Ila mwanamke kuto kuwa padri sio imani kandamizi?Kama ndo hivyo.... hiyo ni imani Kandamizi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mwanamke kuto kuwa padri sio imani kandamizi?Kama ndo hivyo.... hiyo ni imani Kandamizi!
Mmmhhh ni 96% kwa 4%Pakistan 70% ni waislam na 30% ni dini zingine.
Na sio inchi ya kiislam.
Inafata Sheria za kingereza kama zetu.
Ok.Mmmhhh ni 96% kwa 4%
Hiki ni kitabu cha Kiislam. Utaamua wewe kama ni sala au swala. Lugha ndio tatizo lako.Ni kusali au Kuswali?
Swali zuri sanaUnamaanisha kula kitimoto, kuzini, kuiba na kuua ni ruksa kwenye uislamu sababu havipo kwenye hizo nguzo 5??
Dini kandamizi, waarabu hao waasisi wa utumwa, hivyo sioni ajabu mwanamke kuwa mtumwa wa mume wakeSio kukiuka nguzo za uislamu,siku nyingine kabla haujazungumzia jambo jaribu kufanya utafiti angalau kidogo Ili ujue unachokizungumzia ni kitu Gani.
Nikienda kwenye hoja ya msingi ,Kwa taratibu za kimafundisho ya kiislamu mwanamke anatakiwa atulizane nyumbani kwake,na uislamu hautambui nafasi ya uongozi Kwa mwanamke kwa nafasi yoyote Ile sio tu urais bali hata mwenyekiti wa mtaa. Uislamu unawataka wanaume wawe wasimamizi wa wanawake.
umeua mkuu huu ni msumari wa mwisho kwenye jeneza.Sio kukiuka nguzo za uislamu,siku nyingine kabla haujazungumzia jambo jaribu kufanya utafiti angalau kidogo Ili ujue unachokizungumzia ni kitu Gani.
Nikienda kwenye hoja ya msingi ,Kwa taratibu za kimafundisho ya kiislamu mwanamke anatakiwa atulizane nyumbani kwake,na uislamu hautambui nafasi ya uongozi Kwa mwanamke kwa nafasi yoyote Ile sio tu urais bali hata mwenyekiti wa mtaa. Uislamu unawataka wanaume wawe wasimamizi wa wanawake.
nini kimekupelekea uweke picha ya dewji mkuu ww hauna picha hadi umtukuze huyo jamaa??Swali la uelewa,
Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi?
Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa
c.c FaizaFoxy
Huelewei Maana Ya Nguzo/Muhimili.Thats why Kakwambia Urekebishe Heading TuUnamaanisha kula kitimoto, kuzini, kuiba na kuua ni ruksa kwenye uislamu sababu havipo kwenye hizo nguzo 5??
Kuna nchi ya Kiislamu, tena uislamu mkali, inaitwa Pakistan iliwahi kuwa na Waziri Mkuu mwanamke, Benazir BhuttoSio kukiuka nguzo za uislamu,siku nyingine kabla haujazungumzia jambo jaribu kufanya utafiti angalau kidogo Ili ujue unachokizungumzia ni kitu Gani.
Nikienda kwenye hoja ya msingi ,Kwa taratibu za kimafundisho ya kiislamu mwanamke anatakiwa atulizane nyumbani kwake,na uislamu hautambui nafasi ya uongozi Kwa mwanamke kwa nafasi yoyote Ile sio tu urais bali hata mwenyekiti wa mtaa. Uislamu unawataka wanaume wawe wasimamizi wa wanawake.
Sio Kuvunja Nguzo wala Sio Uovu,Lakini Kimsingi Mwanaume Anatakiwa Amuongoze Mwanamke, Kama Mwanaume Hayupo Basi Mwanamke Ndo Aongoze.Hata Kwenye Familia Mwanaume Hawez Kukubali Kuongozwa Na Mwanamke Ingali Yeye Yupo.Hii Ni Kwa sababu Mwanaume Anauwezo Mkubwa wa Akili,Uchambuzi Wa Mambo,Nguvu,Kauli Inayosikika,Uwezo wa Kuongoza Kundi Kubwa La Watu.Hata Katika Ulimwengu Wanaume Wengi Ndo Viongozi Kwa Sababu Hizo.Uwezo wa Mwanaume Ni Mkubwa Kuliko Wanawake.Nina Mashaka Wewe Kama Ni wa Kiume Basi Akili zako Pungufu Kwa sababu Hufikirii Kama MwanaumeSwali la uelewa,
Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi?
Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa
c.c FaizaFoxy
Kwani ukristo unaruhusu!Sio kukiuka nguzo za uislamu,siku nyingine kabla haujazungumzia jambo jaribu kufanya utafiti angalau kidogo Ili ujue unachokizungumzia ni kitu Gani.
Nikienda kwenye hoja ya msingi ,Kwa taratibu za kimafundisho ya kiislamu mwanamke anatakiwa atulizane nyumbani kwake,na uislamu hautambui nafasi ya uongozi Kwa mwanamke kwa nafasi yoyote Ile sio tu urais bali hata mwenyekiti wa mtaa. Uislamu unawataka wanaume wawe wasimamizi wa wanawake.
LabdaKwani ukristo unaruhusu!
Kikanuni hata Tanzania ni nchi ya kiislamu,na tofautisha nchi ya kiislamu na kuufuata huo uislamu.Kuna nchi ya Kiislamu, tena uislamu mkali, inaitwa Pakistan iliwahi kuwa na Waziri Mkuu mwanamke, Benazir Bhutto
Tanzania ni Waislamu zaidi kuliko Pakistan?
Kuna nchi ya Kiislam ya Bangladesh kiongozi wake anaitwa Sheikh Hassina ni mwanamke
Pia mke wa Mtume Khadija alikuwa mfanyabiashara mkubwa, sio mama wa nyumbani
Au ni Aya gani kwenye Quran imekataza mwanamke kuwa kiongozi?
Tanzania ni nchi ya Kiislamu kivip? Tanzania haina dini, tofauti na nchi kama Pakistan ambayo inatambua Dini ya Uislamu kama dini ya taifa laoKikanuni hata Tanzania ni nchi ya kiislamu,na tofautisha nchi ya kiislamu na kuufuata huo uislamu.
Na huyo bi Khadija alikuwa mfanya biashara kabla ya kuolewa na Mtume Ila baada ya kuolewa kwake, mume wake ambaye ndiye mtume akawa msimamizi wa biashara za mke wake. Upo hapo mkuu?
Nimejaribu kusoma post zako nimegundua una uelewa mdogo sana wa historia wa nchi za kiislam Afghanistain ilikuwa nchi yenye waislam wengi lkn sio yenye kufata msimamo mkali mpaka ilipovamiwa na urusi katika vita yake na urusi alisaidiwa na wapiganaji wakiarabu waliojitolea kwenda kuwasaidia wakipewa pia silaha na mmarekani baada ya kumshinda mrusi ikarudi kwenye hali yake lkn kukawa na makundi yaliyotaka kufata siasa kali ndio taliban wakaibuka ika anza vita ya wenyewe kwa wenyewe kumbuka kuna waraabu kama nilivyoandika hapa mwanzo walikuja kuwasaidia katika vita na mrusi hawa waarabu wakawa upande wa taliban akiwemo osama ndio taliban wakachukua nchi na kuweka sheria kali.Pakistan ni kwl ipo ktk Muslim countries.
Lakini haifati [emoji817]% Sharia za kiislam ,
Ndy Mambo kama hayo ya kuongozwa na waziri mkuu wa kike ,
Hakuna really Muslim's country kiongozi wa juu ni jinsia ya kike.
Mfano wa Muslim country ni Afghanistan,,
Saudi Arabia.
Tena hata saudia Arabia pia ni wanafiki siku hizi.
Kabaki Afghanistan peke yake ndy really Muslim's country.
Wengine wote wanajipa Muslim country sababu ya majority of Islam's population.
Hakuna kingine.
Bwana John naomba nikufahamishe namna wanawachuoni wa kiislamu wanavyoitambua nchi ya kiislamu.Tanzania ni nchi ya Kiislamu kivip? Tanzania haina dini, tofauti na nchi kama Pakistan ambayo inatambua Dini ya Uislamu kama dini ya taifa lao
Unaweza kunipa aya ya Quran ambayo inakataza mwanamke kuwa kiongozi?
nini kimekupelekea uweke picha ya dewji mkuu ww hauna picha hadi umtukuze huyo jamaa??
Wanachuoni wa Kiislamu wapi hao? Mimi nakuambia nchi ya Kiislamu inavyotambuliwa na watu wote, Tanzania sio nchi ya Kiislamu,Bwana John naomba nikufahamishe namna wanawachuoni wa kiislamu wanavyoitambua nchi ya kiislamu.
Kudhihirishwa Kwa alama za kiislamu waziwazi,Kama vile
1. Adhana
2. Swala za jamaa
3. Kuswaliwa swala za ijumaa na idd
4. Uhuru wa kuabudu
Hayo yanatosha kuwa hii ni nchi ya kiislamu na nchi nyingine zinazotoa uhuru wa kuabudu.
Kwahiyo ndugu yangu nadhani umenielewa.