Kwanini huwa tunalipia kodi ya pango la ardhi wakati ardhi tumeikuta ipo bure? Why?

Ana changanya! Hakuna anaepinga kodi! Tatizo unachukua kodi kwenye nini!
Mfano kodi ya mifugo, kodi ya ardhi, kodi ya jengo zote hizi hazina tija kabisa ni wizi!

Already existing on its nature! Kwanini uombe kodi!
Zamani kulikuwa na kodi ya kichwa! Vyote hivi ilikuwa ni unyama wa hali ya juuu! VIFUTWE VYOTE
Kinacholipiwa kodi ni UMILIKI; OWNERSHIP. It is entitled to you and not to someone else. Kikishakuwa ni chako mwingine hana fursa nacho sharti ukilipie. Hiyo ndio kanuni.

Na ndio maana maeneo ya public hayalipiwi kwa sababu ni free to everybody kama ilivyo hewa.
 
Ilikuwepo tena inasema kabisa Ardhi ni Mali ya Rais wa Jamhuri.
Hii ipo tangu enzi na enzi. Kipindi cha wakoloni waliita crown land. Baada ya uhuru ikarithiwa hivyo. Licha ya kwamba iliboreshwa kwa kuweka kipengele cha kusema Ardhi ni mali ya umma, rais ni mdhamini tu wa ardhi ya wananchi. Lingine ni kwamba ardhi ndiyo nchi, huwezi kusema hii ni nchi yetu wakati hatuna mamlaka wala udhibiti wa ardhi hiyo. Mugabe alihangaika sana na hilo la kuiweka ardhi chini ya mamlaka. Mpaka mabeberu, na walowezi wao walimchukia sana.

mbu wa dengue
 
Ukimaliza kujiuliza hivyo, jiulize pia kwanini huwa tunauziana viwanja ilhali ni vya bure (tumevikuta).
Hilo liko wazi waliovikuta Bure walivitunza hivyo huwa tunawapa fidia ili waturithishe!
Sasa baada ya hapo tukishajenga serikali wanachukua kodi ya ardhi kila mwaka ya nini?

Kodi za namna hii zote zilitakiwa kufutwa
1. Kodi ya kichwa ..ilifutwa
2. Kodi ya mifugo ...iondolewe.
3. Kodi ya ardhi ..iondoshwe
4. Kodi ya majengo ibadilishwe jina iitwe kodi ya huduma za manispaa (municipal service) ili itoshe kulipia magari ya taka n.k
 
Hii ipo tangu enzi na enzi. Kipindi cha wakoloni waliita crown land. Baada ya uhuru ikarithiwa hivyo. Licha ya kwamba iliboreshwa kwa kuweka kipengele cha kusema Ardhi ni mali ya umma, rais ni mdhamini tu wa ardhi ya wananchi. Lingine ni kwamba ardhi ndiyo nchi, huwezi kusema hii ni nchi yetu wakati hatuna mamlaka wala udhibiti wa ardhi hiyo. Mugabe alihangaika sana na hilo la kuiweka ardhi chini ya mamlaka. Mpaka mabeberu, na walowezi wao walimchukia sana.

mbu wa dengue
Well said[emoji109]
 
Unalipia kumilikishwa ili pasije kutokea muingiliano...
 
Serikali angalieni namna kuifuta hii kodi ya ARDHI Vinginevyo wanasheria watanzania mnaoipenda Tanzania naomba mkafungue kesi ya kupinga hili!
Vitu vya asilia tuviache vibakie katika uasili wake!
Kuomba kodi ya ardhi ni kama kutuingilia kinyume na maumbile wananchi!
Tunapolaani ushoga tulaani na hili la kutozwa kodi ya ardhi!
Natutawaingilia sana na hamna cha kutufanya.
 
Bwana Nikola Tesla alizalisha umeme ambao ama alikuwa na code ya kuweza kuwasambazia dunia nzima free electricity sema wakamuuliza vipi tutamchaji vipi huyu mtumiaji akajibu umchaji Nini wakati Ni bure so wakamuua watu wenye interests zao
 
Kwa mjadala unaoendelea hapa naona kuna haja Serikali iendelee kutoe Elimu kwa Walipa kodi.

Hivi mnataka nani aje atuletee hela za kufanyia maendeleo kama hatukusanyi hela zetu wenyewe?
 
Wewe ndiye unatakiwa upewe elimu!
Hatupingi kodi hapa! Kodi zote zingine tunalipa, road license, kodi ya biashara, kodi ya miamala, kodi ya manunuzi kwa kila bidhaa!

Tunachopinga
1. Kodi ya kichwa iliondoshwa tunashukuru
2. Kodi ya ardhi ifutwe kwasababu ardhi iko hapo siye tumejibanza tu kwa muda
3. Kodi ya mifugo ifutwe maana mifugo haikuoanga kuja duniani its natural.
4. Kodi ya majengo ibebe uhlisia ibadilishwe jina iitwe kodi ya huduma za manispaa/ serikali (municipal/ government service) ili wasitudai tena tozo za takataka na usafi wachukue huko
 
Utakuwa una tatizo kiakili si bure
Hata kama nimevuta bangi naomba kusikilizwa! Mkapa aliondosha kodi ya kichwa! ..siyo kosa na hii kodi ya pango LA ardhi ikafutwa haina tija kuwepo
 
Soma Sheria Boss wangu.

Kwa Mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ardhi yote ya Jamhuri ni Mali ya Rais.

Ndiyo maana tunakatia hati na tunalipia, lakini kama Utafiti ukionesha chini ya nyumba unayoishi kuna madini, basi Serikali itafanya mchakato asubuhi na mapema utahamishwa.

Ukigomea, utaondolewa kwa nguvu.

Refer case ya Gas Mtwara, Ngorongoro n.k
 
Hilo liko wazi waliovikuta Bure walivitunza hivyo huwa tunawapa fidia ili waturithishe!
Sasa baada ya hapo tukishajenga serikali wanachukua kodi ya ardhi kila mwaka ya nini?

Kodi za namna hii zote zilitakiwa kufutwa
1. Kodi ya kichwa ..ilifutwa
2. Kodi ya mifugo ...iondolewe.
3. Kodi ya ardhi ..iondoshwe
4. Kodi ya majengo ibadilishwe jina iitwe kodi ya huduma za manispaa (municipal service) ili itoshe kulipia magari ya taka n.k
Kodi ya mifugo nayo inasumbua mno kwa sasa. Serikali kuna wakati inatafuta vyanzo vya mapato kwa kuwanyonya wananchi.
 
Soma Sheria Boss wangu.

Kwa Mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ardhi yote ya Jamhuri ni Mali ya Rais.

Ndiyo maana tunakatia hati na tunalipia, lakini kama Utafiti ukionesha chini ya nyumba unayoishi kuna madini, basi Serikali itafanya mchakato asubuhi na mapema utahamishwa.

Ukigomea, utaondolewa kwa nguvu.

Refer case ya Gas Mtwara, Ngorongoro n.k
Sheria ni maoni ya watu yaliyorasimishwa!
Tunaweza kuyafuta na kuunda sheria rafiki zaidi!.
ikumbukwe hata kodi ya kichwa ilifutwa, kodi ya magari mabovu yasiyotembea barabarani nayo iliondoshwa!

Hivyo kodi ya pango la ardhi haina tija kuwepo! Kama itabakia ibaki kwenye mahoteli na majengo ya biashara
 
Hata kama nimevuta bangi naomba kusikilizwa! Mkapa aliondosha kodi ya kichwa! ..siyo kosa na hii kodi ya pango LA ardhi ikafutwa haina tija kuwepo
hapana hauko sahihi,Kuna vitu vya kuhoji ndugu lakin sio kodi ya ardhi au pango la nyumba unaturudisha nyuma.ili nchi iende lazima kodi iwepo na itekelezwe kwa ufanisi.bila kodi kila kitu kitasimama.Badilika ndugu mbona nakuona mjanja.Lipa kodi
 
Sheria ni maoni ya watu yaliyorasimishwa!
Tunaweza kuyafuta na kuunda sheria rafiki zaidi!.
ikumbukwe hata kodi ya kichwa ilifutwa, kodi ya magari mabovu yasiyotembea barabarani nayo iliondoshwa!

Hivyo kodi ya pango la ardhi haina tija kuwepo! Kama itabakia ibaki kwenye mahoteli na majengo ya biashara
Ndiyo maana watu wenye kuona mbali wamekuwa wakiomba Katiba Mpya.

Kwa hii katiba iliyopo, imempa Rais wa Jamhuri mamlaka Makubwa mno ikiwemo kumilikishwa Ardhi yote ya Tanzania.
 
hapana hauko sahihi,Kuna vitu vya kuhoji ndugu lakin sio kodi ya ardhi au pango la nyumba unaturudisha nyuma.ili nchi iende lazima kodi iwepo na itekelezwe kwa ufanisi.bila kodi kila kitu kitasimama.Badilika ndugu mbona nakuona mjanja.Lipa kodi
Pinga kwa hoja ndugu! Kisa pesa inaenda kwenye maendeleo haina maana itokane na dhulma!

Hata kama unawapenda watoto kuwalisha haina maana ukadange na kupora watu kwa dhulma halafu ujitetee ni kwa ajili ya maendeleo ya watoto!
Tunaomba serikali iondoshe kodi ya pango la ardhi kwasababu ardhi ni kitu ambacho kipo naturally na sisi tunakitumia katika uhalisia wake!
 
Hilo liko wazi waliovikuta Bure walivitunza hivyo huwa tunawapa fidia ili waturithishe!
Sasa baada ya hapo tukishajenga serikali wanachukua kodi ya ardhi kila mwaka ya nini?

Kodi za namna hii zote zilitakiwa kufutwa
1. Kodi ya kichwa ..ilifutwa
2. Kodi ya mifugo ...iondolewe.
3. Kodi ya ardhi ..iondoshwe
4. Kodi ya majengo ibadilishwe jina iitwe kodi ya huduma za manispaa (municipal service) ili itoshe kulipia magari ya taka n.k
Kodi ya pango la ardhi inatozwa ili wewe mmiliki upate ulinzi wa dola katika kipande chako za ardhi. Bila ulinzi wa dola mtu mwingine ye yote mwenye nguvu za misuli au fedha anaweza kuvamia eneo lako na kukunyang'anya na ukakosa wa kukusaidia.

Hivyo serikali inatoza kodi ili iendelee kukulindia kipande chako unachomiliki. Na kwa kufanya hivyo kupunguza migogoro ambayo ingeweza kusababisha uvunjifu wa amani.
 
Back
Top Bottom