Mimi ni mkristo Mkuu, kwenye maandiko hilo lipo wazi mbona! Adamu aliwekwa na Mungu pale Edeni ili aitunze ile bustani. Baada ya Adam na Eva kula Tunda, Mungu aliposhuka alimuita Adam akumuuliza upo wapi? Swali unatakiwa kujiuliza kwanini hakumuita Eva? Lakini hata baada ya kujitetea kwa Adam unaona namna ambavyo Maswali mengi yalimuelekea Adam na si Eva. Hii ni nini maana yake? Maana yake Baba ndiye aliyewekwa mwangalizi wa familia ni kichwa cha familia ni mwangalizi wa familia. Ni mlinzi pia wa familia.Mr Spider we umejuaje kama huyo mungu atauliza hayo maswali?🤣🤣
Nimeishi nao vizuri tuuWewe uliishi vipi na wazazi wako. Tupe experience yako na kwa sasa nini kinatokea?
😃😃😃😃😃mbona umesema ukweli mtupu.Sasa unataka Wamchukue baba kwao aanze kuunguruma? Hujui fahati wawili hawakai zizi moja?
Madingi wengine wanafujo, anaweza hamishia sheria za kwake hapo kwako ukaishi kama uko gerezani.
Just kidding 😂
Sema kitu KiongoziHii ni touch point, ngoja nipite kama naaga maiti
Yaani umchukue mke wangu ukaishi nae wakati nahitaji wewe mtoto unanitafutaSijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........
Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri
Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi , wengine wanafika hatua wanamchukua mama yao na kuishi nao katika nyumba zao za kifahari huku wakimuacha baba yao katika hali ngumu ya kimaishaa
Shida ni nini lakini
HahahahhaAnza wewe kutuambia, kwanini unamuona mama ako ndio bora kuliko baba.
Hivi kuna msanii wa kike, alishawahi kuimba nani kama mama??
Wanaobagua baba ni wanaume, wanaolalamika kubaguliwa ni wanaume, sasa sijui tuwasaidieje......Sio wote...ila, baadhi ya wanaume ndio viongozi wa kufanya haya mambo wakati nyie ni kina baba pia. Mnalalamika wanawake wanawapa sumu watoto huku mnalea mama zenu hapo nyumbani na baba zenu mmewatelekeza huko vijijini. Na inajulikana kuwa, mara nyingi mama huishi kwa mtoto wake wa kiume aliyeoa na sio wa kike aliyeolewa hata mpaka kufa kwake. Naungana na Evelyn Salt kuwa hii mada inawalenga nyinyi zaidi. Nweiz, mbegu tunazopanda ndo mazao tutakayovuna bila kujali jinsia.....
Ewaaah!! Kila mara nasemaga "that's a nature" baba atapendendwa na watoto wa kike na mama atapendwa na watoto wa kiume huu ni ukweli mchungu kabisa ambao wachache wataelewa.Anza wewe kutuambia, kwanini unamuona mama ako ndio bora kuliko baba.
Hivi kuna msanii wa kike, alishawahi kuimba nani kama mama??
Halafu mtoto wa kiume yeye akishakuwa baba, watoto wakimpenda mama anamind, wakati nae alikua akimpenda mama ake zaidi.....Ewaaah!! Kila mara nasemaga "that's a nature" baba atapendendwa na watoto wa kike na mama atapendwa na watoto wa kiume huu ni ukweli mchungu kabisa ambao wachache wataelewa.
Mama anacheza kitu kinaitwa walking on double road at the same time when she go and when she returns, anatembelea njia zote mbili, tofauti ya Baba yeye anafuata utaratibu wa kutembelea njia moja tuShida ni nini lakini
Ewaaah🥰mnaona jamani simimesema na kila mara nasemaga hii ni nature watoto wa kike wanampenda baba then wakiume wanampend mother na maisha yanenda fresh tuSijawahi kumthamini mama kuliko baba, wote nawathamini kwa usawa kabisa..
Ukiona baba huthaminiwi tambua kwamba hukuwa karibu na watoto wako kipindi wapo wadogo kila kitu ulimwachia mama yao, watoto wanahitaji uwepo wa wazazi wote.
Sababu nyingine ni kama ulimtesa mama yao kwa namna yoyote na wakashuhudia...my friend...utajua hujui.
Ndivyo tulivyo binadamu tena ukweli mchungu kabisa ni kwamba watoto wa kike wengi wenu mnajali sana ikiwa mmepata maisha wazazi na ndugu ufaidi tofauti na sisi wanaume ndio maisha yalivyo,Halafu mtoto wa kiume yeye akishakuwa baba, watoto wakimpenda mama anamind, wakati nae alikua akimpenda mama ake zaidi.....
Hili swala liingie kwenye katiba
Sasa hii kusingizia tunalisha sumu watoto inayokeaga wapi, au na nyie mlilishwaga sumu na mama zenu 😂😂😂Ndivyo tulivyo binadamu tena ukweli mchungu kabisa ni kwamba watoto wa kike wengi wenu mnajali sana ikiwa mmepata maisha wazazi na ndugu ufaidi tofauti na sisi wanaume ndio maisha yalivyo,
Unakuta kwenye familia kuna watoto wengi wa kiume Wana maisha mazuri ila miongoni mwao Kuna masikini kabisa Wala hata awamsaidii anaangaika tu na maisha ila angekuwa wa kike msaada chapu kidogo naye kapata pa kushika.