Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

Dini kandamizi, waarabu hao waasisi wa utumwa, hivyo sioni ajabu mwanamke kuwa mtumwa wa mume wake
 
umeua mkuu huu ni msumari wa mwisho kwenye jeneza.
 
Swali la uelewa,

Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi?

Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa

c.c FaizaFoxy
nini kimekupelekea uweke picha ya dewji mkuu ww hauna picha hadi umtukuze huyo jamaa??
 
Kuna nchi ya Kiislamu, tena uislamu mkali, inaitwa Pakistan iliwahi kuwa na Waziri Mkuu mwanamke, Benazir Bhutto
Tanzania ni Waislamu zaidi kuliko Pakistan?
Kuna nchi ya Kiislam ya Bangladesh kiongozi wake anaitwa Sheikh Hassina ni mwanamke
Pia mke wa Mtume Khadija alikuwa mfanyabiashara mkubwa, sio mama wa nyumbani
Au ni Aya gani kwenye Quran imekataza mwanamke kuwa kiongozi?
 
Swali la uelewa,

Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi?

Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa

c.c FaizaFoxy
Sio Kuvunja Nguzo wala Sio Uovu,Lakini Kimsingi Mwanaume Anatakiwa Amuongoze Mwanamke, Kama Mwanaume Hayupo Basi Mwanamke Ndo Aongoze.Hata Kwenye Familia Mwanaume Hawez Kukubali Kuongozwa Na Mwanamke Ingali Yeye Yupo.Hii Ni Kwa sababu Mwanaume Anauwezo Mkubwa wa Akili,Uchambuzi Wa Mambo,Nguvu,Kauli Inayosikika,Uwezo wa Kuongoza Kundi Kubwa La Watu.Hata Katika Ulimwengu Wanaume Wengi Ndo Viongozi Kwa Sababu Hizo.Uwezo wa Mwanaume Ni Mkubwa Kuliko Wanawake.Nina Mashaka Wewe Kama Ni wa Kiume Basi Akili zako Pungufu Kwa sababu Hufikirii Kama Mwanaume
 
Kwani ukristo unaruhusu!
 
Kikanuni hata Tanzania ni nchi ya kiislamu,na tofautisha nchi ya kiislamu na kuufuata huo uislamu.
Na huyo bi Khadija alikuwa mfanya biashara kabla ya kuolewa na Mtume Ila baada ya kuolewa kwake, mume wake ambaye ndiye mtume akawa msimamizi wa biashara za mke wake. Upo hapo mkuu?
 
Tanzania ni nchi ya Kiislamu kivip? Tanzania haina dini, tofauti na nchi kama Pakistan ambayo inatambua Dini ya Uislamu kama dini ya taifa lao
Unaweza kunipa aya ya Quran ambayo inakataza mwanamke kuwa kiongozi?
 
Nimejaribu kusoma post zako nimegundua una uelewa mdogo sana wa historia wa nchi za kiislam Afghanistain ilikuwa nchi yenye waislam wengi lkn sio yenye kufata msimamo mkali mpaka ilipovamiwa na urusi katika vita yake na urusi alisaidiwa na wapiganaji wakiarabu waliojitolea kwenda kuwasaidia wakipewa pia silaha na mmarekani baada ya kumshinda mrusi ikarudi kwenye hali yake lkn kukawa na makundi yaliyotaka kufata siasa kali ndio taliban wakaibuka ika anza vita ya wenyewe kwa wenyewe kumbuka kuna waraabu kama nilivyoandika hapa mwanzo walikuja kuwasaidia katika vita na mrusi hawa waarabu wakawa upande wa taliban akiwemo osama ndio taliban wakachukua nchi na kuweka sheria kali.
Tukirudi kwenye mada yako iran ni nchi ya kidini lkn walikua na makamu wa rais mwanamke "Masoumeh Ebtekar" na kulikua na debate wanaweka waruhusiwe kugombea hata urais wao wana grand council ndio huwa inatoa maamuzi ya kubadilisha baadhi ya vifungu vya katiba sasa kama wao nchi inayofata sheria za kiislam linitaka kujadili inamana hili la mwanamke kuongoza sio katazo hasa la kidini...kuhusu saudia arabia kumbuka hizi nchi pamoja na dini lkn pia zinatamaduni japo jimbuko la uislam ni saudia lkn sio kila tamaduni ya kisaudi ilichukuliwa wasaudi wanaongozwa kifalme tofauti na lazima akifa aje mfalme hata kama hakua na mtoto wa kiume basi yule wa karibu atarithi...tafouti na wazungu ambao walikuja kubadilika wakawa wanaweza kuongozwa hata na malkia
 
Tanzania ni nchi ya Kiislamu kivip? Tanzania haina dini, tofauti na nchi kama Pakistan ambayo inatambua Dini ya Uislamu kama dini ya taifa lao
Unaweza kunipa aya ya Quran ambayo inakataza mwanamke kuwa kiongozi?
Bwana John naomba nikufahamishe namna wanawachuoni wa kiislamu wanavyoitambua nchi ya kiislamu.
Kudhihirishwa Kwa alama za kiislamu waziwazi,Kama vile
1. Adhana
2. Swala za jamaa
3. Kuswaliwa swala za ijumaa na idd
4. Uhuru wa kuabudu

Hayo yanatosha kuwa hii ni nchi ya kiislamu na nchi nyingine zinazotoa uhuru wa kuabudu.

Kwahiyo ndugu yangu nadhani umenielewa.
 
Wanachuoni wa Kiislamu wapi hao? Mimi nakuambia nchi ya Kiislamu inavyotambuliwa na watu wote, Tanzania sio nchi ya Kiislamu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…