Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Masters kutoka chuo gani? Aiseeh😂😂😂Rais Samia ana Masters Tena ya Uchumi na PhD ya Heshima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masters kutoka chuo gani? Aiseeh😂😂😂Rais Samia ana Masters Tena ya Uchumi na PhD ya Heshima
Zanzibar ameshinda ubunge Mara ngapi? Makapi ya Pombe ya kienyeji wewe.
Ni raia wenye level gani ya elimu?..
Usilete mambo ya hoyahoya hapa.
Hujui kama mod aliua watu ili kumfuata?Hao walikuwa na vikundi vya utekaji?
Yesu Kristo yuko hai.Mbona Yesu na Muddy hamuwachoki, si wafu wale?
Kwanini sasa tupangiane?
Jesus Christ is alive.Yesu mbona hamchoki naye,si ni mfu pia?,usitupangie wewe
Rais Samia Suluhu anatambua mchango wa watanguliziUkweli lazima usemwe,kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNPP),hasa kwenye hotuba zenu?
Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere ,akashindwa,awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE,hawakuwa na habari na mradi huo,waliupa kisogo.
Hayati Magufuli kwa nguvu kubwa na ujasiri usio na shaka akaamua kutekeleza wazo hilo.
Miongoni mwa waliohujumu juhudi hizi ni waziri wa sasa wa nishati, January Makamba kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira,ikapelekea kuondolewa baraza la mawaziri.
Leo hotuba ya mkurugenzi mkuu Maharage Chande na waziri wake wamejificha kwenye kichaka cha mipasho ,hasa waziri Makamba.
Nijielekeze kwenye usanii wa waziri kutambua juhudi za watangulizi kwenye ujenzi wa bwawa hilo,katengeneza zawadi za kutambua michango ya mzee Mwinyi na Jakaya,wana mchango gani ikiwa mradi waliupa kisogo?
Makamba junior kawapa medal za kinafiki sana,hata wao wamejisikia aibu sana kupewa medal za ushiriki wao wa mradi wakati hawajashiriki hata kidogo.
Huyu kijana ndio awaza kuwa rais wa hii nchi.tuna hasara kubwa kama taifa.
Nimpongeze rais Samia kwa kujaribu kuusema ukweli kuhusu kazi kubwa ya hayati Magufuli katika kufanisha mradi huu.
Kumekuwa na ka syndicate kupoteza Juhudi za hayati Magufuli kwa kuzimeza kijumla jumla na wasiostahili .moja wapo ni hilo tukio la kinafiki la kutambua mchango wa bwawa wakati si washiriki.
Namalizia kwa kumwambia waziri Makamba na walio nyuma yake kwamba watanzania hawadanganyiki tena , Magufuli aliwafumbua macho.
Huu mchezo wa kujaza vijana mitandaoni kumdhihaki, mmeona leo jinsi likitajwa jina lake makofi na shangwe kama lote.
Nikiashiria kwamba kimwili hatuko naye ila kifikra tukonae,acheni majungu dhidi ya marehemu.
Nyie waabudu wafu ndiyo mnavaa maguo meusi mashetani wakubwa nyie.Hata mjifiche vipi kwenye mwanga mtaonekana tu na maguo yenu meusi.
Wewe mbwiga tu hujitambui.Basi hilo bwawa kajenga Makamba na familia yake......nyie level yenu ni kuchimba kisima sawa wewe pimbi...
Yule kichaa alikuwa anaponda watangulizi wake na kujiona yeye ni mungu.Rais Samia Suluhu anatambua mchango wa watangulizi
Imenisaidia kuwa na reasoning ya maana ambayo imenifanya nije na hitimisho kwamba the late JPM hakuwa vizuri kama anavyoimbwa na baadhi ya watu wenye reasoning ya chini.
Yesu sio mfu...Alifufuka na akapaa mbinguni.Mbona Yesu na Muddy hamuwachoki, si wafu wale?
Kwanini sasa tupangiane?
Hujui kitu,CV yake ipo wewe tafuta au hata humu jukwaani Kuna wasifu wa Samia utafute au tafuta maelezo ya Siku wanampa PhD utajua wasifu wake wooote.Masters kutoka chuo gani? Aiseeh😂😂😂
Wewe itakusaidia nini, Elimu yake haina utata kama elimu ya JiweWewe leta education background ya huyo msambaza chai wa maofisini aliyepata ngekewa ya urais.
Leta hapa.
Ilani inatajwa kwenye mazuri,mabaya ni ya Magufuli,tunawachora tuNimemsikia kinana akisema, utekelezaji wa mradi ni ilani ya ccm bila kumtaja mfanikishaji. Huu ni uovu, watende haki kumkumbuka jpm
Shangaa nduguMradi gani huyo kiwete aliuacha ukazinduliwa na JPM? Mradi wa dawa za kulevya na mateja?
Hana Elimu huyo.Wewe itakusaidia nini, Elimu yake haina utata kama elimu ya Jiwe
Hujui kitu,CV yake ipo wewe tafuta au hata humu jukwaani Kuna wasifu wa Samia utafute au tafuta maelezo ya Siku wanampa PhD utajua wasifu wake wooote.
Samia sio kilaza wa mapapai kua na korona