Kwanini Makonda asijenge Muslim University badala ya Msikiti wa zaidi ya Tsh. Bilioni 2 pekee?

Ajenge msikiti mkubwa elimu ya ahera ndo nzur ,ayo maelemu ya Nini wakat watu hawana ajira mtaani ? Si Bora msikiti tu
 
Msimpangie!, kama ni Muslim university, wamepewa majengo bure na serikali pale Moro, wameshindwa ku run, msikiti hauhitaji utaalam to run, unahitaji tuu jengo, watu waswali waingie peponi.
P
Pascal unaweza kuonyesha hayo majengo wamepewa..? Wameazimwa hawajapewa!
 
Kuna shida kwenye Ufikiri wenu, mtu amapanga kuwapa waislam zawadi ya Msikiti nyie hamtaki mnataka zawadi ya Chuo sijui Hospital, are you guys serious.
 
Kipindi cha Christmas na Pasaka, Mashekh utawasikia msile sikukuu za makafiri tena wanapost kwenye social media za makafiri.

Huo msikitini wanajengewa na kafiri Makonda, safi sana Makonda wajengee maana huku mtaani wanaomba hela sana za kujenga misikiti.

Inatakiwa wajengewe mingi ili washinde misikitini wakijashituka hospital na shule nyingi za wakristo
 
Hii ndio inaitwa inzi akuacha ujinga atazalisha asali ndio wewe leo.

Ni hatua muhimu kama mpaka Waislamu radical kama wewe mmebaini utapeli wa Makonda na kuwatumia waislamu kupiga cha juu cha DP World baada ya dili la jezi za stars kulamba mchanga.

Ni hatua nzuri kama mnaanza kujitambuwa.
 
Wajinga kama wewe ndio faraja ya Makonda, yani wewe kwa akili Makonda ana uwezo wa kujenga msikiti hata millioni 50?

Kuna vitu nyuma ya pazia hamvijui.
 
Sisi tunataka kuswali kwenda Firdausi.....tukiumwa tutatibiwa kwenye hospital za WAKIRISTO.....
 
Ndugu malaria kwanza sio bil 2 ni 200 pili umeniibia wazo bila kufanya citation wala ku-like post 😃 nimekusamehe kwa sababu yule Chizi anatakiwa kupigwa both angles
 

Attachments

  • IMG_1512.png
    524.1 KB · Views: 11
Reactions: Lax
Makonda ni bora angejenga chuo cha ufundi kwa ajili ya vijana wa Arusha kujifunza ufundi ingefaa sana kipindi hiki cha ukosefu wa ajira, misikiti na makanisa yanayojengwa kwa gharama kubwa hayana tija kwa maisha ya sasa badala yake yanawanufaisha wachache kiuchumi
 
Wajinga kama wewe ndio faraja ya Makonda, yani wewe kwa akili Makonda ana uwezo wa kujenga msikiti hata millioni 50?

Kuna vitu nyuma ya pazia hamvijui.
Naona unateseka sana kuona Makonda anawajengea sehemu ya kujitawazia maana haurusiwi kwenda na mav* mk*ndn msikitini😄😄😄
 
Hao Bakwata ni wapumbavu wa Hali ya juu kabisa, wangekuwa na akili wangeweza kufanya hata kampeni ya wazi ya kuchangisha michango kwaajili ya kufanya miradi ya maana kabisa kama Mavyuo ya kisasa, Hospitali, Viwanda nk. Wao ofisini wamejaza watu wajinga Wanaosubiri misaada Tu...Nina uhakika Bakwata wangepata pesa nyingi Sana kwenye hiyo kampeni, pesa ambazo wasingezitarajia kabisa....Matajiri wa kiislamu TZ ni wengi wangepata pesa ndefu, Huko middle east, Asia kuna nchi zingetoa mzigo mzuri kama project ni ya kueleweka wangepata Sana pesa badala ya kupewa pewa tende.... Probably hata huyo makonda hizo pesa ni za ujanja ujanja, pesa chafu.
 
Anataka kukuza utalii wa kidini. Arusha iwe inatenbelewa na waisilamu.
Safi sana.
Ikiwezekana ajenge na Al Kaaba kama walivyofanya wahouthi kule Yemen. Wamejenga al kaaba yao mambo yasiwe mengi. Hakuna kumpelekea Msaudi hela za bure

 
Reactions: Tsh
😆 😄 😄 jamaa wanawaza mabikira 70
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…