Kwanini Magufuli aliwaogopa sana Nape na January Makamba?

Kuna kitu kinafanywa na wote, wenye uthubutu wa kufanya hivyo ndio huonekana wa kwanza hata kama wako wengi.
Hiyo ndio ccm haijalishi yupo Magufuli, Nape au January.
 
Aliwasamehe, lakini je wao - Makamba, Nape walikuwa wa kweli?
 
Unadhani hatujui tofauti ama?
Hizo tofauti ni muendelezo wa pale mlipoishia, wenyewe mlikuwa mmesharidhika na aina ya chaguzi za Tanzania zisizo na haki Magufuli kaongeza episodes tu na mtazoea tu. Kama vile Magufuli alivyozuia mikutano ya siasa kwa upinzani ila Samia na ccm wameendelea na huo utaratibu wa mtangulizi.
 

Ni kweli hazikuwa za haki, lakini still wapinzani walikuwa wanazidi kuzoa viti. Ingekuwa vinapungua hapo sawa.
 
Ni kweli hazikuwa za haki, lakini still wapinzani walikuwa wanazidi kuzoa viti. Ingekuwa vinapungua hapo sawa.
Bado ccm walikuwa wengi bungeni na ndio walikuwa na nguvu, na huo ni upande wa wabunge tu ambao ndio walikuwa wanaachia mgombanie ila kwenye urais huko hata upinzani wamsimamishe Kikwete hawatoboi.
 
Magufuli aliwafukuza Jesca Msambatavangu na Sofia Simba kisa tu hawakukubaliana na kitendo cha CCM kumkata Lowassa, Magufuli aliagiza Tundu Lissu kupigwa risasi kisa alimuita dikteta uchwara,
 
Aliwaogopa au wao ndo walimuogopa?,alisubiri kuja kuwatumia Kisiasa
Ila wao ndio wakamtumia... Kama Nape alienda kule Kusini kabla ya kura za maoni akamnadi kwelikweli wajumbe wasije kumkataa
 
Hivi kile chuma ni cha kuogopa hawa wadudu kweli jamani!
Nape alikwenda ikulu kwa magoti ambayo ni ishara ya woga uliopindukia!
Makamba wote 2 walitafuta hadi mashimo ya kuingia kumkimbia πŸ—οΈπŸ”‘πŸ€£
Nape una video au picha yake akipiga magoti?
 
Ukimuacha nyoka aliekukosakosa ukiwa shambani au kwenye Banda la kuku awamu ijayo atatafuta uficho mzuri wa kukumaliza. Mungu kaamua ugomvi imagine hii kauli !!
 
Hivi kile chuma ni cha kuogopa hawa wadudu kweli jamani!
Nape alikwenda ikulu kwa magoti ambayo ni ishara ya woga uliopindukia!
Makamba wote 2 walitafuta hadi mashimo ya kuingia kumkimbia πŸ—οΈπŸ”‘πŸ€£
Wanajifanya wamesahau,
Eti aliwaogopa wakati jiwe kawajambisha mpk kutembea na magoti mtu nusu kilomita mchezo.
Hao wengine walihama mji kabisa wakakaa kwa kutulia shamba huko.
 
Kumbe Tundu Lissu ni kiroboto na upigwaji wake risasi hauhusiki Kwa serikali wala mkuu wa serikali aliekuwepo?....oohho nimekupata
Alipigwa risasi na nani unayemjua wewe?
Tupe ushahidi
 
Bado ccm walikuwa wengi bungeni na ndio walikuwa na nguvu, na huo ni upande wa wabunge tu ambao ndio walikuwa wanaachia mgombanie ila kwenye urais huko hata upinzani wamsimamishe Kikwete hawatoboi.

Wingi wa wabunge wa CCM ulikuwa ukienda ukipungua, fahamu msemo usemao bandubandu humaliza gogo. Nguvu ya wabunge wa CCM haikuwa kwenye hoja huko bungeni, bali kura. Na wananchi walikuwa wanazidi kuamka kwani walikuwa wanaangalia ubora na sio wingi.
 
Nani aliyeisababisha CCM ikataliwe na watanzania 2015 ? Wakati CCM inakataliwa na watanzania nape na january walikuwa ndani ya CCM au walikuwa nje ya CCM?
 
JPM alikuwa mpuuzi anayevaa suti. unawadukua watu ili iweje? unawadukua watu kisha unataka kuombwa msamaha? yaani umfanyie mtu kosa kisha akuombe msamaha? hata mungu hajawahi fanya hivyo
 
Walikuwa bado makinda wadogo wakilelewa ndani ya ccm
Januari alikuwa MSAIDIZI WA RAIS IKULU na Baadaye Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Katibu na Siasa Kimataifa wa CCM, Naibu Waziri wa Mawasiliano huo ukinda ndani ya CCM umeutoa wapi, Nape alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM huo ukinda umeutoa wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…