi mzuri tu ila nimazoea ya watu tuSio umasikini zile zinaendana aina ya udongo sio kila udongo niwa kuchoma..kuna udongo ukiuchoma ndo unazidi kulainika hivyo kwa hapa dar ni grarama sana labda ukanunue mkoani huko ndo uje kujengea huku
Hapo nimekuelewa mh . Kumbe yale matofali ya kuchoma yana limited sizeSasa ile si ili kumaliza haraka, maana hizo tofali za kuchoma zinahitaji huzingatie vipimo yasiwe makubwa kama block za saruji. Ila ni maeneo machache sana yenye udongo mzuri kwa kuchoma tofari nzr, maeneo mengi ni udongo wa mchanga.
Do it utafungua fursa kwa wengineHhhh nataka niwe muasisi wa kuanzisha tofali za kuchoma Dar wengine wafwate trend
Ndioomaana nafanya research kwanza kupitia maoni ya watu nione kama inawezekena kujengea tofali za kuchoma kwa DarDo it utafungua fursa kwa wengine
Hata mikoani siyo kila udongo unafaa kwa tofari.Hata mimi nilitaka kusema hivi ni kweli dsm kuna udongo wa mfinyanzi ila ni tofauti na mfinyanzi wa mikoani ndo maana dsm ni ngumu sana kuona kichuguu
Dsm hakuna ule udongo wa mfinyanzi ambao upo mkoani
Inawezekana tu ni kwamba watu wanafuata urahisi wa kupatikana kwa tofariNdioomaana nafanya research kwanza kupitia maoni ya watu nione kama inawezekena kujengea tofali za kuchoma kwa Dar
Nitatembelea huko nikajioneeTunduma niliona wanachoma tofali zinakuwa nyeupe na unjano kwa mbali. Ule udongo wao mzuri sana kwa tofali hizi
pumba.Kuni. Huku ukigusa mti maaskari kama wote.
kwa miaka hii sidhani kama kuna tofari ya 50 bei imepanda anzia 100, had 350 hukoMkuu bei ya tofali za kuchoma inaendana na size. Kuna tofali utauziwa sh.50, 100, 250 according to it's size.
Kuna ujenzi wa kuta za double na single kutokana na size ya tofali utakajengea. Size ya tofali ya kuchoma haiwez kukupa hasara kutokana na bei ulonunulia
Ubora wa tofali ya kuchoma inategemea udongo na kiwango cha kuiva.
Nimeshaona watu wanatumia udongo wa kichuguu kutengeneza matofali nimeona na sijahadithiwaHata mikoani siyo kila udongo unafaa kwa tofari.
Kwanza udongo wa kichuguu haufai kwa tofari kwa sababu unapasuka na ukichoma zinapukutika sana.
Yes inawezekana kwa sababu pia vichuguu vinatofautiana udongo.Nimeshaona watu wanatumia udongo wa kichuguu kutengeneza matofali nimeona na sijahadithiwa
linakuwa imaraNataka nijaribu ujenzi wa tofali za kuchoma sijui jengo litakuwa imara ?
We jamaa jambo hujui, unauliza halafu ukijibiwa unajikuta Mjuaji tenaUnataka kuniambia tofali za kuchoma unaweza kujengea kama yale maghorofa ya twin tower posta ? Hapana ndg tofali za kuchoma mwisho wake ni ghorofa 2
Malumbano ya hoja yanaidia kuupata ukweliWe jamaa jambo hujui, unauliza halafu ukijibiwa unajikuta Mjuaji tena
sasa kama unajua inaishia ghorofa mbili uliuliza yanini?🤣🤣🤣
Acha Ubishi, sio sifa nzuri
Sawa nitakuwa customer wako no.1Mkizitaka mniambie
vichuguu vingi vina udongo mzuri kwa tofali,udongo wake nimeutumia sanaHata mikoani siyo kila udongo unafaa kwa tofari.
Kwanza udongo wa kichuguu haufai kwa tofari kwa sababu unapasuka na ukichoma zinapukutika sana.
Don't judge a book via outlook, halafu wala hiyo sio Kubwa jingaMalumbano ya hoja yanaidia kuupata ukweli
Lakini nitazingatia ushauri wako nitaacha ubishi lakini pia hilo jina lako la kubwa jinga badilisha maana nakuwa sina imani na ushauri wako nikiangalia jina lako
hata udongo wa mabondeni ni mzuri piaNimeshaona watu wanatumia udongo wa kichuguu kutengeneza matofali nimeona na sijahadithiwa