Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?


Kwa hiyo Hata Adamu na Hawa wasingekula lile tunda wangekufa tuu?
Si ndio unachojaribu Kueleza hapa?
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa unachekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Bible hiyo inatetea wizi na uuwaj pia mungu kaua watu pia kwenye bible
 
Sahihi kabisa unachosema.

Je hizo Sign zikiwa kwa mamia
Wingi si hoja, wingi hauna influence yeyote ya kufanya madai yanayosemwa na wengi yawe ni kweli

Tuna rekodi za maelfu ya watu kuamini jua linazunguka na kwamba dunia ni bapa

Wingi wao haukuwa na mchango wowote kufanya yale wanayoyawaza yawe kweli
 
Ungekuwa una hakika sijaelewa usinge ni recommend kuitafuta hiyo original

Bila shaka unafahamu nimeelewa ila umekosa maelezo mazuri ya kufafanua hilo jambo bila kuipinga biblia na bila kuipinga sayansi

Hapo ndio nilipouona mtihani wako

Siku ya 1 hadi ya 3 ziliwezaje kupita bila jua na mwezi kuwepo?

Elezea hilo jambo kisayansi huku ukiwa ja taadhali ya kutokosoa maandiko ya kitabu chako
 
Wingi si hoja, wingi hauna influence yeyote ya kufanya madai yanayosemwa na wengi yawe ni kweli

Tuna rekodi za maelfu ya watu kuamini jua linazunguka na kwamba dunia ni bapa

Wingi wao haukuwa na mchango wowote kufanya yale wanayoyawaza yawe kweli
Simaanishi wingi wa watu namaanisha wingi wa Signs.

Kuna Signs ngapi kuonesha Jua ni Mungu?

Mfano kama sisi waisilamu
1. Kuna predictions kibao ambazo Mwenyez Mungu amepromise zimetokea, tunaongelea makumi kama sio mamia ya predictions

2. Vitu ambavyo civilization ya nyuma ilikuwa haivijui na ya sasa imeprove kwamba ni kweli

3. Vitu ambavyo vilipotea kwenye Historia na baadae kugunduliwa etc.

Ni vitu ambavyo mwanadamu wa kawaida haviwezi kuvijua 100% bila kukosea.
 
Hii logic ilishakuwa debunked na hii statemnt.

"Who paint the painter?"

Sababu picha imechorwa haimaanishi mchoraji amechorwa.

Sababu binadamu Ametengenezwa haimaanishi Mungu nae Ametengenezwa, Simple Logic.
 
Predictions ya kufata series ya matukio sio kitu cha kushangaza mzee, kitu cha kushangaza iwe ni predictions with exactly informations

Mbona watu wengi wame predict vingi na vimetokea je hao nao tuwaite Mungu?

Mfano mzuri wa prefiction ni huu, Predict sema tarehe fulani , ya mwezi fulani, ya mwaka fulani, saa fulani eneo fulani kuna kitu fulani kitafanyika

Watu watakaa macho sasa kusikilizia hicho kitu kama kitatokea

Hiyo ndio prediction sasa na uiseme hiyo sio kwa kuangalia ra

Sio kutuambia kuwa

Miaka ijayo kutaakuwa na vita, taifa moja litaenda kupigana na taifa lingine

Huu sio ubashiri huu ni uhuni uliowekwa kwa sura nyingine, nani asiyejua kuwa jinsi watu wanavyozidi kuishi maswala ya kigunduzi yanaongezeka?

Unatabiri kusema miaka ya mbeleni kutakuwa na watu wameenda kuishi mars. Huo sio utabiri hizo ni calculation based on record

Sema tarehe 1 mwezi wa 9 mwaka 2030 watu wataenda mars kwa kifaa fulani (unakitaja na jina) ili tarehe hiyo ikifika watu wakuone muongo

Sio unakuja na backup hutaji tarehe ili hata ulicho tabiti kksipotokea tushindwe kukushika uongo
 
Mtoto wangu akionesha interest za kutaka kumjua James Bond kwa sababu mimi nina movies nyingi sana za James Bond, hilo linamaanisha James Bond yupo kweli?

Una prove vipi hiyo unayoiita "innate religion" inatoka kwa Mungu na si natural morality tu?



 
Kama "Mwana wa Mungu, na Mungu Yesu Kristo" na "Allah" kwa nguvu nasifa wanazodaiwa kuwa nazo, wangeamua kumshughulikia huyo anayeitwa "shetani", basi kusingekuwa na haja ya hizi dini.
 
Hiyo research ya Finland, mwanamme rijali mikidinda kwa kuwa nimemuangalia Zena, mwanamke mzuri wa kuchorwa, mwenye maumbile ya kuvutia , kwenye gazeti la SANI, hilo linamaanisha huyo katuni Zena ni mtu kweli?
 
Na predict kesho jua litaonekana kuchomoza duniani.

Kesho jua likichomoza na mimi nitakuwa Mungu?
 
Bonge la Mada, Mwandish unakera asee[emoji23]
 
Kwa hiyo Hata Adamu na Hawa wasingekula lile tunda wangekufa tuu?
Si ndio unachojaribu Kueleza hapa?
Yes wangekufa ...kwasababu kifo kiliumbwa kabla ya kuumbwa kwa viumbe. Hata malaika pia watakufa licha ya kuwa wao wamepewa umri mrefu sana kuliko viumbe wengine but when their appointed time come ,they will die. Nothing will remain but Al mighty GOD
 
Sahihi kabisa unachosema.

Je hizo Sign zikiwa kwa mamia
Kuna wakati watu wengi waliamini jua linazunguka dunia.

Je, hilo lilifanya kuwa jua linazunguka dunia kweli?

The truth is not democratic useme kwamba watu wengi tukisema jua linazunguka dunia, basi itakuwa kweli jua linazunguka dunia.
 
Mfano Utabiri

-kwamba Mtume atawapiga waroma at that time mtume alikuwa na kigenge tu cha watu sembuse jeshi na Roma ni super power ambayo wanajeshi tu wapo in terms of Million. Mfano wake leo hii nitabiri wamakonde wataipiga Usa ina Mashiko right?

-utabiri wa kwamba Mabedui watashindana kujenga Maghorofa marefu Duniani. Mfano wake leo nitabiri Wamasai watashinda kujenga maghorofa marefu duniani ina mashiko pia? Hawa mabedui kwa maelfu ya miaka wanachunga tu kondoo huko jangwani na Ngamia ila ghalfla tu within short time Burj Khalifa, Milad, princess, clock towers etc zote zipo huko.

Kuna tabiri kibao nyengine zinatajwa wazi wazi hakuna fumbo lolote

 
Kama kawaida yenu enyi mliokufuru, kufanya kejeli dhidi ya waliomuamini Mungu. Hamna jambo jipya mtakuja kulifanya ambalo baba zenu waliowatangulia ktk kukufuru hawakulifanya. Huwa mnarudi yale yale ila karibu mtakuja jua. Mwanadamu umri wako ni mchache sana.
 
Sina la kusema ngoja nilipeleke hili kwa mwamposa
 
So unakubali kumuamini mungu ni morality?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…