Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa Chadema tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.

Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa Nccr mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?

Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?

Je, Mbowe ni mti wenye matunda?

Mwenye majawabu Tafadhali!
Mnamuanzishiaga nyuzi bila kujua nini chanzo??
 
Mbowe Ni mwamba .

Hao wanaomsema msema mbowe hawana hata uwezo wa kufanya aliyoyafanya mbowe katika siasa na maisha

Wanabebwa na mbeleko ya system nje ya hapo Ni weupe kabisa

Ushahidi Ni wale waliohamia chadema

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Mtu kaanza kumiliki Benz mwaka 1982 utadhani ni mwenzio! The guy is smart aiseeeee yaani bongo nzima walikua wawili tu, yeye na Nyerere halafu kuna mbwa kama Sabaya anaropoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumiliki benzi 1982 ni kuwa na akili?

Duh.. Hizi akili za bavicha
 
Mbona kuna watu umewaacha

Mwendazake

Clouds media

Wewe mwenyewe

Mataga

UVCCM

Covid 19

.......

Kwa kiufupi sana Mbowe hana njaa na hajawahi kuwa na njaa.

Na hii ndio principle wanatumia nchi za wenzetu kuwapata viongozi.

Elimu uliyosoma isipokusaidia haina tofauti na gari Ya fire inayokuja bila Maji Wakati nyumba inateketea na moto

Keeping moving Mwamba Mbowe
njaa aitoe wapi kama anajua kula na akina ndugai bila nyumbu kujua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa Chadema tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.

Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa Nccr mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?

Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?

Je, Mbowe ni mti wenye matunda?

Mwenye majawabu Tafadhali!
Bwashee nyindaa! Kwakua wewe ni inner circle ya huko ungetusaidia kwann ndani kwako wanatumia nguvu kubwa against Mbowe.
 
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa Chadema tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.

Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa Nccr mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?

Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?

Je, Mbowe ni mti wenye matunda?

Mwenye majawabu Tafadhali!
Asupojadiliwa maongezi au discussion zinakosa Mvuto au Afya. Yaani hata audience wanasinzia. Jina la Freeman Mbowe kikaoni linaamsha🔥🔥
 
UKIFUATILIA MAKALA YA HISTORIA YAKE INAYOENDELEA KWENYE GAZETI LA MWANANCHI, FREEMAN AIKAEL MBOWE MWENYEWE AMEELEZEA KWAMBA HIYO BENZ ALIAGIZA YEYE NA NYERERE ALIMSAIDIA KULITOA BANDARINI.
Sio benz ni bmw 528i
 
NI kutokuwa wa Njaa Njaa. 1982 Nchi ilikuwa imetoka Vitani. Uchumi Hoi. Hakuna fedha Kitaifa. Nchi mikononi MWA Nyerere aliyeijua familia ya Mbowe na hustle zao hadi akakubali kulitoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumiliki benzi 1982 ni kuwa na akili?

Duh.. Hizi akili za bavicha
 
Back
Top Bottom