Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

Unafiki wa huyo Jamaa juu ya hiyo wizara ni wa kiwango cha Lusifa ila wananchi wamempa aibu .hayo mawe yote warudishe kwa Mwana wa Joseph .period
 
Acha kuteseka. Generation ikumbukwe na nani?
Nina mashaka na uelewa wako ? takuonyesha kwanini kwenye paragraphs zako mwenyewe unajipinga (Generation ikumbukwe na nani ? Vizazi vijavyo...., Kama tukichafua maziwa yote na mazingira na kupelekea magonjwa kwa vizazi vijavyo unadhani utakumbukwa kwa yapi (kwahio jibu lako ni vizazi vijavyo)
We angalia iwapo watoto na wajukuu zako watakukumbuka kwa kuwaachia urithi.
Kwahio kumbe kuna kukumbukwa au baada ya wajukuu memory inafutika na history inapotea ?
Unadhani nani atakaa akumbuke generation? Hii ni genetation ya ngapi kwani na wanaotakiwa kuikumbuka ni kina nani?
Wale watakaopata shida kwa upuuzi wa waliopita..., unadhani mababu na mababu wasingeweka misingi ya mfano kupanda miti / mibuyu na babu zako wakakuta hii ardhi ni jangwa na tukapata shida ya njaa sasa hivi ungekuwa unasema nini (au unadhani kukumbukwa ni kwa mazuri pekee)?
Generation ya kina Nyerere inakumbukwa sababu ya uhuru, muungano n.k
Kwahio kumbe kuna kukumbukwa ?, Refer paragraph yako ya pili.....
baada ya hapo ni kuendeleza walipoishia unless usimamie katiba mpya ipatikane useme sisi tulipigania katiba, kinyume na hapo pigania watoto na wajukuu au teseka for nothing.
Ndio hapo nasema una myopic thinking..., Katiba ni vitu vya kupita / katiba ni Sheria ambayo vizazi vijavyo vinaweza vikabadilishwa..... Pia kuwepo na Sheria nzuri haimaanishi itafuatwa..., Unapopigania wajukuu zako huku wengi wanateseka na hawana kitu haujengi security kwa hao wajukuu zako sababu wasionacho watawanyanganya na kuwachukuia hao wajukuu zako (kuna vitu vya kufanya individually) na kuna vitu vya kufanya collectively kama jamii kulingana na mentality (sasa kama mentality yako inaongelea kupigania wajukuu zako!!!! Need I say More..., (Unaonyesha Ubinafsi)...

Kina Nyerere more than anything wala siwasifii zaidi kupigia Uhuru (the time for colonization ilishaanza kupitwa na wakati ilikuwa gharama kubwa kwa nchi kuwa na colonies wakati wangeweza / wanaweza kuwanyonya vinginevyo kama wanavyofanya sasa) Kina Nyerere nawasifia kwa Tanzania kuleta Umoja wa Kitaifa (Makabila na Dini tofauti / Imani tofauti kujiona kwamba ni wamoja) jambo ambalo kizazi hiki kinataka kuliondoa pia.....

Anyway sasa hivi ungekuwa muda wa kuwasha moto na kubanika Swala wangu niliyemuwinda mchana (na hizo kuni sikati miti bali ninaokota okata) - Sustainability... (Sio kukata mninga ili nitengeneze kigoda )
 
Niliyemquote aliuliza level ya elimu ya watu waliompigia makofi Janet Magufuli, mimi kuuliza level elimu ya Rais wako nimekosea?

Kwanini aulize level ya elimu ya hao waliopiga makofi?
Rais Samia ana Masters Tena ya Uchumi na PhD ya Heshima
 
Na hiyo Ndio legacy yenyewe, historia itaandika jina lake nyie mkifa na huyo marehemu ndio itakuwa mwisho wake.
 
Huna akili.. kwahiyo Kikwete , ilikuaje ,akashhindwa ???


Sikiliza hapaa... Tumewaumbua

 
Umemaliza kila kitu mkuu. Hii ndio JF ya sasa mkuu kiranga great thinkers wa aina yako na wengine wamepungua kwa kiasi kikubwa sana.
 
Nimekuambia unless unapigania KATIBA mengine yote ni muendelezo wa waliyofanya wengine na hayana cha kukumbukwa. UNATESEKA SANA HAHAHA.
 
January na mwenzie maharage jumlisha na yule mafuru...file lao na mambo yao yanajulikana subiri muda ufike watashangaa sana...
Anaongea utafikiri suala la kujenga hilo bwawa ni rahisi ...
Muogope sana JPM....huyu mzee wezi hawana hamu nae.
 
Alishindwa au Magufuli ndio alipangua utaratibu ili aweke wake? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Ukiona hii Sasa utajinyonga πŸ‘‡View attachment 2454698
Sisi Tuzo kama hizi hazitusumbui maana nayeye amepewa Udaktari wa chapchap 🀣🀣


Sisi JPM wetu Afrika na Dunia inamwelewa 🀣.

Unaambiwa Nchi Kadhaa wa Kadhaa, wakaomba JPM awe Rais wao🀣🀣


Haitokaaa Kutokea hapa nchini
 
January na mwenzie maharage jumlisha3n a yule mafuru...file lao na mambo yao yanajulikana subiri muda ufike watashangaa sana...
Anaongea utafikiri suala la kujenga hilo bwawa ni rahisi ...
Muogope sana JPM....huyu mzee wezi hawana hamu nae.
Kuna ugumu gani kwenye kujenga bwawa? πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kinachojenga Ni Pesa wewe fala sio empty words Wala hisia.
 
Labda Nchi za mataahira Kama wewe,taja Nchi mojawapo tuijue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…