Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.

Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?

Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?

Je, Mbowe ni mti wenye matunda?

Mwenye majawabu Tafadhali!
 
Mbowe ni kibaka
 
Tokea lini ulishakuwa na akili timamu.
 
Mbona kuna watu umewaacha

Mwendazake

Clouds media

Wewe mwenyewe

Mataga

UVCCM

Covid 19

.......

Kwa kiufupi sana Mbowe hana njaa na hajawahi kuwa na njaa.

Na hii ndio principle wanatumia nchi za wenzetu kuwapata viongozi.


Elimu uliyosoma isipokusaidia haina tofauti na gari Ya fire inayokuja bila Maji Wakati nyumba inateketea na moto

Keeping moving Mwamba Mbowe
 
Mbowe ni kiboko ya maccm na hakuna anayeweza kumkwaza kwa sasa.
 
Hiyo Benzi ilikuwa inamilikiwa na freeman au ilikuwa inamilikiwa na mbowe??? Ufafanuzi please!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…