Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
Shetani hajawahi kumshinda MunguChadema tulikwambieni mapema kwamba msishabikie Isreal dhidi ya palestina lkn mnajiona mnaijua sana dunia. sasa Pambaneni na hali yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani hajawahi kumshinda MunguChadema tulikwambieni mapema kwamba msishabikie Isreal dhidi ya palestina lkn mnajiona mnaijua sana dunia. sasa Pambaneni na hali yenu
Kuna tofauti?CCM wanahusikaje? Ni intelijensia ya Polisi
HAPO ME NDO NAPOCHOKA. KWANIN WAZUIA CHADEMA WAKAT WENGNE WAMEFANYA ____THIS IS NOT DEMOCRACYAngalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako
Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi
View attachment 3067189
View attachment 3067190
Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba
Mgeni Rasmi alikuwa Ismail Jussa
View attachment 3067194
Lakini linapokuja suala la BAVICHA, Polisi wanaleta chokochoko kwa kutumikishwa na Watawala mithili ya Vitendea kazi vyao
View attachment 3067197
Huku Kauli za Vitisho zikitolewa bila aibu yoyote ile
View attachment 3067199
Je kuna haja ya kulifutilia mbali jeshi la Polisi na kuliunda upya huku baadhi ya viongozi wa Jeshi hilo wakikamatwa na kufunguliwa Mashtaka?
Pia soma:
nikuhakikishie tu,Andiko lako ni la kipumbavu
Huo ndio ukweliJe Viongozi wa Nchi hii wamelewa Madaraka?!
Kwani inahusianaje sasaYaani anayemteua na anayeweza kumuondoa RPC(Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wowote hapa nchini) ni mwana,-CCM ambaye ni Rais na IGP
Jiwe alikuja na ujinga kama huo na akafa kibwege sananikuhakikishie tu,
upende, usipende. Jeshi la polisi mkoa wa mbeya na sehemu nyingine nchini, halitamfumbia macho, wala kumuonea aibu muhalifu yeyote anaekusudia kufanya uhalifu na kusababisha uvunjifu wa amani na usumbufu kwa wananchi, atashughulikiwa vilivyo na kukabiliwa bila huruma 🐒
hiyo kiburi itaisha tu
kama inakusaidia ongeza bidii kukariri tu,Jiwe alikuja na ujinga kama huo na akafa kibwege sana
Hoja zako ni za kijinga mno! Chadema ina miaka 30 unaweza kuweka ushahidi wa Uhalifu wowote wa chama hiki unaoujua?kama inakusaidia ongeza bidii kukariri tu,
lakini ile muhimu zaidi ni kujizuia na kujitenga na uhalifu wa aina yoyote kwasabb hapata kua na kumuonea mtu haya wala huruma katika kudhibiti na kukabili uhalifu 🐒
Jambo la kwanza kabisa ni kuung'oa mzizi kunako anzia upumbavu huo.Je kuna haja ya kulifutilia mbali jeshi la Polisi na kuliunda upya huku baadhi ya viongozi wa Jeshi hilo wakikamatwa na kufunguliwa Mashtaka?
Hoja zako ni za kijinga mno! Chadema ina miaka 30 unaweza kuweka ushahidi wa Uhalifu wowote wa chama hiki unaoujua?kama inakusaidia ongeza bidii kukariri tu,
lakini ile muhimu zaidi ni kujizuia na kujitenga na uhalifu wa aina yoyote kwasabb hapata kua na kumuonea mtu haya wala huruma katika kudhibiti na kukabili uhalifu 🐒
Wanaandama kuadhimisha siku ya Vijana Duniani.Wewe unadhani Bavicha wanaandamana Kwa Nia gani?
Mbeya inaweza kuwa chachu ya jambo hili nje ya uchaguziJambo la kwanza kabisa ni kuung'oa mzizi kunako anzia upumbavu huo.
Mimi naomba tu kujuwa, kwa nini waTanzania wasistushwe kwa wingi wao na ujinga wa namna hii?
Kunatakiwa kufanyike kitu gani ndipo waTanzania wajue kuwa nchi yao ina hali mbaya sana kiutawala?
Policcm.Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako
Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi
View attachment 3067189
View attachment 3067190
Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba
Mgeni Rasmi alikuwa Ismail Jussa
View attachment 3067194
Lakini linapokuja suala la BAVICHA, Polisi wanaleta chokochoko kwa kutumikishwa na Watawala mithili ya Vitendea kazi vyao
View attachment 3067197
Huku Kauli za Vitisho zikitolewa bila aibu yoyote ile
View attachment 3067199
Je kuna haja ya kulifutilia mbali jeshi la Polisi na kuliunda upya huku baadhi ya viongozi wa Jeshi hilo wakikamatwa na kufunguliwa Mashtaka?
Pia soma:
Mtu yeyote ambaye bado anaamini kuwa chaguzi hizi zinazokuja karibuni zitakuwa tofauti na zile nyingine zote zilizokwisha pita; huu hapa ni mfano mzuri sana wa kumpa jibu.Mbeya inaweza kuwa chachu ya jambo hili nje ya uchaguzi
hata hiyo mihemko kwenye kuambiwa ukweli, ikiwa inakusaidia ongeza juhudi zaidi ufaidike...Hoja zako ni za kijinga mno! Chadema ina miaka 30 unaweza kuweka ushahidi wa Uhalifu wowote wa chama hiki unaoujua?
"...uhalifu..." unajulikana ulipo.kama inakusaidia ongeza bidii kukariri tu,
lakini ile muhimu zaidi ni kujizuia na kujitenga na uhalifu wa aina yoyote kwasabb hapata kua na kumuonea mtu haya wala huruma katika kudhibiti na kukabili uhalifu 🐒
Umedanganywa kijinga sana!hata hiyo mihemko kwenye kuambiwa ukweli, ikiwa inakusaidia ongeza juhudi zaidi ufaidike...
Jeshi la polisi nchini mpaka sasa limeshadhibiti genge la wahalifu walikukusudia kuleta fujo, na bado linaendelea na doria maeneo mbalimbali ili kulinda amani na usalama wa watu, biashara na makazi yao....
naendelea kukusihi wew na wananchi wengine kujiepusha na magenge ya uhalifu popote nchini ili kuepuka usumbufu na athari mbalimbali zinaweza kuwaletea madhara 🐒