Hadi sasa hamjibu hoja mnabwabwaja tu, popote alipo mwanamke bikira jua kuna mwanaume bikira pia, kama mwanaume hatakiwi kujitunza je atafanya na nani
Tangu lini mwanamme akawa bikira?
Unajua maana ya bikira?
Mwisho wa siku utalazimisha wanaume wawe na mfuko wa uzazi.