Mnamuanzishiaga nyuzi bila kujua nini chanzo??Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa Chadema tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.
Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa Nccr mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?
Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?
Je, Mbowe ni mti wenye matunda?
Mwenye majawabu Tafadhali!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumiliki benzi 1982 ni kuwa na akili?Mtu kaanza kumiliki Benz mwaka 1982 utadhani ni mwenzio! The guy is smart aiseeeee yaani bongo nzima walikua wawili tu, yeye na Nyerere halafu kuna mbwa kama Sabaya anaropoka
Amekuwa akipambana kumuua Mbowe anakwama, Mbowe ameanza kutembelea BMW 1985 wakati huo Sabaya hata maza ake hajavunja ungo eti anataka kujilinganisha na Mbowe.Mbona takataka Sabaya mnalitaja bila sababu .
RightMbowe Ni mwamba .
Hao wanaomsema msema mbowe hawana hata uwezo wa kufanya aliyoyafanya mbowe katika siasa na maisha
Wanabebwa na mbeleko ya system nje ya hapo Ni weupe kabisa
Ushahidi Ni wale waliohamia chadema
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Huo mwaka huko kwenu hata punda hamkuwa nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumiliki benzi 1982 ni kuwa na akili?
Duh.. Hizi akili za bavicha
njaa aitoe wapi kama anajua kula na akina ndugai bila nyumbu kujua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona kuna watu umewaacha
Mwendazake
Clouds media
Wewe mwenyewe
Mataga
UVCCM
Covid 19
.......
Kwa kiufupi sana Mbowe hana njaa na hajawahi kuwa na njaa.
Na hii ndio principle wanatumia nchi za wenzetu kuwapata viongozi.
Elimu uliyosoma isipokusaidia haina tofauti na gari Ya fire inayokuja bila Maji Wakati nyumba inateketea na moto
Keeping moving Mwamba Mbowe
mbowe ni ccm kikazi.Mwamba anawanyima usingizi
Mbowe alone Ni kama ccm wote walio hai+waliokufa
Kwahiyo wewe ni mtoto wa Mbowe?Huo mwaka huko kwenu hata punda hamkuwa nayo
Wewe ni mke wa Mbowe??Kwahiyo wewe ni mtoto wa Mbowe?
Bwashee nyindaa! Kwakua wewe ni inner circle ya huko ungetusaidia kwann ndani kwako wanatumia nguvu kubwa against Mbowe.Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa Chadema tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.
Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa Nccr mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?
Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?
Je, Mbowe ni mti wenye matunda?
Mwenye majawabu Tafadhali!
Huwa anashinda mbona CCM inaongoza nchi kibabe miaka yote na hamsemi?Mwenyekiti 20+, huyu mlafi wa madaraka ndio aliyeiua chadema
Asupojadiliwa maongezi au discussion zinakosa Mvuto au Afya. Yaani hata audience wanasinzia. Jina la Freeman Mbowe kikaoni linaamsha🔥🔥Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa Chadema tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.
Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa Nccr mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?
Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?
Je, Mbowe ni mti wenye matunda?
Mwenye majawabu Tafadhali!
Kibaka alimbaka mama yakoMbowe ni kibaka
Sio benz ni bmw 528iUKIFUATILIA MAKALA YA HISTORIA YAKE INAYOENDELEA KWENYE GAZETI LA MWANANCHI, FREEMAN AIKAEL MBOWE MWENYEWE AMEELEZEA KWAMBA HIYO BENZ ALIAGIZA YEYE NA NYERERE ALIMSAIDIA KULITOA BANDARINI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumiliki benzi 1982 ni kuwa na akili?
Duh.. Hizi akili za bavicha
Yupo bize na mambo yake kimya kimya ila anawashughulisha kuanzia bungeni kwa yule malkia wa mipasho mpaka nashangaaAlafu mbowe wa watu hana hata time nao masikiti ya mungu
Kamanda mbwakachoka!Tokea lini ulishakuwa na akili timamu.
Joni akili zimerudi sawa enzi hiziTokea lini ulishakuwa na akili timamu.