Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

UKIFUATILIA MAKALA YA HISTORIA YAKE INAYOENDELEA KWENYE GAZETI LA MWANANCHI, FREEMAN AIKAEL MBOWE MWENYEWE AMEELEZEA KWAMBA HIYO BENZ ALIAGIZA YEYE NA NYERERE ALIMSAIDIA KULITOA BANDARINI.
Duh!Kaanza kuwa na Busara katika umri mdogo sana aisee...
 
Kwani
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.

Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?

Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?

Je, Mbowe ni mti wenye matunda?

Mwenye majawabu Tafadhali!
Kwani nyie ufipa mlivyokua mnamuandama makonda, sabaya, polepole , bashiru huwa wanawanyima usingzi😀😀 usiwe na akili za kipumbavu
 
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.

Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?..
Kwani mzee Mgaya anasemaje?
 
Hivi idadi ya mamluki mliowaanda na kuwatuma wamefika wangapi?
Hata kama unashinda kila kitu lazima kiwe na kikomo, inafika sehem useme bhasi uwaachie na wengine, haiwezekani ukae madarakani zaid ya miaka 20, mbowe hana 'kiasi' na huo ni udhaifu mkubwa sana .
 
Umoja wa kutetea demokrasia Tanzania(Ukudeta) leo mnamo tarehe 12/5/2021 tulifanya kikao chetu cha dharura chenye lengo la kutafakari demokrasia yetu ya Tanzania

Tumekubaliana kwa pamoja kuanzisha harakati na maandamano yasiyokuwa na kikomo kuwashinikiza wenyeviti wa vyama vya siasa Tanzania wakongwe wastaafu mara moja kwa hiari yao ama watastaafu kwa kushurutishwa

wenyeviti hawa hapa ni miongoni mwao FREEMAN ALKAEL MBOWE

IBRAHIM HARUNA LIPUMBA, JOHN MOMOSE CHEYO, James Mbatia na wengineo

Tunataka tunusuru democrasia yetu na tutapeleka hoja binafsi Bungeni yenye lengo ya kuushinikiza muhimili huu wa dola kibadili vipengele kadhaa ndani ya katiba vinavyokinzana na misingi ya utawala bora

sote tumeshuhudia viongozi hawa wamejigeuza kuwa wafalme yaani Lords ambapo wanadhorotesha misingi ya demokrasia na utawala bora

pia tunapingana na ufalme na mfumo dume ulioko ndani ya CHADEMA ambao unafanya shambulizi la kisaikolojia juu ya wabunge 19 wa Chadema

Tunakamilisha hatua za kuwashitaki viongozi wa Chadema wakiongozwa na dikteta na mfalme Ndugu mbowe

Tumedhamiria nia tunayo uwezo tunao na sababu tunazo kwa pamoja tutainusuru demokrasia yetu

Aluta continua
 
Umoja wa kutetea demokrasia Tanzania(Ukudeta) leo mnamo tarehe 12/5/2021 tulifanya kikao chetu cha dharura chenye lengo la kutafakari demokrasia yetu ya Tanzania...
Kwani lilekundi lililokwamia awamu iliyopita ndio kazi waliyojipa baada ya kushindwa kazi yao ya msingi.
 
Akina Silinde mmewang'oa,hawajawatosha?

Nyerere alianza uenyekiti na Tanu Miaka ya 50 mwishoni akakamata CCM 1977 mpaka Miaka ya 90. Miaka 30 plus.

Halafu bado kidogo nisahau

Vipi vyama vilivyokaa muda mrefu madarakani?
 
Umoja wa kutetea demokrasia Tanzania(Ukudeta) leo mnamo tarehe 12/5/2021 tulifanya kikao chetu cha dharura chenye lengo la kutafakari demokrasia yetu ya Tanzania...
Mmemshindwa SSH naona sasa mmegeukia kwa Mbowe. Kati ya Mbowe, lipumba, mrema na cheyo ni yupi mwenyekiti aliyekaa muda mrefu zaidi kwenye chama?
 
Umoja wa kutetea demokrasia Tanzania(Ukudeta) leo mnamo tarehe 12/5/2021 tulifanya kikao chetu cha dharura chenye lengo la kutafakari demokrasia yetu ya Tanzania...
Musiba katika ubora wako.

Toka mume wako afe unahaha Sana, Mara umshambulie mama, mara Kikwete, Mara January.

Acha upumbavu wako Cyprian Musiba!

Mbowe ni Chadema, wewe ccm anakuwashia Nini? Mnamgwaya mnatamani afe Chadema itetereke, haondoki madarakani, hafi, mtakufa ninyi Kama meko
 
Back
Top Bottom