Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa Chadema tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.

Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa Nccr mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?

Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?

Je, Mbowe ni mti wenye matunda?

Mwenye majawabu Tafadhali!
Alafu mbowe wa watu hana hata time nao masikiti ya mungu
 
Hiyo Benzi ilikuwa inamilikiwa na freeman au ilikuwa inamilikiwa na mbowe??? Ufafanuzi please!
UKIFUATILIA MAKALA YA HISTORIA YAKE INAYOENDELEA KWENYE GAZETI LA MWANANCHI, FREEMAN AIKAEL MBOWE MWENYEWE AMEELEZEA KWAMBA HIYO BENZ ALIAGIZA YEYE NA NYERERE ALIMSAIDIA KULITOA BANDARINI.
 
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa Chadema tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.

Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa Nccr mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?

Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?

Je, Mbowe ni mti wenye matunda?

Mwenye majawabu Tafadhali!
Mti wenye Matunda siku zote hupigwa Mawe waache hao Wapumbavu wajifurahishe Mbowe ni Shujaa
 
Ukiona mwanaume hasa mtu mfupi anamtajataja mwanaume mwenzake Mara kwa Mara hasa mrefu unganisha desh desh........mpaka 7
 
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa Chadema tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.

Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa Nccr mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?

Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?

Je, Mbowe ni mti wenye matunda?

Mwenye majawabu Tafadhali!
Kwa unavyomchukia Mbowe hii post yako ni unafique mtupu Jo
 
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa Chadema tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.

Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa Nccr mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?

Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?

Je, Mbowe ni mti wenye matunda?

Mwenye majawabu Tafadhali!
Nani kamuandama Mbowe? Kasema kafanya Nini, au umeota anaandamwa?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Siasa haiitaji fitna imepitwa na wakati muasisi wake mwenyewe ameshapata malipo yake. Watu hawasomi nyakati,subiri soon Mbowe anaenda kuwa boss wao
 
Hata kulitaja hilo jina Sabaya ni kumpaisha

Screenshot_20210511-065948.png
 
Siasa haiitaji fitna imepitwa na wakati muasisi wake mwenyewe ameshapata malipo yake. Watu hawasomi nyakati,subiri soon Mbowe anaenda kuwa boss wao
Magufuli ndio muhasisi wa siasa za kuchafuana na kuuana
 
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema yeye na wenzake walianzisha chama hicho ili kupinga sera za ujamaa na kujitegemea zinazotumiwa na Chama cha Mapinduzi.

Akizungumza katika mwendelezo wa mahojiano yanayoitwa ‘Speaking with Tundu Lissu’ yaliyorushwa na Podcast ya Nadj Khamis, Mbowe amesema chama hicho kilianzishwa na watu wenye mtazamo wa soko huria waliopinga ukandamizwaji kiuchumi na kijamii uliokuwa umeshika kasi.

Alisema vuguvugu la mabadiliko lilikuja wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi, aliyerejesha uhuru wa kibiashara na hivyo watu wakatamani kuwa na mabadiliko kwenye nyanja ya kisiasa.

“Wakati biashara zimeruhusiwa kukawa na vuguvugu la kisiasa. Kukawa na harakati za kina Mzee Fundikira (Abdallah), harakati za Mzee Mapalala (James), kule Chuo kikuu, harakati za kina Marando (Mabere) na wengineo,” alianza kueleza Mbowe, ambaye kwa muda mrefu sasa amekuwa kinara kwenye siasa za Tanzania.

Ametaja makundi matatu ya mageuzi yaliyoibuka kuwa pamoja na kundi la wasomi na waliofanya kazi serikalini, akiwataja aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Naibu Gavana, Bob Makani na wengineo.

“Kundi la pili lilikuwa na wafanyabiashara ambao waliona kasi za kufanya baishara haziendani na sera za ujamaa. Kwa hiyo tulitaka kujadili sera za uchumi wa soko. Kundi la tatu lilikuwa ni la wasomi wazuri, wengine wako vyuoni, mashirika ya umma na serikalini,” alisema.
 
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa Chadema tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.

Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa Nccr mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?

Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?

Je, Mbowe ni mti wenye matunda?

Mwenye majawabu Tafadhali!
Kona zipi? Ngapi? mjinga, mwenye uwezo mdogo wa kufikiri mmoja na muuaji , mtekaji, mmoja ndio kila kona?
 
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa Chadema tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.

Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa Nccr mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?

Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?

Je, Mbowe ni mti wenye matunda?

Mwenye majawabu Tafadhali!
Bwasheee kidogo kidogo unawageuka wenzio. Au ndio umepata akili sasa?
 
Wote wanaomshambulia background zao wametoka jamii fukara sn, wanaona wivu mafanikio ya Mbowe.
 
Back
Top Bottom