Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

Sio kweli kabisa, mimi mpenzi wangu nilienae nilimkuta akiwa bikira na tayari mtu mzima yupo 20+, nina kaka aliniambia mkewe alimkuta bikira, kwaiyo kusema kwamba kupata mwanamke bikira ni kigezo ambacho hakina uhalisia huo ni uongo.
Haya pamoja na kumkuta bikira vipi umemuoa, popote alipo mwanamke bikira jua kuna mwanaume bikira pia, wanaume mkiendekeza ngono kwa kisingizio cha nature hizo bikira wanawake wazipate wapi
Yani hawa hawa wanaume, wanaosema mwanaume kufanya uzinzi ni nature na asiyefanya ana matatizo, ndio unategemea watakubali kuvumilia na kujitunza hadi ndoa

Ukumbuke wanaoendeshwa zaidi na hisia za ngono ni wanaume kuliko wanawake, mwanamke ana uwezo wa kukaa hata miaka bila kufanya ngono, hivyo ukiwaambia wanawake wajitunze ni rahisi ila shida inakuja kwa wanaume je wako tayari

Ukiona mwanamke amekubali kufanya ngono ujue kashawishiwa na kitu kingine na siyo hisia za ngono, shida ipo kwa wanaume hisia zikiwabana watatafuta kila namna ya kuwashawishi wanawake ili wafanye nao, na kumbuka wanawake nao ni binadamu siyo malaika hivyo mwisho wa siku msiwalaumu wao tu jilaumuni na ninyi kwa tamaa zenu
Bikira za kutosheleza idadi ya wenye uhitaji wa kuoa zipo, ni suala la mwanume kufanya vetting tu
Hivi ni nani anayewadanganya hivyo mbona hana akili, wewe unayetaka bikira je hapo ulipo na wewe unayo, kama mwanaume hatakiwi kujitunze je anafanya na nani
 
Bikira kuipata wakat wa kuoa saivi ni ngumu bwana,,mdada anasoma hadi miaka 27 huko kweli wajameni,,ila zaman ilikua rahisi,binti akipevuka tu anataftiwa mume.
 
Hadi sasa hamjibu hoja mnabwabwaja tu, popote alipo mwanamke bikira jua kuna mwanaume bikira pia, kama mwanaume hatakiwi kujitunza je atafanya na nani
 
Una assume kitu ambacho hakiwezi kutokea
Hiyo assumption inareflect hali halisi kama ulikuwa hujui, hata tukiamua leo hii kwamba wanawake wote mabikira waanze kujitunza hadi ndoa maana yake kizazi cha wasiojitunza kitaenda kitapotea, kitaendelea cha wanaojitunza na hapo sasa wanaume wa kizazi hicho watajikuta wanakutana na sharti la no sex before marriage na kwa hicho kisingizio chenu cha nature sidhani kama mtatoboa hivyo mtarudi kule kule
 
Nje ya prestigious reasons kama mm ndo wa kwanza kufungua njia na blah blah za namna hiyo, hakuna faida ya moja kwa moja kuweka bikra kama kigezo cha kupata mke bora.
 
Ukweli mbaya huu ambao tutakushughulikia
Yani hii ni aibu yenu tutawezaje kutunza vitu vilivyoshindwa kutunzwa na mama zenu? Na wangevitunza mngekuwepo nyie wana wa chura kiziwi? Mna uhakika baba zenu walizitoa hizo bikira? Au walikutana na mapango ya amboni! Tuanzie hapo
 
Mwanaume hata kama alishafanya mapenzi na wanawake wengi, akikuambia hakuwahi huwezi thibitisha.

Lakini mwanamke anakifanya ngono inajulikana.
 
Bikira ni tendo la maramoja.. Pesa ni hitaji la kila siku
 
Yani hii ni aibu yenu tutawezaje kutunza vitu vilivyoshindwa kutunzwa na mama zenu? Na wangevitunza mngekuwepo nyie wana wa chura kiziwi? Mna uhakika baba zenu walizitoa hizo bikira? Au walikutana na mapango ya amboni! Tuanzie hapo

Lakini ukweli Acha usemwe hila kujali unamlenga Nani
Kikawaida Ukweli haunaga Adabu
 
Haya pamoja na kumkuta bikira vipi umemuoa,
Ndio, nimemuoa.
Yani hawa hawa wanaume, wanaosema mwanaume kufanya uzinzi ni nature na asiyefanya ana matatizo, ndio unategemea watakubali kuvumilia na kujitunza hadi ndoa
wanaume hao hao ndio
ngono ni hitaji la kila jinsia ni sababu za kisaikolojia na malezi tu ndizo zinasababisha mwanaume kufanya first move lakini haimaanishi kwamba mwanamke hataki ngono, mwanamke pia ana njia zake za kuwasilisha matamanio yake ya kihisia indirectly. Mwsnamke anahitaji ngono pia ndio maana kuna malalamiko ya wanawake kutoridhishwa kimapenzi na waume zao.

Hivi ni nani anayewadanganya hivyo mbona hana akili, wewe unayetaka bikira je hapo ulipo na wewe unayo, kama mwanaume hatakiwi kujitunze je anafanya na nani
wanawake bikira wapo na wwasiokua bikira wapo ni suala la mwanaume kufanya vetting tu
 
Kujitunza maana yake ni kuruka hivyo vihunzi na kukataa ushawishi.
Ubanduliwe afu umlaumu mbanduaji kua ni mshawisi na sio wewe no legelege na umeshindwa kusimamia msimamo wako..

Hii point yako haina mashiko kabisa.
Sasa si mnaona jinsi mlivyo hamna logic kwani hapa wanaolalamika kwamba jinsia fulani haijitunzi ni wanaume au wanawake, ninyi si ndio wenye shida na hizo bikira za wanawake kwani wanawake ndio wenye shida na bikira ninyi ndio mnatakiwa mpambane kuhakikisha hizo bikira hazipotei ili mje kuzikuta mkitaka kuoa, yani wewe umshawishi mtoto wa watu akikubali baadaye uje useme eti alikubali kwa ujinga wake halafu unaanza kuhangaika tena kutafuta bikira wakati ulishazitoa huku na ukizikosa unaanza kulialia eti wanawake wa siku hizi hawajitunzi sasa hapo nani mjinga
 
Mnavyoshupaa kutujadili 24/7, mngejikita kwenye kutafuta hela mngekuwa mbali,

Asie na bikira ni malaya maana yake hata mama zenu ni malaya tena waliokubuhu
Hela tunatafuta na standard ya bikira lazima izingatiwe hata ivyo mada ni jumuishi mtoa mada haikua na nia ya kukulenga wewe binafsi imetokea coincedence tu jiwe limekupata
 
Hela tunatafuta na standard ya bikira lazima izingatiwe hata ivyo mada ni jumuishi mtoa mada haikua na nia ya kukulenga wewe binafsi imetokea coincedence tu jiwe limekupata
Comment yangu imekukuna unapowashwa kamuulize mama yako kama bado anayo hiyo bikira jibu atakalokupa uje sasa tuzungumze,
 
Nature imeamua Bikra iwe ni Jambo la KE ila wewe kusound relevant unataka liwe jambo la KE & ME.
UNAPOTEZA BIKRA YAKO KIZEMBE ET KISA WANAUME HAWAJITUNZI,KUNA MWANAUME ANA ZALIWA NA BIKRA?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…