AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Wengi hawajui wamejazwa ujinga na mzungu kwa kupewa Picha ya cezar borjia basi ubongo ukala hapoBiblia imemtaja Misri ambaye ni mtoto aliyetoka kwenye kizazi cha Nuhu pia ndugu yake ni Kush amabaye leo ndiye Ethiopia. Biblia mtu ukisoma kwa kutulia unaweza kufungua code nyingi kuhusu mtu mweusi.
Punguza upumbavu kidogoDunia haiwezi kua / kuwepo bila Myahudi. Na huo ndio ukweli.
Kiimani ndiyo jamii inayopendwa na Mungu
Watu hawajiulizi kwanini Yesu alikimbizwa Misri kujificha ili Herode asimuue? Na kama Yesu na wazazi wake walikuwa wazungu ingewezekana vipi wakimbilie Misri wakati wamisri walikuwa weusi? kwao si engekuwa ni rahisi kujulikana?Wengi hawajui wamejazwa ujinga na mzungu kwa kupewa Picha ya cezar borjia basi ubongo ukala hapo
Ubongo wao umelala pale walipoambiwa. Mmelaaniwa na majina yenu yamelaaniwa basi wakaacha kufikiria.....mpk Leo wako busy wakuwaombea wale Wazungu lakini Africa ndo Bara linaongoza kwa matatizo. Si wamesema ukiibariki Israel na wewe unabarikiwa then why Africa shida kibao na kila. Siku mnatembea na vibendera vya Israel....... Jibu ni kuwa mnaombea waisrael HEWAWatu hawajiulizi kwanini Yesu alikimbizwa Misri kujificha ili Herode asimuue? Na kama Yesu na wazazi wake walikuwa wazungu ingewezekana vipi wakimbilie Misri wakati wamisri walikuwa weusi? kwao si engekuwa ni rahisi kujulikana?
Kuna siri kubwa sana kuhusu mtu mweusi ndiyo maana zinatumika garama kubwa kulinda siri hii.
Ubongo wao umelala pale walipoambiwa. Mmelaaniwa na majina yenu yamelaaniwa basi wakaacha kufikiria.....mpk Leo wako busy wakuwaombea wale Wazungu lakini Africa ndo Bara linaongoza kwa matatizo. Si wamesema ukiibariki Israel na wewe unabarikiwa then why Africa shida kibao na kila. Siku mnatembea na vibendera vya Israel....... Jibu ni kuwa mnaombea waisrael HEWA
Na mimi huwa nina amini wamisri asilia walikuwa watu weusi. Hoja yangu yakuamini hivo nikwasababu wakati wa musa kipindi wana wa Israel walikuwa wanauwawa na musa aliokotwa na mwana mfalme, yule mwana mfalme akasema kitoto kizuri kinang'aa cheupee. Hivo watu weusi ni watoto wa farao na watu weupe ni watoto wa Israel. PeriodWatu hawajiulizi kwanini Yesu alikimbizwa Misri kujificha ili Herode asimuue? Na kama Yesu na wazazi wake walikuwa wazungu ingewezekana vipi wakimbilie Misri wakati wamisri walikuwa weusi? kwao si engekuwa ni rahisi kujulikana?
Kuna siri kubwa sana kuhusu mtu mweusi ndiyo maana zinatumika garama kubwa kulinda siri hii.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] We ndio umeharibu kabisa. Hivi unajua why waibrania wenzake Musaa hawakumjua kama ni mwenzao kama alikuwa mzungu?Na mimi huwa nina amini wamisri asilia walikuwa watu weusi. Hoja yangu yakuamini hivo nikwasababu wakati wa musa kipindi wana wa Israel walikuwa wanauwawa na musa aliokotwa na mwana mfalme, yule mwana mfalme akasema kitoto kizuri kinang'aa cheupee. Hivo watu weusi ni watoto wa farao na watu weupe ni watoto wa Israel. Period
It seems hujui hata timeline ya unachoongea. Tafuta kujua hiyo biblia ni ya mwaka gani na hao Wayahudi waliondoka Jerusalem mwaka gani. Hiyo nadharia yako unayotumia ni ya Wahindi au Wachina, au unataka kuniambia ni ya Waafrika watu ambao hata nchi zetu wenyewe tulitungiwa majina mostly na hao wazunguAchana na hiyo story ya kizungu. Wapi walisema Hao khazaris walinyanganywa Jerusalem. Hizo ni kamba za Wazungu tu. Hata bibble haisapoti hiyo story Yao.
Duh! Kumbe Yusuf hakutambulika na ndugu zake. Kwa mantiki hiyo basi walikuwa ni rangi moja. Ila swali langu ni wamisri waliwezaje wajua hawa ni waisrael kama walikuwa na rangi moja? Na kama wote walikuwa weusi ilikuwaje watu weupe walitokea wapi mpaka kuja kuwa na akili hivo duniani?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] We ndio umeharibu kabisa. Hivi unajua why waibrania wenzake Musaa hawakumjua kama ni mwenzao kama alikuwa mzungu?
Ushajiuliza why watoto 11 WA Jacob walishindwa kumtambua ndugu Yao Yusuph walipoenda misri na shida zao??
.... Jibu ni kuwa wamisri na waisrael WA kipindi hiko walifanana kwa rangi. Yaani Musaa akae kwa farao miaka 40 halafu farao asijue mussa ni muisael ilihali ni mzungu. [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
... Kingine jaribu kufikiria Mzungu gani atahimili joto LA MISRI na kazi ngumu za kitumwa??? Hakuna wangekufa wote ndani ya miezi 4 tu kwa kansa ya ngozi.
Unajua why South Africa, Israel na Australia ndio nchi Zina kansa za ngozi sana...??? Sababu Kuna watu wanaishia maeneo sio Yao.
..... Unakumbuka Yesu alipowaambia waisrael mkiona mji umezingirwa mkimbilie MILIMANI..... unajua huko MILIMANI.???? Kaa chini tena umiza ubongo wako vizuri
Mi piaMm ni myahudi mweusi
Swali LA pili ni kuwa sisi tuna AKILI sawa na Wazungu tena Tunaweza kuwazidi pia. Sema walituwahi wao mapema sana Na kutuaminisha kuwa sisi ni mapechelolo na wao ndio wamebarikiwa . A tukaamini so imekaa kichwani kwetu hivyo. Huoni jinsi ambavyo hatutaki majina yetuDuh! Kumbe Yusuf hakutambulika na ndugu zake. Kwa mantiki hiyo basi walikuwa ni rangi moja. Ila swali langu ni wamisri waliwezaje wajua hawa ni waisrael kama walikuwa na rangi moja? Na kama wote walikuwa weusi ilikuwaje watu weupe walitokea wapi mpaka kuja kuwa na akili hivo duniani?
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] Wewe unayejua time-line niambie Kati ya agano LA Kale linaandikwa walikuwa WA rangi gani.?? Hakuna cha wachina WAla wahindi. MI natumia biblia ambayo imeandikwa historia ya tangu Abraham.... Wewe nipe kithibitisho cha maandishi kuwa waisrael WA kipindi Ch Yesu walikuwa Wazungu...It seems hujui hata timeline ya unachoongea. Tafuta kujua hiyo biblia ni ya mwaka gani na hao Wayahudi waliondoka Jerusalem mwaka gani. Hiyo nadharia yako unayotumia ni ya Wahindi au Wachina, au unataka kuniambia ni ya Waafrika watu ambao hata nchi zetu wenyewe tulitungiwa majina mostly na hao wazungu
Kanye west alifanya na kusema nini?Hata mimi naona hivo wayahudi ni propaganda zza wazungu kuwavuruga waarabu ili kudidimiza dini ya uislamu. Na kwa ninacho kiona kama wote chimbuko letu ni adamu na hawa basi kila mtu ni myahudi. Ila kuwepo kwa jamii moja ambayo inaitwa wayahudi ni uongo na ndicho kanye west alichokuwa anazungumzia.
Wamisri waliwajua kama ambayo sisi tunajuana Sasa kwa makabila na lugha.... But kwa rangi mtu WA nje hawezi kututofautisha labda akukutanishe wewe na msudani kusini kidogo ndo utaona tofauti maana wale weusi sana Na warefu sana.Duh! Kumbe Yusuf hakutambulika na ndugu zake. Kwa mantiki hiyo basi walikuwa ni rangi moja. Ila swali langu ni wamisri waliwezaje wajua hawa ni waisrael kama walikuwa na rangi moja? Na kama wote walikuwa weusi ilikuwaje watu weupe walitokea wapi mpaka kuja kuwa na akili hivo duniani?
Kama kweli tunaakili kwanini sasa hatuvumbui vitu kama wazungu?Swali LA pili ni kuwa sisi tuna AKILI sawa na Wazungu tena Tunaweza kuwazidi pia. Sema walituwahi wao mapema sana Na kutuaminisha kuwa sisi ni mapechelolo na wao ndio wamebarikiwa . A tukaamini so imekaa kichwani kwetu hivyo. Huoni jinsi ambavyo hatutaki majina yetu
Kanye kasema wao black American ndio waebrania aka jews WA ukweli. Sasa Wazungu aka Jewish WA uongo wamekasirika kwamba why atoe siri wakati watu weusi wamelala usingizi pono. Kwanini anawaamsha.Kanye west alifanya na kusema nini?
Mbona anapitia wakati mgumu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Acha kuaminisha watu uongo bana, ukwel ni kwamba tangu mwanzo mtu mweusi ndiye aliyeteswa na kunyanyaswa kulko race yoyote hapa dunian, fuatilia historia kabla hata ya ujio wa propaganda za wayahud feki.Tuanzie kwenye World War 2, Nazi Germany iliua Wayahudi zaidi ya milioni 6 ndani ya miaka mitano tu. Walikuwa na kambi za maangamizi kama Auschwitz-Birkenau, Sobibor na Trebrinka. Hii picha ilipigwa na Allied Forces pale Evensee baada ya kuikomboa kambi hiyo kutoka mikononi mwa NaziView attachment 2407223
Huwezi sema Waafrika walinyanyaswa kuliko Wayahudi wakati Wayahudi hadi walihamishwa nchi kabisa. Kuanzia miaka ya 300s walipopigwa na kunyang'anywa Jerusalem walikuwa wanaishi wapi hadi 1948 walipoanzisha Jewish state pale Israel.
Watu weusi hawapendwi, ila hawana hata chembe ya kufikia level ya Wayahudi walivyochukiwa. Weusi walikuwa wanauzwa utumwani wakafanye kazi, walitumikishwa kwenye ardhi yao na kuibiwa rasilimali. Ukiachana na kufanywa watumwa hayo mengine wamefanyiwa Asians na Japanese ingawa haikudumu kwa muda mrefu. Wajapani walifanya Nanjing massacre, Japan ilifanya mass murder kwa Koreans, Chinese, Indonesians, Filipinos na Asians kibao na kuua more than 3 to 7 million people ndani ya miaka 15 tu. So kusema Waafrika walinyanyaswa zaidi ni kutojua historia ya races nyingine.
Waafrika tumezubaa na tunaishi tu, ila Wayahudi wakilala ndio basi tena hawana maisha wanapotezwa.