Kwanini Graduates wengi hawapendi kazi zenye kipato kidogo?

Huwezi kuishi hivi, hata mwezi,
 
Mwaka mzima hujaugua, mwaka mzima hujapata dharula, huna majukumu mengine hata kidogo.
 

Dah we jamaa [emoji23]
 
Wanasema kuku siku hizi sio watamu, na wao pia wanataka wale bata!
 
Hivi unawezaje kuridhika na mshahara wa 150K per month na pia unaanzaje kukaa nyumbani come on fanya kazi kijana.
Kwa Dar, huu ni mshahara wa dada wa kazi anayekula na kulala hapo hapo kwako. Halipi kodi, bili ya maji wala umeme... na hatumii nauli kwenda kazini.
Graduate ukifikia mahali pa kukubali kulipwa 150K kwa mwezi, bora unywe sumu ufe ukale raha mbinguni...😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…