Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,758
- 7,249
Fake id zinakupeni sana jeuri ya kupayuka nyuma ya keyboardUna tatizo kubwa sana la uelewa wa mambo yalivyo.kuna watu wanaingia hadi ikulu na pensi sembuse ubalozini.
Ni majinga sana aisee! Kuna kijana hapo kaniandikia “kuna watu wanaingia ikulu pensi” ikabidi na mimi nimjibu kiujanaHii mitoto ya siku hizi ni mipooza fulani Hivi.Yakikaa yanakula msuba ndivyo wanavyodanganyana.
Teh! Teh! Eti nimezidiwa hojaWewe umezidiwa hoja umeanza personal attacks, huu upuuzi wa nguo za heshima na ujinga mwingine ni ushamba ambao hauna faida yeyote...
Hivi huo ustaarabu wa mavazi umewafikisha wapi kama taifa katika maendeleo, mbona wavaa hovyo huko nchi za nje ndio wamewapiga gap kimaendeleo miaka mia moja? mbona ndio wanawapa mikopo, mbona ndio wapo mbele katika kila nyanja?
Nyie wavaa vizuri kwa heshima ndio wezi wa kura, ushirikina, wizi wa rasilimali, ufisadi, utekaji na ushenzi wote....
Hapo huyo msanii hapo amevaa kipi kibaya hadi azuiliwe?
Siwezagi vita na machawa wa dayamondi.
Nilimsoma nikapita kama konkodi inapeleka mizigo Cairo.Ni majinga sana aisee! Kuna kijana hapo kaniandikia “kuna watu wanaingia ikulu pensi” ikabidi na mimi nimjibu kiujana
Ngoja tukae kimya
Kama mwanaume kweli acha kuongelea nyuma ya keyboard… ita press urekodiwe kisha tema hizo shit au fanya kama yule mwenzio alichoma ile picha kwa motoTuteleeni ujinga wenu wa kuvaa masuruali ya vitambaa na mashati ya vitenge... ujinga ujinga tu..
We mke mwenzie na yule designer eeh?Acheni uchawi na wivu, mpaka unakufa net worth yako haifikii hata thamani ya gari lake..
acheni chuki na uchawi..
Sio cocainer na kaoa wanaume wenzieOoh my dear brother/sister siwez kua na chuki na cocainer..! Asilani.
Sio machawa… mademu zake
Si nasikia huyo kijana si mtumiaji wa jinsia “KE” tu peke yake… visela mavi vyenye njaa za mpito navyo hupita navyo (kama yule designer wake, anatamani mpaka azalishwe kabisa jinsi mdudu ulivyomkolea 😂👊🏾🙌🏾)
Ndo hivi vimejazana hapa kushupaza mishipa ya shingo na kuona sheria za nchi ni za hovyo!
***** zenu! Mlishaambiwa hamieni zimbabwe kama hapa ni pa hovyo wanaishia kulia nyuma ya keyboard
Edit hapo mheshimiwa… weka na “kufukuliwa mitaro na kuolewa na wanaume wenzao”Upo sahihi.Ninyi "watoto wa kiume"(ninyi siyo wanaume,elewa hilo)kuvaa hereni,suruali zimewabana makalio kama mmejifunga vibwebwe,kupaka rangi kucha na nywele,kulelewa na vibibi vizee,kutohama kwa wazazi wenu,hamtaki kujishughulisha,kupenda maisha ya juu kwa dezodezo na uchawa wa wenye hela na wanasiasa ndiyo ujanja wenu?Mapooza ninyi!
Si ndo tunampa vibali FALA WEWE!We ulishashuhudia anavuta huo unga?
Kumbe we ni kijana?!Huyo hapo kavaa hereni na kachora tattoo, wewe unamzidi kipi?
Acheni chuki za kijinga na uchawi , acheni kuchukia maendeleo ya vijana...
Ukiona mwenzako amefika sehemu mpongeze, sio kuangalia tu madhaifu..
Kumbuka pia huyo ni msanii sio mwenyekiti wa mtaa, hereni , cheni, tattoo ni mambo yao ya kisanii..
Na kanye west asingevaa hivyo… amini usiaminiKanye West angeingia hapo
Kavaa magunia na maguo ya ovyo msinge complain 😄
Ova
Nafkiri hapa ndo iwe mwishoni coding dress za mahali fulani nyeti
Nguo za heshima kwao ni suruali na shati au suti jamii za wajinga ni hatari Sana kwakweliNguo za heshima kama zipi? mfano?
Di
Diamond na Kairuki nani mwenye impact?? Leta criterion kwanza ili watu wakujibu!!
Achana nae!Umeshaanza kuonesha dalili zako za kuwashwa puru ili umng'ang'anie mwanaume akupige miti kama kawaida yako auntie!
We una roho mbaya sana.View attachment 3397154
View attachment 3397155
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza
Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie hivi ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes
Utajiri wake alionao ameupatia wapi mkuu ?Sio cocainer na kaoa wanaume wenzie
Siri ambazo hawazijui… hana hizo pesa wanazomnadi anazo sisi ndo tunajua 😊