Kwanini Dar es Salaam magari binafsi aina ya Landcruiser V8 yako mengi sana?

Mkuu yangu ni ya 2010 na nimeuza maana iliwahi nitokea hiyo ishu mara 2, mara ya kwanza Naelekea Dodoma, na Mara ya Pili naelekea Mtwara. SINA HAMU NAYO. Sijui shida ni nini au kwakuwa sio mtaalam wa magari ila PRADO TX hapana.
Mhhh lazima uliuziwa mbovu. Hakuna gari comfortable kama Prado za kuanzia mwaka 2000.
 
Nipe mchongo man na mm napiga hizi mbishe ila sijatoka tuu
 
Embu iweke vizur hiki kipande,ni nan alikuwa na houseboy shoga?

"Halafu zipo pia za mchongo refer kesi ya sabaya ile aliinunua kwa mwarabu 60mill mpaka ikaja kujulikanika kwamba jamaa alikuwa na houseboy shoga."



Gusa link hiyo mkuu utaikuta hiyo habari ya sabaya kuishi na shoga,chini screenshot na link utakutana na V8 ya mill 60

·

 
Sasa Mjomba Kama bongo Maisha Ni marahisi hivi kwanini wewe usifanye huo mchongo mpk ukawa unatafuta kazi ya kua mchanganya cocktail huko mahotelini mkuu?
Sasa mkuu wangu wa kupuliza nikipata mchongo wa kuchanganya koktal unadhani nitalala njaa?
Najua Mimi nikishapata huo mchongo nitaweza endesha maisha na kutengeneza chanel nyingine huko huko
Halafu kingine tupe heshima yetu wachanganya koktal tushatoa watu wa kada Mbali Mbali Hadi Marais na matajiri wakubwa kumbuka Joseph Kabila kabla hajaenda Kongo kua Rais alikua mchanganya koktal Kwenye hotels hapa bongo,Tuna heshima yetu piga salute Kwa Rais na Dj Andy Rajoelina kutoka pale Antananarivo Madagascar
Note: Sina mke,Wala mchumba Sina majukumu makubwa ya kunifanya niwe na matumizi makubwa ya fedha imagine nikipiga deals zangu nikamake 8k per month na tip za hapa na pale nitakua sipo Kwenye kundi la wanyonge according to me!
Did you get me!
You know!
😁😁😁😁
 
Hahah nimekusoma mkuu,no pun intended.All the best mkuu.
 
Ukiwa mjini unaweza hisi matajir ni wengi kuliko maskini
 
Nje wapi mkuu??
 
Tumekuja mapumziko ya Krismass na mwisho wa mwaka hapa mjini. Sikukuu zikiisha tunarudi zetu shamba.
 
sasa hao si ni matajiri tayari ?

Mtu anaeweza ku import mashine za vifaa vya ujenzi mbadala au ku export maparachichi na madini huyo tayari ana milioni around 300 na kuendelea.....

japo sina hakika sana, lakini sioni unawezaje kuanza mradi wa ku export vitu perishable kama matunda kwa mtaji wa milioni 50, mia, mia 50
 
Madini sio lazima uwe tajiri tayari mfano dhahabu za mtoni ni ugali wako,koleo,gunia,umemaliza.madini mengi Tza ni ugali wako tu na dagaa Mdogo mdogo ukipata pesa ndo unanunua vifaa,na technology imekua vipo vingi vya kisasa hela ndogo.
Parachichi kwa milioni 50 still ni nyingi bado kuanzia.
Utajiri ni nguvu na akili na sio Pesa.
Tza maeneo ya kujichimbia madini bila hata kibali yamejaa tele ufiki hata shimo la choo unapata.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliona makala yao moja hivi!

Wana mambo ya kishirikina balaa,
Yaap ushirikina na umasikini vinaendana.
Ushirikina unapunguza uwezo wa kufikiri.
 
Hakuna gari hapo. Haitulii barabarani, ugonjwa wa kuchomoka tairi ukiwa speed kubwa. Prado ni [emoji706][emoji706][emoji706] sitaki hata kusikia hizo gari.
Hizi gari Ni kichomi,
Tatiz lankuchomoka tairi linazihusu zile za 2010 kushuka.

Nadhan hizi za kisasa Ugonjwa wake ni kukosa kutulia barabaran, Hii Ni kwasababu body Ni kubwa afu gari ni nyepesi mno.

Yaan wamechakachua vyuma, bodi Ni nyanya mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…