Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

Linalomtokea , nimeona mpk kifuani kumetuna huku ukirem seebua kama ni wewe KE basi haina ubaya.
Hii mada haihusiani Na ushoga ila umetafuta mbinu zote Hadi umeuingiza hapa..

Mkuu achana Na mambo ya kishoga hata Quran inapinga (hopefully?)
Rais Samia siyo Kiongozi wa dini.

Ni Rais wa NCHI.

Yuko madarakani kwa mujibu wa KATIBA na siyo kupitia kitabu Cha Quran.
Lakini pia Ni muislam Na Ni mwanamke.
According to hiyo Dini hapaswi Kuwa raisi wa nchi
 
Sisi tunazungumzia mwanamke kuongoza watu ,
Na sio kuongoza kigenge cha vikoba.,
Au kuongoza biashara.
Au kuongoza family.

Dini imeshakueleza udhaifu wa mwanamke.

Hapo rais pia ameomba ajira, hivyo ni kazi kama shughuli nyingine isiyo ya kiimani. Urais siyo cheo cha kutumikia imani fulani. Hivyo mwanamama yeyote anaweza kuwania na kupewa kazi ya kidunia kuongoza watu.
 
Nchi ya kiislamu ya Bangladeshi serikali yake inaongozwa na mwanamama

Hon’ble Prime Minister H.E. Sheikh Hasina


Under her leadership her party Bangladesh Awami League led grand alliance to win a landslide victory in the 9th Parliament Election on December 29, 2008 with 262 seats out of 299 in the National Parliament.

Sheikh Hasina took oath as Prime Minister of Bangladesh at a ceremony held at Banghabhaban on January 06, 2009.

READ MORE : Hon’ble Prime Minister H.E. Sheikh Hasina


Bangladesh is the first constitutionally secular country in South Asia, having declared itself as an explicitly secular state in 1972. It was the first and only Muslim-majority country in South Asia to enshrine secularism in its constitution
 
Hapo rais pia ameomba ajira, hivyo ni kazi kama shughuli nyingine isiyo ya kiimani. Urais siyo cheo cha kutumikia imani fulani. Hivyo mwanamama yeyote anaweza kuwania na kupewa kazi ya kidunia kuongoza watu.

Rejea kwenye makatazo ya Mungu,,
Na sio utashi wa kibinadamu..
 


https://thediplomat.com › 2021/12
Bangladesh's Identity Crisis: To Be or Not to Be Secular - The Diplomat

6 Dec 2021 — In keeping with its election promise, the Awami League government restored secularism but kept Islam as the state religion in 2011.........

Post-1975 military regimes have exploited religious sentiment by installing Islam as a guiding principle to garner popular support and to overcome the crisis of legitimacy.

Even democratic regimes have resorted to such ploys; the use of Islamic phrases in the Constitution continues.

Bangladesh’s two major political parties, the Awami League and the Bangladesh Nationalist Party, have played the Islamic card to come to power. In addition to aligning with Islamist organizations and parties, they have conceded to them the role of king-make.....
 
Bangladesh haifati Sharia za kiislam.
Hizi inchi
India(Hindustani)
Pakistan
Bangladesh
Zote zamani zilikuwa ni sehemu ya India.

Na Wana tamaduni zinazofanana,
Wote ni watu wamoja.,
na walitawaliwa na mfalme mmoja muislam.
Na walitawaliwa na British.

Wanachofanya ni kuendeleza utamaduni wao ,
lakini sio kufata dini.

Hizo inchi sio inchi zinazofata Islamic laws,.
Wote wanafata Sheria za British.

Na inchi hizo zote zilijitenga kutoka India kwasababu ya majority ya wanainchi wake wengi ni waislam,,

Inchi zinazofata Islamic laws ni
Afghanistan
Saudia Arabia.

Hadi leo ukiiba unakatwa mkono.
Mzinifu anahukumiwa kwa mujibu wa dini.

Pakistan,Bangladesh hawafati Sharia za kiislam.

Na sio Islamic countries
 
Haya ma prof ya CCM, Ma prof tumbo sio ya kuyaamini kabisa.
 
Kwa hiyo wapakistan siyo waislam!!?..acheni hizo,Pakistani siyo nchi ya kiislam
Mkuu tofautisha.
Inchi ya kiislam.
Na inchi yenye waislam wengi.

Hivi Zanzibar ni Muslim country?

Kuwa muelewa.
 
ila muddy Hana shukrani kabisa...bi Khadija kamkuta jalalan kampa Hela,kamlea,kampa biashara...ila jamaa alipotoboa Tu Na kuanza kupata wafuasi akàanza kumuongezea wake mpaka 11.
Halafu kwenye kitabu chake Quran kawapondea kinoma wanawake
Acha kupotosha, hakuoa mke kipindi bi khadija yuko hai, alioa tena baada ya bi khadija kufa. Na ndoa nyingi alizofunga zilikuwa kwaajili ya kuwakomboa wanawake ambao walikuwa katika shida fulani, maana zama hizo mwanaume hakuruhusiwa kusaidia mwanamke yeyote asiyekuwa mke wake kwa kulingana na aina ya maadili ya kipindi hiko
 

Kwa kifupi tunaweza sema kwa msemo "kusitiri".
 
Unamaanisha kula kitimoto, kuzini, kuiba na kuua ni ruksa kwenye uislamu sababu havipo kwenye hizo nguzo 5??
Katika kila dini kuna DOs and DON'Ts. Hayo ni makatazo.....don'ts. Sio ruhusa.
Asante kwa swali lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…