Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio issue hiyo. Unaweza kunitajia waziri mweusi huko Ujerumani, uswis, Denmark, Hungary, urusi, Japan, Argentina, nk? Usiangalie China na uarabuni tu ukakengeuka.Taja waziri mweusi huko China au Middle East??..
Umemjibu vizuri sana mkuu..Hao machoko wa Zenji nao walibadilishwa jinsia na nani!? Punguza chuki Ustaadhi.
Mzungu (America na Europe) ndio wanaofanya dunia kuwa pahala salama zaidi pa kuishi..Sio issue hiyo. Unaweza kunitajia waziri mweusi huko Ujerumani, uswis, Denmark, Hungary, urusi, Japan, Argentina, nk? Usiangalie China na uarabuni tu ukakengeuka.
Marekani watu weusi waliingia kitambo sana, tena wazungu si asili yao huko. Ufaransa walikuwa ba policy yao inaitwa assimilation. Halafu angalia Afrika.... Kuna waarabu wengi tu wamezaliana na blacks. Hata Chinese na wahindi vilevile.
Acha inferiority na kutukuza wazungu. Kwanza wazungu ndio wana roho mbaya kuliko race zote huwezi amini.
Soma hiyo >>>> https://www.france24.com/en/africa/...f-sub-saharan-african-migrants-amid-crackdownSio issue hiyo. Unaweza kunitajia waziri mweusi huko Ujerumani, uswis, Denmark, Hungary, urusi, Japan, Argentina, nk? Usiangalie China na uarabuni tu ukakengeuka.
Marekani watu weusi waliingia kitambo sana, tena wazungu si asili yao huko. Ufaransa walikuwa ba policy yao inaitwa assimilation. Halafu angalia Afrika.... Kuna waarabu wengi tu wamezaliana na blacks. Hata Chinese na wahindi vilevile.
Acha inferiority na kutukuza wazungu. Kwanza wazungu ndio wana roho mbaya kuliko race zote huwezi amini.
Ninaomba unitajie Chinese au Arab aliyeenda kuchukua mtoto nchini Haiti baada ya yale maafa ya mwaka 2010..Sio issue hiyo. Unaweza kunitajia waziri mweusi huko Ujerumani, uswis, Denmark, Hungary, urusi, Japan, Argentina, nk? Usiangalie China na uarabuni tu ukakengeuka.
Marekani watu weusi waliingia kitambo sana, tena wazungu si asili yao huko. Ufaransa walikuwa ba policy yao inaitwa assimilation. Halafu angalia Afrika.... Kuna waarabu wengi tu wamezaliana na blacks. Hata Chinese na wahindi vilevile.
Acha inferiority na kutukuza wazungu. Kwanza wazungu ndio wana roho mbaya kuliko race zote huwezi amini.
Saaaana mkuu..Mzungu yuko vizuri
Ulitaka tufikie wapi mkuu??..Aisee, tumefikia huku daah.
Kaa karibu na wazungu upate maendeleo. Ukombozi mlianza kuupigia kelele more than 50 years ago, ila mpaka leo mmefanya nini mkuu?? Kumuua Mzee Ally Kibao kikatili, ndio mmefanikiwa au sio??..Wako wakipata majanga nani anayewaadapt.
Hizo ni dalili za umasikini, tulipaswa kupambana kuhakikisha tukipata shida tunaweza kujisaidia wenyewe.
Wenye roho mbaya wanawapa ARVs na chanjo za Corona bure.Acha inferiority na kutukuza wazungu. Kwanza wazungu ndio wana roho mbaya kuliko race zote huwezi amini.
Uwezo wa kijeshi aliokuwa nao mzungu laiti kama angepewa mwarabu, basi ingekuwa ni balaa na kutaka dunia nzima tuhamie kwa lazima katika dini yao..mwarabu anadharau sana pesa zao hazina msaada kwa regular labda VVIP.
We waziri mchina hapa bongo unaye?mbona hamjikubari nyinyi watu weusi?Taja waziri mweusi huko China au Middle East??..
Baba Mwajei haupo kijiwe cha gahawa acha kambaHalafu wa kisha wa Asili wanawabdilisha na jinsia kabisa wanaume wanakuwa wanawake.
Hakuna Taifa Duniani ambalo limechukua watu weusi, likawafanyia asimmiliation na kutengeneza jamii ya watu weusi Wenye hela zaidi kuliko Waarabu.
Oman na Saudia kuna Watu weusi ambao hawana njaa wala hawahitaji kuwa adopted ili wawe relevant.
Ni Arabuni pekee utakuta viongozi weusi Wanaongoza bila kuwa mafisadi na kuongeza nchi zenye matrilioni ya utajiri.
Then why mtu mweusi Tajiri awe anapokezana msaudia na Dangote? Weusi Wa Saudia wana hela karibia wote wana contribution kubwa kwenye Uchumi ni MA CEO wa makampuni yao na wanashika nafasi kubwa kubwa , ila weusi USA wenye hela wachache wengi wamejaa jela na sehemu za watu masikini that's a fact.Nenda Marekani ukawaone akina Serena na Venus Williams ndio uje uandike tena huu upuuzi wako..
Bado masikini sana mimi ngekua Raisi ningewabana kuja kuwekeza Tanzania wachina ni vibaka walio changamka.Hiyo ni kweli Chinese ni wabaguzi sana
Wewe huna akili, una uhakika kuwa waafrika hawafanyi kazi kwa bidii? una uhakika kuwa afrika ndio bara lenye rasilimali nyingi kuliko bara lolote? Una uhakika rasilimali za afrika zinaweza kuwaondolea umaskini waafrika? hivi korea kusini na japan zina rasilimali kuizidi afrika? je tuko sawa nao kiuchumi? fikiri nje ya box ndugu usikaririKwa nini watu weusi tunajiona races nyingine zina wajibu wa kutusaidia? Uzae wewe halafu uulize ni kwa nini watu hawa-adopt watoto wako. Afrika ina raslimali nyingi sana na badala ya kulialia kutaka misaada ilibidi tufanye kazi kwa bidii.
Ni uamuzi tu hatuwadai chochote. Sisi wenyewe bado wahindi waliozaliwa hapa tunawaita magabachori bashe mpaka leo anaitwa msomali halafu unataka mwafrika awe kiongozi kwa wachina na waarabu.(1) Balotelli alifanyiwa adoption na wazungu.
(2) Baada ya kimbunga na maafa kule Haiti, wazungu walichukua idadi kubwa sana ya watoto kuwapeleka Ulaya na Marekani kama watoto wao.
(3) Ni mtu gani mweusi aliwahi kuwa kiongozi wa kisiasa China au nchi yoyote ya Kiarabu??
Siku hizi nimekuwa mvivu sana wa kuandika, ila all in all, GOD BLESS AMERICA.
~ SIPENDI SIASA ~
Ila nyie watu wapumbavu sana.(1) Balotelli alifanyiwa adoption na wazungu.