Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Dakika hii Simba wako Egypt kwny pre season ambayo wangeweza kuifanya hata Zanzibar......na hii ni mara ya 3 au ya 4 wanatarii huko....tena walikuwa wanaogelea kabisa.Ila kwenye utalii wametuacha padogo. Kwa hiyo msijiachie saaana kuoverrate Kenya as if inapokea watalii milioni 10View attachment 3443351
Kibaya zaidi wamesilimishwa/kubatizwa kuwa MACHAWA!Embu fikiria unamtangazaji kama Zuhura Yunis na Salim kikeke shilika kubwa kama BBC badala ya tutengeneze Watanzania kama hawa kwenye Mashirika mengine makubwa sie tumewaludisha Nyumbani, Information is Power bahati mbaya informer wetu wachache International nao tunawaludisha home!
Wako Bure kabisa kabisa 😄😁😄😄😃Kibaya zaidi wamesilimishwa/kubatizwa kuwa MACHAWA!
Hawana uchambuzi waliojifunza BBC!
Wewe unaonekana huna akili timamu kwa kuiita nchi yako Tanzagiza.so what? hivi unajua hata ngorongoro ni nini? hiyo ni lift valley imeanzia ethiopia huko juu kupitia kenya mpka kwetu kuelekea kusini, kwa hiyo kwa akili yako unaona rift valley ilichagua tu kwetu? hata kuna mkoa maalumu kabisa kenya unaitwa rift valley unafikiri ni kwa nini?
isitoshe kila nchi ina upekee wake kama nilivyokwisha andika kuna mambo yako kenya ambayo watalii huyafwata ambayo tanzagiza hayapo na kinyume chake, mfano malkia elisabeth wa uingereza kabla hajawa malkia baba yake aliyekuwa king alifariki wakati malkia elisabeth akiwa holliday kenya hivyo umalkia ulimfika akiwa kenya, kuna waingereza wengi huenda kenya kutembelea hilo eneo na hiyo hotel na hivyo ni tourism huo ni mfano tu mdogo wa upekee wa kila nchi.
mnajidanganya sana kuamini kwamba tanzigiza pekee yake ndiyo ina upekee, hata common sense ilipaswa tu kukwambia kwamba hilo haliwezekani kama ni ziwa tanganyika lipo upande mwingine pia burundi, zambia na kongo sasa nani kakwambia kwamba ziwa tanganyika ni special kwa upande wa tanzagiza tu?
kuna watalii kwa mfano wanakwenda rwanda kwa sababu ya kuona gorilla tu ambao tanzagiza hakuna, wengine wanakwenda uganda kuona tu chanzo cha mto nile jinja, mto nile ni moja kati za mito muhimu duniani na chanzo chake kiko jinja uganda, mto nile umetajwa mara kadhaa kwenye Biblia takatifu na chanzo chake kiko jinja, uganda ...
Siyo kila mtalii anaenda Mbugani.Iko hivi ni kweli tuna mbuga nyingi za wanyama (National Parks,Game Reserves, Forest Nature reserves etc). Sasa swali ni je zote hizo zinajaza watalii kila mwaka? Jibu ni hapana na sababu ni nyingi, ikiwemo miundombinu, huduma mbalimbali nk... mfano the leading NPs kwa utalii bado ni huko kaskazini (Ngorongoro, Serengeti,KINAPA nk) ... yaani kwenye idadi mfano watalii 2M kwa mwaka unaweza kukuta ni from 5 key NPs na huko kwingine ni mmoja mmoja...
Wabongo wengi hawana taarifa, hawajishughulishi kujua na wanapenda kubonga usengeWe jamaa ni ng'ombe Tanzania Ina gorrila wengi kuliko hata hao Rwanda.
Nenda kigoma mbuga ya wanyama Gombe national park halafu ulete Majibu.
Ulivyosema Sisi hatuna nyani nimekudharau hapo hapo na kukupuuza
Create an account or log in to Instagram - Share what you're into with the people who get you.www.instagram.com
Wewe ni WA kupuuzwa 100%
Tulikuwa SAHIHI na bado tuko SAHIHI.Tatizo ni zaidi ya ushuru. Ni historia inayoanzia tangu tujitange kuwa nchi ya kijamaa na kutaifisha mali za ''mabeberu''. Taratibu tukajikuta tunajitenga na nchi za Mgharibi ambazo ndiyo zenye idadi kubwa ya watalii. Tukashindwa kuwekeza kwenye huduma, vivutio na matangazo. Inajulikana wazi kuwa watalii hawaendi sehemu tu kwa sababu kuna vivutio. Huwa wanaangalia watalala wapi, wakipatwa na dharura kama ugonjwa watatibiwa wapi bila kusahau matangazo ya kuwavutia na pia urahisi wa kusafiri wakati wa kwenda na wakiwa kwenye utalii. Kenya wao waliendelea na siasa za soko huru, na wazungu wengi hawakubughudhiwa.
Utaliinwa Zanzibar na Bara ni TOFAUTI.Wanaenda safari kuto-mbana tu kwenye hoteli za kifahari huko nje, huo ndio kitu wanayofanya kwenye utalii nothing else, ukiitangaza Tanzania maana yake umeitangaza Zanzibar ukiitangaza Zanzibar maana yake umeitangaza Tanzania, trick hapa ni kuwavuta Zanzibar kisha kuwavuta Bara ila wengi wakienda Zanzibar hawataki kuja Bara na wakija Bara wengi wanakimbilia Zanzibar, promo za matangazo ya utalii Zanzibar ni tofauti na promo za utalii Bara sio kwamba Bara hakuna vivutio hapana kuna vivutio vingi vingi sana kuliko Zanzibar ila basi tu
Mtu gani, wewe lipa hiyo 10,000 na risitiMtu anakwambia sheria inataka ulipie elfu 10 na risiti ila ukinipa 9000 sijui risit
KLM lini iliacha kutua KIAWazungu wengi wanashukia Kenyata Airport Nairobi kwa sababu mwanzo KIA walikua na Tozo kubwa kuliko wenzetu ndio chanzo cha ndege nyingi kuukimbia uwanja wetu iliwafanya wageni wengi kushukia kule harafu tunawafata na shuttles/Coaster na kuwaleta Arusha ila kama wangeweka mazingira ya Tozo mazuri nadhani ndege nyingi zingeshukia hapa hapa KIA ingawaje sasa hivi KLM wameanza kutua hapo KIA.
Wina ya utalii wanafanya kenya, approach zimetofautianaUkimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Wina ya utalii wanafanya kenya, approach zimetofautianaUkimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Kuna kitu kinaitwa hospitality hapo tu ndio wanapotuacha...Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Kwani wabongo mmekuwa vichwa maji na makasuku wa Wakenya.Mji mkuu wenye hifadhi ya mbuga za wanyama duniani ni nairobi, nairobi national park, mahotel ndo usiseme , dsm yenyewe haiwezi kuifikia mombasa,
Hata hii ni uwongo.Wina ya utalii wanafanya kenya, approach zimetofautiana
Utalii wa kenya ni cheap, wamefocus kubeba watalii wengi zaidi kwa gharama nafuu
While tz ume focus kwneye expensive tourism, wagen wachache lakin wana pay high amount