inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Waarabu wanaita Sharia kwa kuwa kabla hawakuwa na Sheria mpaka ilipokuja Qur'an,so wakisema Sharia kwa Sasa wanamaanisha ya quranNi kweli lakini wanapozungumzia Sharia means wanamaanisha wanachokisimamia..
na ukila nguruwe umevunja amri gani kati ya hizo???Rekebisha heading yako. Nguzo za Uislam ni 5
1. Kusadiki imani ya Kiislam kwamba Mungu ni 1 na Muhammad ni mjumbe wake
2. Kusali sala 5
3. Kutoa zaka
4. Kufunga Ramadhan
5. Kuhiji Makka
Sasa mwanamke akiwa Rais ni nguzo gani imekiukwa?
Ndy hapo kwamba Pakistan na Bangladesh hawatumii Sharia kuhukumu baadhi ya makosa.Waarabu wanaita Sharia kwa kuwa kabla hawakuwa na Sheria mpaka ilipokuja Qur'an,so wakisema Sharia kwa Sasa wanamaanisha ya quran
Kuto kula nguruwe sio nguzo za uislam.na ukila nguruwe umevunja amri gani kati ya hizo???
sasa nguzo za uislamu ni nini??Kuto kula nguruwe sio nguzo za uislam.
Kula nguruwe ni katazo kama lilivyokuwa Kula kinyesi chako.
Egypt, Libya, Tunisia, Algeria na Morocco ni nchi za Kiislam lakini kila nchi ina utaratibu wake waSijasema Pakistan sio waislam,
Nimesema sio Muslim country,
Sababu hawafati Sheria za kiislam.
Wanachaguwa cha kufata na vingine hawafati,
Japokuwa wanajiita Muslim country.
--sheria ya kiislam inasema mwizi akiiba akatwe kiganja cha mkono.
Lakini Pakistan mwizi anafungwa miaka 3 au fine.
-- mashoga yamejazana tele mitaani na yanajulikana na hayachukuliwi hatua yeyote.
-- hukumu ya madawa ya kulevya kwa Sheria ya Muslim's country ni kupigwa panga kutenganisha kichwa,
Tena hadharani.
Wakati Pakistan madawa unafungwa miaka 3.
Utasema ni Muslim country?
Sasa huo uislam na Sheria zake hapo upo wapi?
Acha kusumbua watu kwa maswali ya kijinga na kebehi kwenye dini za wenzako! Wakatokili hawali nyama siku ya Ijumaa Kuu kwani iko katika amri ya ngapi ya Mungu?sasa nguzo za uislamu ni nini??
ina maana gani kama utazisimamia zote halafu ukaja kula kitimoto???
sisi tuna amri 10 za Mungu,ukipita humo kwenye hizo 10 bila kuacha hata moja,unakuwa kijana usiye wa hovyo hata kidogo.
mbona povu maalim umeunga 6 au???Egypt, Libya, Tunisia, Algeria na Morocco ni nchi za Kiislam lakini kila nchi ina utaratibu wake wa
Acha kusumbua watu kwa maswali ya kijinga na kebehi kwenye dini za wenzako! Wakatokili hawali nyama siku ya Ijumaa Kuu kwani iko katika amri ya ngapi ya Mungu?
Wewe elewa kutokula nguruwe ni katazo la dini ya Kiislam na kutokula nyama siku ya Ijumaa Kuu ni katazo la Wakatokili!
Acha ujinga! Dini siyo yako unachokonoa ili iweje? Shika dini yako waachie dini yao, hakuhusu!mbona povu maalim umeunga 6 au???
soma taratibu swali utoe jibu sahihi,ndio maana hujawahi kuona kelele anapigiwa mkatoliki kwa kula nyama siku ya ijumaa kuu.
halafu fatilia ujue mada imeanzia wapi.
He!. Kumbe ndio maana huwa haambatani na mumewe kwenye ziara zake za kikazi?. Tofauti na Marais wanaume huwa wanaongozana na wake zao!Sio kukiuka nguzo za uislamu,siku nyingine kabla haujazungumzia jambo jaribu kufanya utafiti angalau kidogo Ili ujue unachokizungumzia ni kitu Gani.
Nikienda kwenye hoja ya msingi ,Kwa taratibu za kimafundisho ya kiislamu mwanamke anatakiwa atulizane nyumbani kwake,na uislamu hautambui nafasi ya uongozi Kwa mwanamke kwa nafasi yoyote Ile sio tu urais bali hata mwenyekiti wa mtaa. Uislamu unawataka wanaume wawe wasimamizi wa wanawake.
hasira hasara maalimAcha ujinga! Dini siyo yako unachokonoa ili iweje? Shika dini yako waachie dini yao, hakuhusu!
[emoji28][emoji23][emoji23]mdai katiba mpyaWaislam watoe majibu mujarab halafu tuone nini tunafanya kama taifa[emoji1787]
Sio kukiuka nguzo za uislamu,siku nyingine kabla haujazungumzia jambo jaribu kufanya utafiti angalau kidogo Ili ujue unachokizungumzia ni kitu Gani.
Nikienda kwenye hoja ya msingi ,Kwa taratibu za kimafundisho ya kiislamu mwanamke anatakiwa atulizane nyumbani kwake,na uislamu hautambui nafasi ya uongozi Kwa mwanamke kwa nafasi yoyote Ile sio tu urais bali hata mwenyekiti wa mtaa. Uislamu unawataka wanaume wawe wasimamizi wa wanawake.
Shika adabu yako!hasira hasara maalim
Dini zote zinakataza mwanamke kumuingoza mwanamume. Ni hii demokrasia ya nchi za magharibi ndio imeleta maajabu haya.Swali la uelewa,
Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi?
Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa
c.c FaizaFoxy
Tumefanya makosa makubwa sanaHe!. Kumbe ndio maana huwa haambatani na mumewe kwenye ziara zake za kikazi?. Tofauti na Marais wanaume huwa wanaongozana na wake zao!
Au pengine ndio maana vitu vinapanda Bei kila kukicha sababu tumemkosea adabu Mungu
Amri kumi za Mungu sio nguzo za uislam.sasa nguzo za uislamu ni nini??
ina maana gani kama utazisimamia zote halafu ukaja kula kitimoto???
sisi tuna amri 10 za Mungu,ukipita humo kwenye hizo 10 bila kuacha hata moja,unakuwa kijana usiye wa hovyo hata kidogo.
Push gang wameamua kuja kivingine..!Rekebisha heading yako. Nguzo za Uislam ni 5
1. Kusadiki imani ya Kiislam kwamba Mungu ni 1 na Muhammad ni mjumbe wake
2. Kusali sala 5
3. Kutoa zaka
4. Kufunga Ramadhan
5. Kuhiji Makka
Sasa mwanamke akiwa Rais ni nguzo gani imekiukwa?
Ni kusali au Kuswali?Rekebisha heading yako. Nguzo za Uislam ni 5
1. Kusadiki imani ya Kiislam kwamba Mungu ni 1 na Muhammad ni mjumbe wake
2. Kusali sala 5
3. Kutoa zaka
4. Kufunga Ramadhan
5. Kuhiji Makka
Sasa mwanamke akiwa Rais ni nguzo gani imekiukwa?