Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Ninashawishika na hoja yako kwamba utalii wa kuangalia wanyama sio that deal kwa nyakati za leo...Utalii wa kuangalia Nyumbu na wanya umepitwa na wakati, hebu nendeni Zanziber June July muone number ya wazungu.. Mazingira ustaarab wa watu ni Muhimu..kisiwa cha Mafia kina minwya ila miongoni mwa vivutio vikubwa Tanzania. Jina wangebadirisha na likawa ( Coconut Island) hili la Mafia linatisha kidogo.
Mwanza ifananishe na kisumu ,nenda kisumu alafu ukifika utaona mwanza ni uchafu, tukubali wenzetu wapo mbaliKwani wabongo mmekuwa vichwa maji na makasuku wa Wakenya.
Mwanza siyo Jiji?
Saanane Island haiko Mwanza Jiji?
Arusha siyo jiji??
Arusha National Park haiko Arusha??
Umewahi kufika Arusha, Zanzibar ukaona hotel??
Dar umewahi kufika, Mombasa je??
Kisumu hii👇👇Mwanza ifananishe na kisumu ,nenda kisumu alafu ukifika utaona mwanza ni uchafu, tukubali wenzetu wapo mbali
Unaifanaisha na Mwanza hii👇Mwanza ifananishe na kisumu ,nenda kisumu alafu ukifika utaona mwanza ni uchafu, tukubali wenzetu wapo mbali
Wazungu wanafanya SAFARIs.Ninashawishika na hoja yako kwamba utalii wa kuangalia wanyama sio that deal kwa nyakati za leo...
Kwasabu kama ni wanyama wapo kwenye nchi zote za tropical region...
Wapo Zambia, wapo Zimbabwe, wapo Nigeria, wapo Togo nk
Sasa Ili kumshawishi mzungu asiende kumtazama tembo ivorycoast au Benin unafanyaje.
Yupo mkuu humu katwambia Morocco na mauritius zina watalii maradufu kuliko sisi.....Morocco wana ngamia tu.
Mauritius wana fukwe tu.
Kwahiyo wanyama sio dili tena.
Zanzibar haina hao wanyama na inapata maelfu ya watalii kuliko Mikumi.
Mimi nakupa Ushahidi wa Kenya kukimbilia Tanzania kuja kutibiwa sababu hawawezi ku Afford gharama kwaoAcha ujinga wewe , mkenya gani anakuja Shithole country kutibiwa wewe jinga ,hivi mnatuona matako ya bibi zenu au sio ? , hizi takataka ambazo hata vidonge vya panadol hamna ? Au unazungumzia hospitali gani ? ,kwanza hospitali nyingi ziko chini ya taasisi za Roman Catholic na Lutheran ,hebu anza kuorodhesha hospital zilizojengwa na hawa vibakà wenu mnaowaita viongozi from scratch na utuonyesge efficiency yake hapa . Muwe na aibu kujisifia ujinga na upuuzi.
Kama una mipasho bora hata usi quote comment yangu, kama una data ku backup unachosema ziweke.Ungejua anachofanya wala usingeipa hype hio kitu
Kenya haina uwezo wa kushindana TZ, kwenye chochote.Ungejua anachofanya wala usingeipa hype hio kitu
Hii ni hoja nyepesi, watu hawaji kuangalia tu wanyama bali wa naangalia species ambayo hawawezi kuiona popote pale wa naangalia experience. Mtu anaweza a kaenda India akaona tembo then akaambiwa tembo wa Africa ni mara 2 ukubwa wa Tembo wa India Unafkiri kama huyo ni mpenzi wa Tembo hatakua na dream ya kuja huku kuangalia wapoje?Ninashawishika na hoja yako kwamba utalii wa kuangalia wanyama sio that deal kwa nyakati za leo...
Kwasabu kama ni wanyama wapo kwenye nchi zote za tropical region...
Wapo Zambia, wapo Zimbabwe, wapo Nigeria, wapo Togo nk
Sasa Ili kumshawishi mzungu asiende kumtazama tembo ivorycoast au Benin unafanyaje.
Yupo mkuu humu katwambia Morocco na mauritius zina watalii maradufu kuliko sisi.....Morocco wana ngamia tu.
Mauritius wana fukwe tu.
Kwahiyo wanyama sio dili tena.
Zanzibar haina hao wanyama na inapata maelfu ya watalii kuliko Mikumi.
Kwa Tanzania asilimia zaidi ya 90 wanaenda kwenye National Parks...Siyo kila mtalii anaenda Mbugani.
Kuna watalii wanakuja Kariakoo, Tandale, Arusha na kurudi kwao.
Shida ya watu, wakisikia watalii wanafikiria hao watalii wote wanaenda Serengeti, Ngorongoro, Mikumi,
Kuna watu wanakuja Dar wanapanda SGR mpka Morogoro then basi, wanakaa siku 3 wanarudi kwao au kwenda kwingine
Kwenye takwimu za utalii TZ ,utoana kuna wachina wengi sana.Kwa Tanzania asilimia zaidi ya 90 wanaenda kwenye National Parks...
Narudia tena,kwa kila watalii milioni moja wa mataifa mbalimbali wanaokuja hapa asilimia kubwa wanaenda wapi? Twende na data,mbona zipo wazi?Kwenye takwimu za utalii TZ ,utoana kuna wachina wengi sana.
Unawaona huko Mbugani??
Kama zipo wazi, share hapaNarudia tena,kwa kila watalii milioni moja wa mataifa mbalimbali wanaokuja hapa asilimia kubwa wanaenda wapi? Twende na data,mbona zipo wazi?
Yesu wangu hizi cm jmnHapo umeandika nini au ushalewa?
customer care uko sahihi kabisa.promotion, customer care and strategic marketing ndo walichotuzidi
Faida ipi??
Wabongo mko viazi sana
Hakuna kitu Kenya inaizidi TZViazi eti? Unaweza kufananisha kenya na Tanzania kimaendeleo?
SOUTH AFRICA wanufaika ni Wazungu tu.South Africa je tunawafikia hata kidogo?
Hizi ni moja ya akilinm za ovyo za karne ya 21.Nyerere alifeli kuwaondoa mapema wakoloni. Majengo mengi hata ikulu ya rais wenu imejengwa na mkoloni? Mbona bado mnatumia jengo la mkoloni sasa we kiazi?
Punguza uvuvi ingia kwenye website ya TANAPA....Kama zipo wazi, share hapa
Ni sehemu ipi ya website ya TANAPA inaonesha TAJWIMU👇👇Punguza uvuvi ingia kwenye website ya TANAPA....