Kwanini hii nchi inatuchukia na kututesa sana Waafrika? Tuungane tuisusie

Kwanini hii nchi inatuchukia na kututesa sana Waafrika? Tuungane tuisusie

Asante sana hii historia sijawahi kuisikia, kila siku tunajifunza vitu vipya

Historia kama hizo huwezi kuzipata kwa wanakondoo, sana sana wao akili zao zimejikita waarabu makatili, mashetani walitesa babu zetu na kuwahasi 🤣🤣🤣 mtu mzima na akili zake timamu lakini bado anafikiriaga huo upumbafu tu
 
Ukitaka kufahamu dini ni upuuzi, angalia mada husika then angalia comments.

Watu wamegeuza mada kua Ukristo Vs Uislam, badala ya huyo mwanamke anaedhalilishwa!
 
Kwahiyo mnalazimisha wote tuwe kitu kimoja kuwachukia hawa ndugu zetu katika imani!!!! Ili iwe furaha kwenu sio!

Qur'an [emoji1484]
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqara 2:120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.


الَّذِينَ آتَيْنَاهُمُ الْكِتَابَ يَتْلُونَهُ حَقَّ تِلَاوَتِهِ أُولَٰئِكَ يُؤْمِنُونَ بِهِ ۗ وَمَنْ يَكْفُرْ بِهِ فَأُولَٰئِكَ هُمُ الْخَاسِرُونَ
Al-Baqarah 2:121
Wale tulio wapa Kitabu, wakakisoma kama ipasavyo kusomwa, hao ndio kweli wanakiamini. Na wanao kikataa basi hao ndio wenye kukhasiri.

يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذْكُرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ
Al-Baqarah 2:122
Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni neema yangu niliyo kuneemesheni, na hakika Mimi nikakufadhilisheni kuliko wengineo wote.

وَاتَّقُوا يَوْمًا لَا تَجْزِي نَفْسٌ عَنْ نَفْسٍ شَيْئًا وَلَا يُقْبَلُ مِنْهَا عَدْلٌ وَلَا تَنْفَعُهَا شَفَاعَةٌ وَلَا هُمْ يُنْصَرُونَ
Al-Baqarah 2:123
Na iogopeni siku ambayo hatamfaa mtu mwenziwe kwa lolote, wala hakitakubaliwa kwake kikomboleo, wala maombezi hayatamfaa, wala hawatanusuriwa.


Bhujiku ng'waka mwanike!
Wewe hata mwarabu akikwambia Umpanulie utampanulia...
 
Yaani nyinyi munapita nje wao wako ghorofani wakasikia munaongea kiswahili?

Hii tumbaku ya leo kwa kweli imekolea!!!!!
Sio wakasikia mkuu walituona watu weusi wakabahatisha kutuita kwa kiswahili ndio tukawasikia. Huzijui gorofa za familia uarabun ni ndogo sana mtu anaongea unamsikia. Na tulikuwa mkoan sio mjin sehem mojainaitwa al alain kusin mwa Dubai hata hivyo ckulazimish kuamin
 
Kuwa muislamu isimfanye muislamu huyo aende tofauti na aliyotukataza Mwenyezi Mungu, kutesa ni dhambi, kuuwa watu wasio na hatia ni dhambi n.k n.k

Sasa, unaposema wanateswa, wanauliwa, je habari hizi umezipata wapi!!! Je! Una ushahidi juu ya hilo?

Msiwe watu wa kuamini mnachokaririshwa n then mnaamini hapo hapo,, kuna viumbe vimejawa chuki kwahiyo kumezesha uongo wengine ni jambo la kawaida sana kwao.
Nimekaa na kufanya biashara nchi za kiarabu karibu miaka 10 nawajuatabia zao nje ndan so Mi sio wa kuhadithiwa chief nakuelezea experience ya maisha yangu nchi za uarabun
 
Mfanyakazi wa asili ya Afrika ameonekana akinyonyesha mbwa huko Saudi Arabia
View attachment 2381679

Hii nchi kwanini inachukia na kunyanyasa sana Waafrika? Maana tangu nijue kusoma sijawahi kusoma nchi inayotesa Waafrika kama hii, visa ni vingi sana

Kwanini Waafrika tusiungane na kuisusia hii nchi na kufunga balozi zetu zote huko? Tutakosa nini?
 
SAUDI ARABIA HAWAFUNGI MBWA NI HARAMU HAIRUHUSIWI MSIJARIBU KUPIGA PICHA ZA UCHAFU NJE YA SAUDI ARABIA HALAFU UKAISINGIZIA.
 
Back
Top Bottom