johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.
Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?
Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?
Je, Mbowe ni mti wenye matunda?
Mwenye majawabu Tafadhali!