Sijajua watu wanafukua wapi hela, Kila cku huku dar Nakutana Na land cruiser v8 zenye condition nzuri tena Gari binafsi zenye Plate number d, najiuliza na hii mishahara midogo ya taasisi za kibongo ya laki 8 kwa mwezi, watu wanawezaje miliki Na ku-maintain gari ya Tshs million 80 - million 200 plus?
Anaenunua Toyota v8 kwenye account atakua na tsh ngapi? Ina maana hapa bongo Watu wengi kiasi ni matajiri?
Watz hatuna tu macho. Niliwaambia classmates zangu tukiwa shuleni ambao wengi sasa wapo USA, UK, Nk wakiwa wamechukua uraia wa huko kabisa kwamba Mimi siwezi nikaondoka tza nikaacha utajiri wote huu. Usipotajirika Tza huwezi tajirika popoteUtajiri upo kila mahali
Hakika hili linafanyika.Magar ya serikal meng baada ya 5yrs huwa wanajiuzia wenyew kwa bei za kutupa ndomana wakurugenz huhakikisha wanachkua kitu 0 km ili badae afta5 yrs liwe na hal nzur wauE au wajigawie
Shida kubwa ya afrika imekosa mifumo bora ya uongozi.1. Congo
2.South Africa
3. Tanzania
Mengi tu ya KILA aina karibu KILA sehemu nchi nzima yamejaa, siku hizi wachina wameleta technology nyingi rahisi za uchimbaji vikiwemo vifaa vya kujua wapi na umbali gani ardhini madini yaliyo.Tunawezaje kupata fursa huko kwenye madini?
Sent from my SAMSUNG-SM-N920A using JamiiForums mobile app
Good Spirit mkuu.Watz hatuna tu macho.Niliwaambia classmates zangu tukiwa shuleni ambao wengi sasa wapo USA,UK,Nk wakiwa wamechukua uraia wa huko kabisa kwamba Mimi siwezi nikaondoka tza nikaacha utajiri wote huu.Usipotajirika Tza huwezi tajirika popote
Na rafiki zangu wa Thailand na Srilanka wao ni ndege ni kama uber wanakaa tza wanakusanya madini vijijini wanajaza hao kwao wiki wanarudi wanakaa mwezi tza mzigo ukijaa hao kwao.
Tza ni shambani wanayapeleka madini kwao kuyaongeza thamani kisha wanauza ulaya kwa pesa ndefu.
Usipotajirika TANZANIA utakuwa masikini milele
Congo ndio nchi ya kwanza kwa utajiri wa mali duniani Tza ipo kwenye tano tajiri.1. Congo
2.South Africa
3. Tanzania
Anza na mtaji wa laki moja , [emoji16][emoji16],nunua mawe, saga, osha, etcTunawezaje kupata fursa huko kwenye madini?
Sent from my SAMSUNG-SM-N920A using JamiiForums mobile app
Hakuna tajiri mfanyakazi zaidi ya mawaziri, makatibu wakuu na mameneja wa bank,, wengine wanaganga tu[emoji23][emoji23]Matajiri wengi ni wafanyabiashara.....
Hee!Pia kuna gari nyingi za serikali huwekwa namba za kiraia wakiwa nje ya shughuli rasmi za kiserikali.
Yangoso muachie NgosoSijajua watu wanafukua wapi hela, Kila cku huku dar Nakutana Na land cruiser v8 zenye condition nzuri tena Gari binafsi zenye Plate number d, najiuliza na hii mishahara midogo ya taasisi za kibongo ya laki 8 kwa mwezi, watu wanawezaje miliki Na ku-maintain gari ya Tshs million 80 - million 200 plus?
Anaenunua Toyota v8 kwenye account atakua na tsh ngapi? Ina maana hapa bongo Watu wengi kiasi ni matajiri?
Hahahahah mzungu alicheleweshwa sana huyo😅!Kuna mzungu mmoja alikuja bongo field ,alipofika akaanza kuzunguka mikoa mbali mbali na kujionea jinsi majumba na mahekalu yamejengwa hio haikua ajabu ila ajabu ni Kwamba kumbe hayo majumba na mahekalu ni ya watu binafsi na akaambiwa asilimia kubwa ya hizo nyumba Watu wanajenga Kwa Pesa zao,akashangaa Sana kumbe walivyokua wanaambiwa Afrika maskini akajua watu Bado wanaishi Kwenye huts house kumbe sivyo bwana,
Sasa akauliza viongozi wetu kwanini hua wanaenda kulia Lia misaada kule na wanapewa na maajabu wanakuja kuitumbua Kwa Raha zao huku?
Akajibiwa nature ya mwafrika ni omba omba!
Hakuna gari hapo. Haitulii barabarani, ugonjwa wa kuchomoka tairi ukiwa speed kubwa. Prado ni [emoji706][emoji706][emoji706] sitaki hata kusikia hizo gari.Mkuu, baada ya miaka 5 na mimi ntavuta huyu mnyama ndio roho yangu itulie, View attachment 2051678
Hahahahah unataka kumvuta “KAKADU” mjini 😅 wakati huo kutakuwa kuna kitu kinaitwa Toyota Bz4 hio itakuwa ni ndoto ya watu wengi maana ni kama Tesla kutoka Toyota.Mkuu, baada ya miaka 5 na mimi ntavuta huyu mnyama ndio roho yangu itulie, View attachment 2051678
Prado yako Massawe usifananishe na huyo “Kakadu” mzee baba! Hio prado ya 1999 ndio ilikuwa na huo uhuni wa kuchomoka ball joint.Hakuna gari hapo. Haitulii barabarani, ugonjwa wa kuchomoka tairi ukiwa speed kubwa. Prado ni [emoji706][emoji706][emoji706] sitaki hata kusikia hizo gari.