Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,758
- 7,249
Huyu kijana yuko smart sana na ndomana wawekezaji always humfuata huyu na hata mashirika makubwa yanayojielewa.
Bungeni kuna Mbunge ambaye amewahi hata kuanzisha Project yeyote ya kusaidia jamii na kutengeneza ajiraWatu wanaiba pesa CAG anawataja na wanavaa suti na kuapa kwa kutumia Biblia na Quruan.
Utumwa wa kifikra ndo unawatesa watu weusi.
MTU ambaye amatengeneza ajira , na kuleta mapinduzi katika sanaa ndo unasema hana maadili
Nyie maadili ni kuvaa suti
Hapo Bungeni kuna Mbunge ambaye amewahi hata kuanzisha Project yeyote ya kusaidia jamii na kutengeneza ajira
Lazima kairuki alishangaa na lazima alimwambia hata kwa utani… na lazima waliulizwa mapokezi na getini ameingiaje paleHiyo ni dress code ya kisanii ambayo inasaidia kulipa kodi kubwa sana serikakini most probably kuliko wewe.
Balozi anaelewa hilo ndiyo maana hakuwa na tatizo.
Wewe ndiye huelewi.
Fala wewe!Nyie Wabantu mavazi mmeletwa na mlikuwa mnavaa magome ya miti Ila leo mnataka kusema mnazingatia dressing code.
Watu ambao wanavaa hovyo na kutembea uchi ndo hao mnawategemea wawasaidie kila kitu kuanzia mikopo ,misaada n.k
Yaani diamond ambaye kawazidi Exposure Leo unataka kumfundisha uvaaji
Sio tajiri kama vyombo vinavyomnadiUtajiri wake alionao ameupatia wapi mkuu ?
Bungeni kuna Mbunge ambaye amewahi hata kuanzisha Project yeyote ya kusaidia jamii na kutengeneza ajira
Huna ujualo kwa sababu hufuatilii na huyo aliyeandika hivyo hafuatiliiBungeni kuna Mbunge ambaye amewahi hata kuanzisha Project yeyote ya kusaidia jamii na kutengeneza ajira
📌🔨
Tanzania ina ujinga mwingi sana wa kukataza watu kuingia ofisi za serikali kwa sababu za kijinga za mavazi.Lazima kairuki alishangaa na lazima alimwambia hata kwa utani… na lazima waliulizwa mapokezi na getini ameingiaje pale
Huwezi kuelewa we mtu wa chadema
Na hajaenda kuripoti kama kituo Cha kazi,yeye ndie kazi!Utumwa wa kifikra unawasumbua watu weusi
Mavazi ni Kama cover ya simu tu wala hayana impact yoyote .
Diamond anafanya baishara ya muziki na msaniii yeye ndo biashara
Ikiwa utamzuia kuvaa hivyo hakikisha pia unamzuia kusuka kuvaa hereni kuchora tatoo n.k you have to Escape from that cage .
Diamond na kairuki (Balozi) nani ambaye amekuwa na impact katika jamii kwa kuzingati kutoa ajira , kulipa kodi ,
Tukiendelea hivi tutakuwa na Taifa la watu wajinga Sana
Cha kusikitisha ambacho hamkijui hana hizo hela anazowadanganyeni na kujinadi na mademu zake kumnadi kila kukicha… hiyo B1 yenyewe kafikisha mwaka 2024 uliza matajiri wa kariakoo ndo wana siri za huyo kijana.Tafuta hela mkuu DUNIA HAINA HURUMA NA MASIKINI ni katili sijaona mfano TAJIRI AKIAMUA LAKE HALISHINDIKANI
We mtoto una matatizo. Huna ujualoMTU ambaye hajasoma
Kakulia uswahili
Then MTU huyo huyo anatengeneza taasisi inayotoa ajira za kutosha
Anaajiri bodyguard
Anaajiri presenters
Anaajiri stylist
Anaajiri Madansa
Anaajiri Camera man
Anajenga na kuwekeza.
Just imagine wasafi festivals tu imeleta impacts kubwa
Wasafi TV waasaFM
Kuna graduate wangapi wapo wasafi
MTU Anafanya Kazi kubwa Kama hiyo ambayo imebadilisha maisha ya watu Ila anatokea MTU mswahili ambaye hajielewi anampangia dress code.
Inasikitisha
Kuna mstari mwembamba sana kati ya uhuni na wasanii, hasa wanapokuwa vijana. Lakini hata hivyo hoja hapa ni vazi lake ndani ya ubalozi, na sio haya unayotaka kuleta hapa.Huyu ni mhuni sio msanii. Au tukubaliane mziki ni uhuni.
View attachment 3397347
Majukumu yake makubwa ni kutangaza ushoga na dini mseto, ni mtumishi wa shetani.
Tunakujua na tunakuchoraTanzania ina ujinga mwingi sana wa kukataza watu kuingia ofisi za serikali kwa sababu za kijinga za mavazi.
Ninamshukuru Diamond kwa ku normalize mavazi yasiyo ya kawaida ofisi za serikali ili tuondokane na ukiritimba huu wa kijinga.
Wasanii wana jukumu la ku push the envelope kwenye haya mambo, kukataa habari za kututaka wote tuvae sawa.
Diamond anaifanya kazi hii vizuri.
Kuhusu mimi kuwa mtu wa CHADEMA, CHADEMA wananiita CCM, CCM wananiita CHADEMA, na wengine wananiita ACT.
Mimi naenda na mantiki na uhuru wa watu binafsi tu, sina chama.
Sina hata vigezo vya kuwa mwanachama wa chama cha siasa Tanzania.
Kakuzidi wewe na sio Exposure tu kakuzidi kila kitu kuanzia Maisha , Akili yenye maono, Elimu ya kujitambua na pesa.Fala wewe!
Kamzidi nani exposure?!
DuuuuhCha kusikitisha ambacho hamkijui hana hizo hela anazowadanganyeni na kujinadi na mademu zake kumnadi kila kukicha… hiyo B1 yenyewe kafikisha mwaka 2024 uliza matajiri wa kariakoo ndo wana siri za huyo kijana.
Tunayajua mengi tuko kimya maana sisi ndo ma-mastermind na lazima apite kwetu