Kwanini Kanisa Katoliki linahamasisha umaskini na halitaki kabisa watu waponywe na maradhi? Au wanafaidika nao

Prosperity gospel vs white magic
 
Yesu mwenyewe alikua anapiga uselemara miaka yake yote, wewe unataka uombewe leo na mwamposa halafu kesho umiliki nyumba na gari
 
Mimi sipingi maombi ya uponyaji na mafanikio kwa maana nayafanya kwangu na kwa watu wengine. Ila napinga uongo wanaofanya hawa "manabii" kwani wengi wao hutumia nguvu za giza, hilo ndio tatizo lao kubwa!
 
Hauna akili kama hao wachungaji wako wa mchongo
SHULELESS
 
Mimi sipingi maombi ya uponyaji na mafanikio kwa maana nayafanya kwangu na kwa watu wengine. Ila napinga uongo wanaofanya hawa "manabii" kwani wengi wao hutumia nguvu za giza, hilo ndio tatizo lao kubwa!
Yeah! Sijawahi kubahatika kuona mtu Mlemavu wa kiungo cha wazi e.g. miguu,mkono ameombewa na mara paap kasimama na kutembea. Ninaona wale wenye maumivu ya tumbo, kifua, kichwa ndo wanatoa ushuhuda.
 
Katoloki Huwa wanaangaia MAOKOTO.

Ndio maana palipo na katoloki, Kuna mizozo ila wao wanapata MAOKOTO
 
Katoloki Huwa wanaangaia MAOKOTO.

Ndio maana palipo na katoloki, Kuna mizozo ila wao wanapata MAOKOTO
Ni kinyume chake, maaskofu na mapadre wa Kanisa Katoliki hawaoi na hupewa nyumba, chakula, gari na huduma zote za afya n.k. bure kwa michango ya waumini. Nawafahamu wengi tu hawana hata senti lakini wanaishi altareni. Shida ni huko kwingineko ambapo watumishi wa kanisa wanahangaikia maokoto kwa ajili ya watoto, chakula, nyumba na kadhalika.
 
wakatoliki siku zote wanaishi kwenye misingi ya kumuacha mungu not personal issues.
 
Mimi sipingi maombi ya uponyaji na mafanikio kwa maana nayafanya kwangu na kwa watu wengine. Ila napinga uongo wanaofanya hawa "manabii" kwani wengi wao hutumia nguvu za giza, hilo ndio tatizo lao kubwa!
Kama.watu tunapona basi ngoja vuvu za giza hizo zidumu milele na milele
 
Anachifanya Mwamposa na wachungaji wengi uchwara ni ushirikina tu. Watu wanatakiwa kuambiwa ukweli kwamba mafanikio ya kweli si rahisi bila kujitoa kwa nguvu zako zote.....ngozi nyeusi haiamini sana katika kufanya kazi kwa bidii ndiyo maana wanatafuta shortcut kwenye hayo makanisa ya akina Mwamposa. Ingekuwa rahisi tu unaombewa na kufanikiwa, tungekuwa mbali sana kama taifa, yaani hata wazungu na wengine walioendelea wangekuja kujifunza kwetu. Hata huo uponyaji ni usanji tu maana kama kweli wanaponya watu wangeenda ocean road na hospitali nyingine kuokoa watu kwa maombi.
 
Kwa hiyo wakatoliki hawaamini katika maombi. Sasa wanasali vya nini wakati hawaamni. Kama Mungu anaweza kufanya magumu kuwa mepesi. Wanamchukulia mungu kama.katili
 
Wanadhani kwamba Wakatoliki hawayaoni hayo yaliyomo huko kwao ndo mana wamekaa kimya, kumbe hutokaa umsikie Mkatoliki akiwasimanga kama wao wanavyolisakama kanisa Katoliki.
 
Huo ndo ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…