nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Duh!Kaanza kuwa na Busara katika umri mdogo sana aisee...UKIFUATILIA MAKALA YA HISTORIA YAKE INAYOENDELEA KWENYE GAZETI LA MWANANCHI, FREEMAN AIKAEL MBOWE MWENYEWE AMEELEZEA KWAMBA HIYO BENZ ALIAGIZA YEYE NA NYERERE ALIMSAIDIA KULITOA BANDARINI.
Kwani nyie ufipa mlivyokua mnamuandama makonda, sabaya, polepole , bashiru huwa wanawanyima usingzi😀😀 usiwe na akili za kipumbavuNijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.
Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?
Yohana nauliza kwanini Freeman Mbowe anaandamwa kila kona?
Je, Mbowe ni mti wenye matunda?
Mwenye majawabu Tafadhali!
Wataka jina la kupeleka kwa FUNDI wako?Hiyo Benzi ilikuwa inamilikiwa na freeman au ilikuwa inamilikiwa na mbowe??? Ufafanuzi please!
Wataka jina la kupeleka kwa FUNDI ?Hiyo Benzi ilikuwa inamilikiwa na freeman au ilikuwa inamilikiwa na mbowe??? Ufafanuzi please!
Unahis elim ya darasani ndio kipimo cha akili?
Kwani mzee Mgaya anasemaje?Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.
Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?..
Kamanda mambosasa naona umwjitokeza dhidi ya mtu aliyekutia mmimba hahahaTokea lini ulishakuwa na akili timamu.
Hata kama unashinda kila kitu lazima kiwe na kikomo, inafika sehem useme bhasi uwaachie na wengine, haiwezekani ukae madarakani zaid ya miaka 20, mbowe hana 'kiasi' na huo ni udhaifu mkubwa sana .
Alishakubaka mara ngapi? na je ulipataimba?Mbowe ni kibaka
Umekula maharagwe ya wapi wewe?Hivi idadi ya mamluki mliowaanda na kuwatuma wamefika wangapi?
Ya kwetu Tukuyu. Nimekuwa nikiyala tangu utoto wangu.Umekula maharagwe ya wapi wewe?
Kwani lilekundi lililokwamia awamu iliyopita ndio kazi waliyojipa baada ya kushindwa kazi yao ya msingi.Umoja wa kutetea demokrasia Tanzania(Ukudeta) leo mnamo tarehe 12/5/2021 tulifanya kikao chetu cha dharura chenye lengo la kutafakari demokrasia yetu ya Tanzania...
Mmemshindwa SSH naona sasa mmegeukia kwa Mbowe. Kati ya Mbowe, lipumba, mrema na cheyo ni yupi mwenyekiti aliyekaa muda mrefu zaidi kwenye chama?Umoja wa kutetea demokrasia Tanzania(Ukudeta) leo mnamo tarehe 12/5/2021 tulifanya kikao chetu cha dharura chenye lengo la kutafakari demokrasia yetu ya Tanzania...
Musiba katika ubora wako.Umoja wa kutetea demokrasia Tanzania(Ukudeta) leo mnamo tarehe 12/5/2021 tulifanya kikao chetu cha dharura chenye lengo la kutafakari demokrasia yetu ya Tanzania...