Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,360
No ndio maana nimetangulia kusema kwamba hii ni "nature" nikimainisha kwamba ni hali halisi iliyopo ulimwenguni tangu mwanzo.Sasa hii kusingizia tunalisha sumu watoto inayokeaga wapi, au na nyie mlilishwaga sumu na mama zenu πππ
Kwamba mleta Uzi ni Christian Bella Obama, mzee wa Sweden au ? πππAnza wewe kutuambia, kwanini unamuona mama ako ndio bora kuliko baba.
Hivi kuna msanii wa kike, alishawahi kuimba nani kama mama??
Kirusi ni mama mwanzo mwisho ukiona hivyo Yule mama hakufaa kabisa mzee alitakiwa amsitukie muda mzee alimvumilia ili kulea watoto lakini bado mama alikuwa jasusi hatari kumwaga sumu madogo wamchukie dingi.Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........
Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri
Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi , wengine wanafika hatua wanamchukua mama yao na kuishi nao katika nyumba zao za kifahari huku wakimuacha baba yao katika hali ngumu ya kimaishaa
Shida ni nini lakini
Vitu gani hivyo ephen_ ulivyoshindwa kunipa mumeo enzi za ujana wetu, damu ilipokuwa inachemka na kubingirita tulikuwa tunaweza?! Vitu gani hivyo?! Umenishtua!!!β¦ π³Mama humpa mtoto vitu vya thamani ambavyo pesa haiwezi kununua.
Sasa nikae nakubembeleza kisa mmekosana na mpenzi wako mliyekutana Facebook na umri hauruhusu, magonjwa yamesheheni na shule perfomance mbovu! Ebo! Kwanini nisikuwashe viboko na nikakuripoti shuleni na mwalimu wa nidhamu akuwashe viboko pia tena assembly ππMuda, huruma, faraja, upendo etc.
Mfano Mtoto akilia mama anaweza kukesha akim'bembeleza kitu ambacho wababa wengi hawawezi.
Watoto hulalia upande ambao wanaona wanathaminiwa zaidi.
Maneno haya Mama yangu Mzazi aliwahi kuniambia, kuwa βBARAKA INATOKA KWA BABAβDuniani (kiroho), kuna vita endelevu kati ya mpango wa Mungu na mpango wa shetani. Moja ya formula katika mpango wa Mungu na succession plan ya Dunia ni Baba arithishe vizazi vyake Baraka njema. Ndio kusema anayeweza kutoa Baraka kwa watoto wake ndani ya mpango huo ni Baba. Soma vitabu vyote utaona Baba ndio waliotoa Baraka kwa watoto wao.
Kinachotokea Sasa duniani ni Mpango wa Mungu kuvurugwa na shetani. Na anajua Moja jinsia rahisi sana kuzitumia ni Mwanamke. Ona Eva ndio chanzo la anguko la Adam, Dalila ndio chanzo cha anguko la Samson nakadhalika. Hatujawahi kusikia Mwanaume akiwa anguko la mwanamke
Hata Sasa shetani anatoa attachment kubwa wa watoto wa kiume kwa Mama zao na kuwaongiza kuwadharau baba zao maana anajua kitu kinachoenda kutokea mbeleni kumasaidia katika mpango wake.
Nawaasa wanaume, kama unaye baba Dunia kuwa naye Karibu na Mheshimu no matter what happened before maana Huyo ana Baraka Yako. Na kamwe usiache kumpenda Mama Yako maana ni rahisi sana kuleta anguko lako.
Baraka inatoka kwa Baba, lakini na sisi tuwe makini tuwe wachokozi kwa watoto wetu kiasi cha kuweka ugumu wa wao kuzipata baraka hizo. Mimi naamini kila mtu akisimama kwenye nafasi yake vizuri, hakutakuwa na shida mambo yataenda vizuri. Inatia huzuni kukuta mwanaume mwenzako anajisia ana watoto sita halafu hana bond na hao watoto, tujiulize tunaanda jamii ipi, tunaanda taifa lipi hapo mbeleni? Dunia sasa si salama matatizo yameongezeka na kufunuka kwa uwazi, teknolojia ni kubwa kuliko hapo miaka ya nyuma. Watoto wadogo wanasikia na kuona mengi mno pengine kuliko wazazi wake, je ni nani atampa ulinzi? Ni nani atamwelekeza katika njia iliyo sahihi? Ni nani atampa majibu ya maswali anayojiuliza kila mara na kukosa majibu? Baba anawajibu wa kusimama kama Kiongozi namba moja kwenye familia yake na kuiongoza vyema.Maneno haya Mama yangu Mzazi aliwahi kuniambia, kuwa βBARAKA INATOKA KWA BABAβ
Ahsante sana Dataz
Mama hajawahi kumwaga kirusi ni baba aliokota kirusi. Ni baba hakikitengeneza kirusi hakuthamini familia aliona nje ndiyo wanathamani ki kiwaida ulivyotengeneza ndivyo utakavyotumia.Kirusi ni mama mwanzo mwisho ukiona hivyo Yule mama hakufaa kabisa mzee alitakiwa amsitukie muda mzee alimvumilia ili kulea watoto lakini bado mama alikuwa jasusi hatari kumwaga sumu madogo wamchukie dingi.
Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........
Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri
Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi , wengine wanafika hatua wanamchukua mama yao na kuishi nao katika nyumba zao za kifahari huku wakimuacha baba yao katika hali ngumu ya kimaishaa
Shida ni nini lakini
Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........
Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri
Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi , wengine wanafika hatua wanamchukua mama yao na kuishi nao katika nyumba zao za kifahari huku wakimuacha baba yao katika hali ngumu ya kimaishaa
Shida ni nini lakini
Nje kivipi? Unamaanisha kuchepuka? na hiyo ndio tatizo la wanawake kitendo cha mume kutoka nje shida ipo kwa mke kupoteza mvuto na bado kazubaa tu hashughulikii tatizo baadae anaanza kusema anateswa hadi anaanza kutia huruma na watoto wanamwona na jamii inamwona.Mama hajawahi kumwaga kirusi ni baba aliokota kirusi. Ni baba hakikitengeneza kirusi hakuthamini familia aliona nje ndiyo wanathamani ki kiwaida ulivyotengeneza ndivyo utakavyotumia.
Hahahahaha, nasemwa vibaya na mleta madaSema kitu Kiongozi
Kuna wale wazee wanaopambana na life huku wakiwa na vision ya kuwakwamua watoto(familia), hao ni big YES.Mwanaume ukiwa maskini automatic utachukiwa na familia yani ipo hivyo . Ulishaona watoto wakishua wanamchukia baba yao? ,, life likiwa gumu kuna namna unatoa malezi hash kwa watoto . All in all tufanye kazi kwa bidii usije ukategemea watoto
Hii kauli naibeba! Mwanaume ni kama bulldozer π€£π€£π€£π€£Watoto ni wa mama jua hili kuanzia Leo.
Mwanaume ni sawa na bulldozer ukishamaliza kutengeneza barabara uruhusiwi kuitumia so andaa maisha yako binafsi uzeeni usitegee watoto.
Watoto kwako urithi jina tu
Yani sijui kwa Nini tu, Mimi mwenyewe nimejikuta nimebase sana kwa mama kuliko baba nadhani hiyo ndio nature ya Dunia. Istoshe mwanamke huchukuliwa kama kiumbe dhaifu hivyo wengi tunakuwa upande wa mama kwa huruma pia. Lkn ukweli ni kwamba hakuna Dunia hii kiumbe chenye thamani kwa mtoto kama mama.Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........
Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri
Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi , wengine wanafika hatua wanamchukua mama yao na kuishi nao katika nyumba zao za kifahari huku wakimuacha baba yao katika hali ngumu ya kimaishaa
Shida ni nini lakini
Well said brother! ππ»Kuna wale wazee wanaopambana na life huku wakiwa na vision ya kuwakwamua watoto(familia), hao ni big YES.
Halafu kuna wale wengine ambao ni kinyume na hiyo sentensi juu, yaani wao malezi ovyo, hakuna uwajibikaji wala hamna vision ya kuikomboa familia. Mzee kama huyu mtoto akifanikiwa sidhani kama atakuwa na hamu ya kukumbuka hayo machungu, wazazi wakike ni mara chache sana kutotoa inputs kwenye hustle za watoto, mwishowe ndio upendo unakuwa mzazi wa kike pekee pindi neema ya Muumba ikishuka