Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa Chadema tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.

Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa Nccr mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?

Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?

Je, Mbowe ni mti wenye matunda?

Mwenye majawabu Tafadhali!
Hawa wote Mbowe si saizi yao, na ndiyo maana hawaishi kumtajataja.
mwendazake mwenyewe alichemka baada ya kumfungia mwamba account zake zote ili akampigie magoti - hadi mwendazake anafunga safari yake hakuna goti lililopigwa!!

Ile ni nyumba ya siasa, kwa maneno mengine ni Fundamental of Politics!! acha kabisa!!
 
Mwamba anawanyima usingizi
Mbowe alone Ni kama ccm wote walio hai+waliokufa
Falsafa ya CCM kwa sasa, ili upate cheo au upande cheo , Lazima umtukane Mzee Mbowe.
na mpinzani aliefika bei lazima apewe media press amtukane Mhe, Mbowe.

Hii maana yake ni kua Magufuli alishaiua CCM mazima.
Na CHADEMA imeimarika sana tena sana chini ya Mwamba Mbowe,ndio chama pekekee kinachokubalika na kuaminika kwa sasa.

MaCCM yanaumia sana.
 
Wale wanaojua "kweli" kuhusu chaguzi zetu, hawawezi kuacha kuisakama CDM. Chama mmekizidi kila kitu, pamoja na kuwanyanyasa, kuwanyima airtime, nk lakini mnashangaa wananchi wanakipenda na kukipa kura kwa wingi....bila hata kuhonga au kutumia mabilioni kwenye kampeni zao! Mnaona kabisa msipoiba kura, hicho chama kinawabwaga kwenye sanduku la kura!

Wataachaje kumchukia mwenyekiti wa chama hicho?
 
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.

Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?

Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?

Je, Mbowe ni mti wenye matunda?

Mwenye majawabu Tafadhali!
Ni kisiki cha mpingo CCM na mwendazake walijaribu lakini hafiki bei, CCM wanajua wakimpiga mchungaji na kondoo wanatawanyika, Magu alitumia mbinu ya kumdhohofisha kiuchumi, kabomoa billcanas, kamfungia account,kuharibu mashamba, gazeti, kambambikia kesi, kafungwa lakini mwamba yupo pale pale zaidi akaona fursa kwenda nje kufungua biashara. Ndiyo sababu kinawauma kutokana na misimamo yake na imani kubwa kwa chama.
 
Wale wanaojua "kweli" kuhusu chaguzi zetu, hawawezi kuacha kuisakama CDM. Chama mmekizidi kila kitu, pamoja na kuwanyanyasa, kuwanyima airtime, nk lakini mnashangaa wananchi wanakipenda na kukipa kura kwa wingi....bila hata kuhonga au kutumia mabilioni kwenye kampeni zao! Mnaona kabisa msipoiba kura, hicho chama kinawabwaga kwenye sanduku la kura!

Wataachaje kumchukia mwenyekiti wa chama hicho?
Hata Nyalandu mwenyewe alikiri wanachama na mashabiki wa chadema wanaupendo mkubwa na chama tofauti na ccm
 
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.

Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?

Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?

Je, Mbowe ni mti wenye matunda?

Mwenye majawabu Tafadhali!
Kwani Mzee Mgaya anasemaje?
 
ndio maana Chadema imefariki maana Mbowe yeye mwenyewee kilaza amezungukwa na vilaza na mashabiki zake vilaza
 
Hata wewe mkuu ukitumia ubongo wako vizuri utapata majibu sahihi. Vinginevyo kamuulize Mkataa Pema a.k.a Bashiru Ally.
 
Mwamba kama Mwamba kaiua CCM.
MaCCM haya amini, miaka 60 madarakani mpaka leo mnajenga tu chama alichokiua Mbowe.

Mungu ampe uhai mrefu M/kiti wangu Mzee Mbowe, nampenda sana tena sana, kutoka moyoni kabisa kabisa.🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumiliki benzi 1982 ni kuwa na akili?

Duh.. Hizi akili za bavicha
Ukoo wenu wote mulieahi kumiliki Benz 1982?. Au unafikiri kumiliki Benz ni sawa na kumiliki toroli?
 
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.

Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?

Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?

Je, Mbowe ni mti wenye matunda?

Mwenye majawabu Tafadhali!
Gwaji boy naye leo kaibuka na Mbowe
 
Back
Top Bottom