Kwanini Graduates wengi hawapendi kazi zenye kipato kidogo?

Kuishi maisha ya maigizo😂
 
Kipindi wanasoma waliambiwa watalipwa mishahara minono wakiingia kwenye ajira.
 
Mbona ma bar maid wanaishi,makampuni mengi ya ulinzi mishahara yao inachezea 150k 200k hao unafikiri wanaishije na wanafamilia
Ukiona mtu anaishi kwa mshahara huo ujue anaiba.
Ili utoke Goba, mpaka ufike Posta, unahitaji sh elf nne kwa siku... bado hujala. So kuna muujiza gani uka survive kwa laki mbili?
 
sawa but majority ya hizo kazi lazima uanzie entry level.

nani akulipe 700k wakati ndo unaanza.

Wanatakiwa waamke.
Kwani hamna wanaolipa hiyo pesa??

Ninyi ndo mnaishusha hadhi elimu alah
 
Binadamu wote sio sawa wewe hyo 150k unaamini itakutoa sawa wengine awaamini wanaona ni kiduchu nayo pia sawa cha msingi kila mtu ashinde mechi zake za maisha
 
Binadamu wote sio sawa wewe hyo 150k unaamini itakutoa sawa wengine awaamini wanaona ni kiduchu nayo pia sawa cha msingi kila mtu ashinde mechi zake za maisha
hao wanaona kiduchu ni hawana mzee sio kwamba wanazo
 
Hapo uko kwa shemeji hujui hata dada wa kazi analipwa bei gani.
Amka usijetiwa na wewe
 
Wee km unatafuta kazi, tafuta kivyako, sio kuja na ujumlishi wa jambo ambalo huna hakika naloo.

Hebu kaa kwa kutulia.
 
Duh haitakiwi ukae nyumbani jaman tafuta angalau ya laki tatu ,hio laki moja na nusu ni uongo inaishia kwenye nauli na kubaki kidogo sana hata kula haitoshi kwa mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…