liwaya
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 2,384
- 1,648
MmmmMacho, pua, masikio, ulimi na Ngozi ya mwili huwa vina tabia ya kuchoshwa na kukinaishwa na kuona, kunusa, kusikia, kuonja na kugusa kitu cha aina moja tu kilekile kukiona, kukinusa, kukisikia, kukionja na kukigusa kila mara kwa muda mrefu.
kuonana, kutianam kurambana,m kusaidiana na kuwasiliana hadi pale atakapotokomea kabisa.