Hadi sasa hamjibu hoja mnabwabwaja tu, popote alipo mwanamke bikira jua kuna mwanaume bikira pia, kama mwanaume hatakiwi kujitunza je atafanya na nani
ππππππΎππΎππΎππΎYani hii ni aibu yenu tutawezaje kutunza vitu vilivyoshindwa kutunzwa na mama zenu? Na wangevitunza mngekuwepo nyie wana wa chura kiziwi? Mna uhakika baba zenu walizitoa hizo bikira? Au walikutana na mapango ya amboni! Tuanzie hapo
Wasituchoshe yani kwa vile mtu kapata au anataka bikira basi tusio nazo km mizimu kumbe na mama zao tupo nao kundiniππππππΎππΎππΎππΎ
mi hua najiulza,hawa much know wa jf hawapo mitaani,, mbona sijawahi ona wanaotaka hivi vigezo huku mitaani!!!!!!?Wasituchoshe yani kwa vile mtu kapata au anataka bikira basi tusio nazo km mizimu kumbe na mama zao tupo nao kundini
Nisaidie kushangaa, hawa ni wahanga wa njaa wapo humu kujifariji na njaa zaomi hua najiulza,hawa much know wa jf hawapo mitaani,, mbona sijawahi ona wanaotaka hivi vigezo huku mitaani!!!!!!?
Mkuu you are smarter than this hebu elewa hiyo logic suala hapa siyo kuweza kuthibitisha ila suala ni wanaume wenyewe kukosa wanawake bikira pale wanapotaka kuoa, wewe ukilala na wanawake wengi huwakomoi wanawake bali unajikomoa mwenyewe kwa sababu mwisho wa siku wewe ndio utakuja kuhitaji mwanamke bikira ukitaka kuoa ambapo utakuta wengi wameshatumika, ndio maana nasema wanawake wote wakijitunza hadi ndoa maana yake wanaume watakosa wanawake wa kufanya nao hivyi nao itabidi wakubali kujitunza kitu ambacho wanaume wengi hawako tayari sasa wa kulaumiwa ni naniMwanaume hata kama alishafanya mapenzi na wanawake wengi, akikuambia hakuwahi huwezi thibitisha.
Lakini mwanamke anakifanya ngono inajulikana.
wanapigwa vitu vizito huko , hasira wanakuja kutumalizia sie huku,,ivi hizo bikira hadi zinatoka,tunajichokonoa na vijiti?, waende vijijini huko wakaeke oda za mabikira huku mjini wanaume wenyewe wanataka wataalam wa mapenzi bwan π,, hawajui mapenz wanataka wakutane na washamba wenzao.Nisaidie kushangaa, hawa ni wahanga wa njaa wapo humu kujifariji na njaa zao
π Tunawajua bwan,,akiweka anatulia tuliii hajui kama hua wana pump, wengine hawajui pa kuingiza,nk.......Mwanaume hata kama alishafanya mapenzi na wanawake wengi, akikuambia hakuwahi huwezi thibitisha.
Lakini mwanamke anakifanya ngono inajulikana.
Naona hapa,,ilaumiwe SERIKALI pia wao si hawataki.Mkuu you are smarter than this hebu elewa hiyo logic suala hapa siyo kuweza kuthibitisha ila suala ni wanaume wenyewe kukosa wanawake bikira pale wanapotaka kuoa, wewe ukilala na wanawake wengi huwakomoi wanawake bali unajikomoa mwenyewe kwa sababu mwisho wa siku wewe ndio utakuja kuhitaji mwanamke bikira ukitaka kuoa ambapo utakuta wengi wameshatumika, ndio maana nasema wanawake wote wakijitunza hadi ndoa maana yake wanaume watakosa wanawake wa kufanya nao hivyi nao itabidi wakubali kujitunza kitu ambacho wanaume wengi hawako tayari sasa wa kulaumiwa ni nani
Sasa si naweza kuigiza ni beginner kumbe nina wanawake kama 100..π Tunawajua bwan,,akiweka anatulia tuliii hajui kama hua wana pump, wengine hawajui pa kuingiza,nk.......
Hapana aseeeee kwa mchecheto ambao hua mnakua nao kwenye lile swala,,kuigiza ni ngumuSasa si naweza kuigiza ni beginner kumbe nina wanawake kama 100..
Wa kulaumiwa wanawake kwanini wakubali.Mkuu you are smarter than this hebu elewa hiyo logic suala hapa siyo kuweza kuthibitisha ila suala ni wanaume wenyewe kukosa wanawake bikira pale wanapotaka kuoa, wewe ukilala na wanawake wengi huwakomoi wanawake bali unajikomoa mwenyewe kwa sababu mwisho wa siku wewe ndio utakuja kuhitaji mwanamke bikira ukitaka kuoa ambapo utakuta wengi wameshatumika, ndio maana nasema wanawake wote wakijitunza hadi ndoa maana yake wanaume watakosa wanawake wa kufanya nao hivyi nao itabidi wakubali kujitunza kitu ambacho wanaume wengi hawako tayari sasa wa kulaumiwa ni nani
Wao wapate bikira hata 100 sioni tatizo, sababu ni haizuii mimi ama yule kuolewa kisa hana hiyo bikira, tatizo lao ni kejeli π π hapo ndo nawakumbusha mama zao nao hawanazo wasijisahaulishewanapigwa vitu vizito huko , hasira wanakuja kutumalizia sie huku,,ivi hizo bikira hadi zinatoka,tunajichokonoa na vijiti?, waende vijijini huko wakaeke oda za mabikira huku mjini wanaume wenyewe wanataka wataalam wa mapenzi bwan π,, hawajui mapenz wanataka wakutane na washamba wenzao.
Sasa hao wakija mjini wakipewa ujanja na wanawake wa salun au mtaani,pale anaposhauriwa kua hogo hazifanani radha,ndo watajuuuta,,, mxiuuu zao.
Nb:KUOA BIKIRA SIO KUPATA NDOA TULIVU,,AMKENI BASI NYIE MUCH KNOW.
Sisi wazoefu tunaigiza vizuri tu.Hapana aseeeee kwa mchecheto ambao hua mnakua nao kwenye lile swala,,kuigiza ni ngumu
wanao wakejeli wenyewe wanajali sasa,hii ndo dunia tuliyopo,kejeli zao n kama chura kupigwa teke,,labda waliwachungulia hao mama zao wakaona izo bikira bwan tutajuajeWao wapate bikira hata 100 sioni tatizo, sababu ni haizuii mimi ama yule kuolewa kisa hana hiyo bikira, tatizo lao ni kejeli π π hapo ndo nawakumbusha mama zao nao hawanazo wasijisahaulishe
huo uzoefu umeutolea wapi,, kwenye vitobo vya sindano au wanawake,, afu mnataka bikira ππππππππΎππΎππΎππΎSisi wazoefu tunaigiza vizuri tu.
π€£π€£π€£ hapo ndo huwa nauliza swali mtu anasema umemtukana, mwenye alikuwepo wakati ya baba yake anatoa ya mama yake basi ana haki ya kukejeli na kutafuta bikira asisahau kuhakikisha wanae wanashuhudia ili waendeleze kaukoo ka mabikira,wanao wakejeli wenyewe wanajali sasa,hii ndo dunia tuliyopo,kejeli zao n kama chura kupigwa teke,,labda waliwachungulia hao mama zao wakaona izo bikira bwan tutajuaje
Sasa kama umeoa malalamiko ya kila siku dhidi ya wanawake ni ya niniNdio, nimemuoa.
Hakuna mwanaume wa aina hiyowanaume hao hao ndio
Sasa kama ni rahisi kwanini ninyi wanaume mnapoona wanawake wanawashawishi kwa kuwasilisha matamanio yao msiachane nao tu, kwa sababu mwisho wa siku lengo lenu si kuoa wanawake mabikira hivyo ili hao mabikira wawepo sharti wasitumike kabla ya ndoa, kama mnaona ngono ni hitaji la msingi sana na hamko tayari kuvumilia hadi ndoa basi msiwalaumu wanawake tu bali pia jilaumuni na ninyi kwa tamaa zenungono ni hitaji la kila jinsia ni sababu za kisaikolojia na malezi tu ndizo zinasababisha mwanaume kufanya first move lakini haimaanishi kwamba mwanamke hataki ngono, mwanamke pia ana njia zake za kuwasilisha matamanio yake ya kihisia indirectly. Mwsnamke anahitaji ngono pia ndio maana kuna malalamiko ya wanawake kutoridhishwa kimapenzi na waume zao.
Hapa suala siyo kuwepo suala ni hawapo wa kuwatosheleza wanaume wote wanaotaka kuoa wanawake mabikira elewa hojawanawake bikira wapo na wwasiokua bikira wapo ni suala la mwanaume kufanya vetting tu
Hebu nipe sababu ya msingi kwanini anayetongoza asiwe na makosa ila anayekubali ndio awe na makosa, kwahiyo ikitokea mwanamke ndiye ametongoza na mwanaume akakubali maana yake mwanamke hana makosa mwanaume ndio ana makosa, nikija kwenye hoja yako mwanamke anakubali kwa sababu mwisho wa siku siyo yeye atakayehitaji kigezo cha bikira pale anapotaka kuingia kwenye ndoaWa kulaumiwa wanawake kwanini wakubali.