Kwanini mwanaume anamchoka mwanamke Haraka?

Mmmm
 
Sawa wameshasikia rambaramba
 
Sidhani kama kuna anayemchoka mwanamke kwa kumtumia sana,tabia ikishabadilika na ukachukizwa sidhani hata kama hamu ya mapenzi na muhusika itakuwepo...
 
Hiyo njoo inbox, lakini njoo ukishamaliza kusoma vitu vifuatavyo: Johari Windows, Abraham Maslow's hierarchy of needs, Motivation theories, Operant conditioning ya BF. Skinner na Schedules of reinforcements,
Acha chupli chupli
 
Kuna manzi yangu inanipa yote ila siichoki yani naipiga hadi natamani nichomoke nayo aisee.

NB:
Acha unaa
Hiyo sio kweli, kuna siku utajiona huna jipya kwake na hana jipya kwako. Hataua hiyo itafika haraka kama utakuwa unamkagua kila siku kona zote za mwili wake kwa macho, masikio, pua, ulimi na kupapasa. Binadamu siku zote anatafuta jipya ambalo hujalifanya, hujaliona, hujalionja, hujalisikia na hujaligusa. Hata watoto huwezi kuwapeleka zaidi ya mara 3 kuangalia wanyama walewale Simba na nyoka kwenye banda la maliasili kule sabasaba. watakugomea kama hakuna mnyama mpya.
 
Niko na hiyo manzi zaidi ya miaka 4 na tunacheza Kamasutra zote na sijamchoka.

Chief kama umeichoka manzi yako ni wewe usilazimishe wote tuwe kama wewe.
 
Sio kumuacha,hapa wamezungumzia kumchoka...
Anadanganya, unapoenda kuoa mwali siku za kwanza utakuwa hutoki nje na pengine hata chakula huli kazi ni kutiana tu muda wote kutwa mara sita, lakini kadiri utakavyo muona kila sehemu kwa mwingi, mnusa kwa wingi, mramba sana, mpapasa sana na kumtia sana kila tundu ndivyo unavyopunguza hali hiyo na ikiwezekana kutafuta mchepuko mwingine, maana pale umeshamaliza yote umeona na kunusa kila kona, umekinai. Hii sio kanuni yangu mimi kavulata, bali ni kanuni ya behaviorists, humanists na cognits
 
Ni kwasababu tunaanza kwa kutamani kinacho tufanya tuendelee kuwavumilia na kuendelea kuwa nao kwa muda mrefu ni tabia zao, akifeli na kwenye tabia ndo hapo hata kuwaona huwa hatutaki tena
 
Ni kwasababu tunaanza kwa kutamani kinacho tufanya tuendelee kuwavumilia na kuendelea kuwa nao kwa muda mrefu ni tabia zao, akifeli na kwenye tabia ndo hapo hata kuwaona huwa hatutaki tena
Eiwaaaa!! ndio maana mwanamke ili adumu na huyo kaka lazima awe na vitu vingine vya ziada zaidi ya uchi wake, matiti yake, mapaja yake, matako yake, sauti yake , miguu yake, kucha zake na hata nywele zake. Na baadhi ya sifa hizo ni kuwa na watoto na huyo mume, kuvumilia na kusamehe sana, kumpunguzia mume matumizi ya hovyo, usafi, kupika vizuri, kumsaidia mwanaume kukamilisha miradi/mambo yake kwa wepesi zaidi, nk.
 
Ni kwasababu tunaanza kwa kutamani kinacho tufanya tuendelee kuwavumilia na kuendelea kuwa nao kwa muda mrefu ni tabia zao, akifeli na kwenye tabia ndo hapo hata kuwaona huwa hatutaki tena
Wanaume wazuri called handsome hawataki kujituma wanataka kutumia so ningumu kusonga nao
 
Jaah ndiye nani?
 
Ni kweli uzuri wa sura na umbo unanafasi ndogo sana kwenye ndoa maana hata mtu awe mzuri vipi ukiishi nae baada ya muda unamzoea unamuona wa kawaida kinacho baki kufanya muendelee ni kuheshimiana, kuvumiliana na kuhurumiana ukipata ambae hana hivyo vitu ni ngumu sana kutoboa nae hata awe mzuri vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ