Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Wakatoliki wakiwa mbele za Mungu wanafanya yafuatayo:-Kwa hiyo wakatoliki hawaamini katika maombi. Sasa wanasali vya nini wakati hawaamni. Kama Mungu anaweza kufanya magumu kuwa mepesi. Wanamchukulia mungu kama.katili
Hapa duniani kuna madhehebu ambayo ni matawi ya mashetani kumsaidia kazi ya ku pump watu kuzimu moja wapo ni hilo.Ukisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye.
Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na watu wanazidi kumiminika sana kwake which means wanaponywa na wanafaidika.
Ushauri wangu kwa maaskofu au mapadre, hubirini injili ya kweli na watu watawafuata msitumie nguvu mtaaibika
Mkuu unajua maana ya neno IMANI?Ukiweza kuivuna angalau kwa 0.001% juu ya kitu chochote basi inaweza kushtua subconscious mind(the part of your brain ambayo si rahisi kuiamsha) na ikafanya matokeo yyt yale unayotaka!!!!!!!!!!!!Ukisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye.
Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na watu wanazidi kumiminika sana kwake which means wanaponywa na wanafaidika.
Ushauri wangu kwa maaskofu au mapadre, hubirini injili ya kweli na watu watawafuata msitumie nguvu mtaaibika
noma sana mkuuπ
Kama kweli wanaponya wangeenda mahospital na kuponya wale walio kwenye drip na ICU!Ukisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye.
Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na watu wanazidi kumiminika sana kwake which means wanaponywa na wanafaidika.
Ushauri wangu kwa maaskofu au mapadre, hubirini injili ya kweli na watu watawafuata msitumie nguvu mtaaibika
It is Mwamposa who can teach. Others are unable.Mkuu unajua maana ya neno IMANI?Ukiweza kuivuna angalau kwa 0.001% juu ya kitu chochote basi inaweza kushtua subconscious mind(the part of your brain ambayo si rahisi kuiamsha) na ikafanya matokeo yyt yale unayotaka!!!!!!!!!!!!
Believe it or not,inshu ipo hapo kwenye namna ya kuivuna 'FAITH'!Hapo ndio kwenye shughuli.Hao maaskofu wanajua hilo na hata Mwamposa analijua hilo but no one will teach you how to harness 'faith'
Imani mkuu. Ukiwa na imani ndo pona pona yakoKama kweli wanaponya wangeenda mahospital na kuponya wale walio kwenye drip na ICU!
nakubaliMkuu unajua maana ya neno IMANI?Ukiweza kuivuna angalau kwa 0.001% juu ya kitu chochote basi inaweza kushtua subconscious mind(the part of your brain ambayo si rahisi kuiamsha) na ikafanya matokeo yyt yale unayotaka!!!!!!!!!!!!
Believe it or not,inshu ipo hapo kwenye namna ya kuivuna 'FAITH'!Hapo ndio kwenye shughuli.Hao maaskofu wanajua hilo na hata Mwamposa analijua hilo but no one will teach you how to harness 'faith'
Utapeli tu!Imani mkuu. Ukiwa na imani ndo pona pona yako
Kama huo mstari tu umeshindwa kuutafakari na kuutafasiri Biblia unasoma ya nini. Huu utajiri unaozungumziwa hapo siyo wa ulimwengu huu wala siyo wa kimwili, bali utajiri wa kiroho.We jamaa bhana......aliekuambia utajiri lazima uwe na uhusiano na Shetani ni nani ?...hata wafuasi wa Kristo wameahidiwa baraka na Utajiri.
2 Wakorintho 8:9
Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.
Andika kiswahili kizuri ueleweke ulichoandika.Katoloki Huwa wanaangaia MAOKOTO.
Ndio maana palipo na katoloki, Kuna mizozo ila wao wanapata MAOKOTO
Utajiri unaozungumziwa hapo ni wa kiroho na kimwili.Kama huo mstari tu umeshindwa kuutafakari na kuutafasiri Biblia unasoma ya nini. Huu utajiri unaozungumziwa hapo siyo wa ulimwengu huu wala siyo wa kimwili, bali utajiri wa kiroho.
Tafadhali isomeke "Mahubiri"Mahubili
Katoloki ndo nini?Katoloki Huwa wanaangaia MAOKOTO.
Ndio maana palipo na katoloki, Kuna mizozo ila wao wanapata MAOKOTO
View attachment 3020023
hapo vipi ππππ
China wanaombewa na mwamposa??Ukisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye.
Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na watu wanazidi kumiminika sana kwake which means wanaponywa na wanafaidika.
Ushauri wangu kwa maaskofu au mapadre, hubirini injili ya kweli na watu watawafuata msitumie nguvu mtaaibika
Hakuna Deen itakuletea pilau Nyumbani!Ni falsafa walizotoa kwa philosophers wakigiliki ambao kuna kipindi walikuwa na influence kubwa kwa mapapa kuliko Biblia.
Yesu alifanyika masikini ili sisi tulio masikini tupate kuwa matajiri. Huu mstari hawawezi kuusisitiza.