Pre GE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
HAPO ME NDO NAPOCHOKA. KWANIN WAZUIA CHADEMA WAKAT WENGNE WAMEFANYA ____THIS IS NOT DEMOCRACY
 
Andiko lako ni la kipumbavu
nikuhakikishie tu,
upende, usipende. Jeshi la polisi mkoa wa mbeya na sehemu nyingine nchini, halitamfumbia macho, wala kumuonea aibu muhalifu yeyote anaekusudia kufanya uhalifu na kusababisha uvunjifu wa amani na usumbufu kwa wananchi, atashughulikiwa vilivyo na kukabiliwa bila huruma πŸ’

hiyo kiburi itaisha tu
 
Jiwe alikuja na ujinga kama huo na akafa kibwege sana
 
Hii Nchi watu wafikirie plan B. Plan A imeshindikana. Hakuna R nne Wala 5. Hakuna namna hii Nchi itakuja kuwa ya haki. Watawala wanajua hakuna nguvu ya Umma Wala chochote kinachoweza kuwatisha. Uchaguzi wanaandaa wenyewe, Tume ya uchaguzi wanaunda wenyewe,idadi ya kura wanajichagulia wenyewe, wanajitangaza wenyewe. Polisi iko chini yao, ni suala tu la kuamua lini wamkamate Nani, wampoteze nani, wampige risasi nani kwa wakati gn.
Matumaini kuwa haki itakuja kutolewa katika sahani ya dhahabu kutoka kwa watu waliolewa mamlaka km hawa ni ujinga
 
Jiwe alikuja na ujinga kama huo na akafa kibwege sana
kama inakusaidia ongeza bidii kukariri tu,

lakini ile muhimu zaidi ni kujizuia na kujitenga na uhalifu wa aina yoyote kwasabb hapata kua na kumuonea mtu haya wala huruma katika kudhibiti na kukabili uhalifu πŸ’
 
Hoja zako ni za kijinga mno! Chadema ina miaka 30 unaweza kuweka ushahidi wa Uhalifu wowote wa chama hiki unaoujua?
 
Je kuna haja ya kulifutilia mbali jeshi la Polisi na kuliunda upya huku baadhi ya viongozi wa Jeshi hilo wakikamatwa na kufunguliwa Mashtaka?
Jambo la kwanza kabisa ni kuung'oa mzizi kunako anzia upumbavu huo.

Mimi naomba tu kujuwa, kwa nini waTanzania wasistushwe kwa wingi wao na ujinga wa namna hii?

Kunatakiwa kufanyike kitu gani ndipo waTanzania wajue kuwa nchi yao ina hali mbaya sana kiutawala?
 
kama inakusaidia ongeza bidii kukariri tu,

lakini ile muhimu zaidi ni kujizuia na kujitenga na uhalifu wa aina yoyote kwasabb hapata kua na kumuonea mtu haya wala huruma katika kudhibiti na kukabili uhalifu πŸ’
Hoja zako ni za kijinga mno! Chadema ina miaka 30 unaweza kuweka ushahidi wa Uhalifu wowote wa chama hiki unaoujua?
 
Mbeya inaweza kuwa chachu ya jambo hili nje ya uchaguzi
 
Policcm.
 
Attachments

  • 5793447-d05126d2cf760a954dec3168c92d63a7.mp4
    8 MB
Mbeya inaweza kuwa chachu ya jambo hili nje ya uchaguzi
Mtu yeyote ambaye bado anaamini kuwa chaguzi hizi zinazokuja karibuni zitakuwa tofauti na zile nyingine zote zilizokwisha pita; huu hapa ni mfano mzuri sana wa kumpa jibu.
Kwa hiyo, ninakubaliana na maneno yako hapo juu, kwamba Mbeya iwe ndiyo iwe chachu ya mwanzo kuachana na ujinga.
 
Hoja zako ni za kijinga mno! Chadema ina miaka 30 unaweza kuweka ushahidi wa Uhalifu wowote wa chama hiki unaoujua?
hata hiyo mihemko kwenye kuambiwa ukweli, ikiwa inakusaidia ongeza juhudi zaidi ufaidike...

Jeshi la polisi nchini mpaka sasa limeshadhibiti genge la wahalifu walikukusudia kuleta fujo, na bado linaendelea na doria maeneo mbalimbali ili kulinda amani na usalama wa watu, biashara na makazi yao....

naendelea kukusihi wew na wananchi wengine kujiepusha na magenge ya uhalifu popote nchini ili kuepuka usumbufu na athari mbalimbali zinaweza kuwaletea madhara πŸ’
 
kama inakusaidia ongeza bidii kukariri tu,

lakini ile muhimu zaidi ni kujizuia na kujitenga na uhalifu wa aina yoyote kwasabb hapata kua na kumuonea mtu haya wala huruma katika kudhibiti na kukabili uhalifu πŸ’
"...uhalifu..." unajulikana ulipo.
Pamoja na kujitoa akili kama ilivyo kawaida yako; hatimae utajuwa maana ya "uhalifu" ni kitu gani. Vuta subira kidogo.
 
Umedanganywa kijinga sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…