Kwanini mwanaume anamchoka mwanamke Haraka?

Sio kwel mm nipo tofaut sana....Love is just like a war easy to start difficult to end 🔚
Kwanza Huwa naogopa kuanzisha mausiano na mtu Kwa kum tricky kumdanganya....

In my life Niwewai kuwapotezea wanawake Zaid ya 20 ambao rafik zangu wamewai kuniambia mbona hizi bahati hatuzipati sisi.....

Kuna siku tuliwai kufanya COUNT DOWN 👇 ya idadi ya wanawake tulio wai kutembea nao mim hata 10 hawafik Kuna rafik angu alifikisha 100 na ushee sex partners....

Mapenzi ya dhati huishi moyoni..ni za tamaa za ngono...
 
Niliposema nzuri sikumaanisha kunukia kama maua
Lakini kuna harufu natural ya uchi iko neutral ambayo si mbaya
 
Wee mzee huyo mwanamke si mligombana baada ya yeye kukudai sjui nyumba umjengee ama kitu gani vile??

Kwahiyo umeshakabidhi nyumba kwa huyo Mamajay wako?[emoji23][emoji23][emoji23].

Daa kwel nyie mapenzi yenu yaajabu hamuachani tu[emoji23][emoji23]
Ukitaka upunguze ugomvi na mamajay usiiguse simu yake. Ushahidi wa namna alivyokuchoka unapatikana kwenye simu yake, na kama unabisha hebu siku moja kuchukua line yake uiweke kwenye simu yako kwa siku nzima ili ushangae na roho yako.
 
Kaka hiyo sio ajabu, ni tabia ya viumbe wote. Kuna madume ya ng'ombe, mbuzi. kuku, faru, mbweha, simba na wengine ambayo hayana uwezo wa kupanda sana majike yao. Kizazi na idadi hiyo jamii ya viumbehai (species) inapungua kabisa hadi kutoweka kutokana na tabia ya madume hao wavivu, wagonjwa na wazembe kwenye ngono. Hiyo sio sifa nzuri kwa mwanaume wa kiumbe yeyote.

Tunataka dume ambalo halilali kwa kusex na majike, hasa yale madume ambayo yana sifa na tabia pendwa. Mbegu ulizopewa kwenye korodani zako ni mabilions kwaajili ya wanawake wengi. Mwanaume kufa ukiwa na mtoto mmoja au wawili ni chukizo hata kwa mungu. Hii inamaanisha ama huna nguvu nyingi za kiume, ama ulikuwa unatembea na mkeo huyohuyo hata kama ana mimba tayari, anableed au hata kama anaumwa.
 
Kiufupi ndoa hazina maana siku hizi, cha msingi kuzaliana tu
 
Na kudanganywa ndo haki yake mwanamke.. ukisema sana ukweli itakula kwako
 
Ila hamna kitu inakata stimu kama kumchoka mwanamke alafu ulale nae... Alaf mbaya zaidi awe anatoa cream na harufu mbaya ya uchi
 
Mkuu
Mke wangu ana nitosha sana sioni SABABU....

Sioni sabb ya kujifananisha na madume ya kuku, Bata,mamba, jongoo, Mbuzi, kondoo, Ngo'mbe, nguruwe, punda....E.t.c
😊🤓

Mbona huja msemea NJIWA na ndege wengine....

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Wasalaam
Kwa Sasa
+267
 
Johari window
I know myself others know me, i dont know myself others know me
I know myself others dont know me, i dont know me others dont know me
I know myself others know me:
Maana yake vile alivyokukuta (tabia, usafi, mavazi, makeups) ubaki hivyohivyo usibadilike
i dont know myself others know me
Maana yake muulize mweza wako 'unanionaje?' hii itakupa room ya kufahamu tabia zako asizozipenda ambazo wewe huzijui.
I know myself others dont know me,
Badala ya kutegemea uzuri na uchi na mavazi, nk ambayo yeye ananifahamu muonyeshe kwamba una vitu, sifa, na ujuzi na vipaji ambavyo unavyo. Mfano, mlikutana tu lakini hajui kama wewe unajua kufuma, kutunza bustani nzuri, kuimba, kusuka, au hata kuigiza pia.

i dont know me others dont know me
Hii ni ile inayoitwa elimu haina mwisho, hujafa hujaumbika au chumba cha mabadiliko hakijai au is not over till it is over. Jifunze mambo mapya kabisa kwaajili yako na kwaajili ya familia. Yaani kama ulikuwa hujui kupika keki nenda kajifunze, kama ulikuwa hujui kiingereza nenda kajifunze, kama ulikuwa hujui kuimba nenda kajifunze ili kuboresha tabia, ujuzi, na thamani yako kwenye jamii, kazini, kwenye familia, kwenye biashara, nk. yaani usiseme siwezi, sijui, never,
 
Sa jiulize hiyo kazi ya kugonga mtu "A" huku unafikiria mtu "B" ni kazi rahisi??
Personally speaking kuna wakat nlikuwa na dem mmoja huyo alikuwa usafi wa uzazi ni changamoto.
Ni bora ningetoboa ukuta ambao haujapigwa plasta, nikaweka kigodoro na mafuta coz nlikuwa sijui kama unaeza gongana huku ukibana pumzi[emoji2961]
 
Chakuzingatia mkeo lazima umfikishe kileleni kila unaposex nae. Na hakikisha kuwa husex nae kila siku kila wakati, lakini kila ukisex lazima afike kileleni.
Bro kuna watu humu ndani hawaelewi hicho unachosema. Infact inasikitisha sana kwa kuwa kiasi kikubwa cha wanaume hawana nguvu za kiume
 
Ila haimaanishi hatakuwa na nyege... We usimkaze uone
 
Mbona mamaJ mwaka wa 4 huu
Kila Akikaa uchi mnara unasoma 5G
Haipiti siku 2 sijaibabua mbususu yake,
Leo kaanza P,mpk amalze nyege ztaniua
Mkuu humu ndani kuna mchanganyiko mkubwa wa watu na tabia zao. WAZINZI wapo humu. Na hawa ndio wanaowakinai wake zao. Wavulana wapo humu. Vijana wanaotaka kuoa lakini hawajajua wa kumwoa na WAPO KWENYE UCHUMBA SUGU na mabinti kadhaa wote amewaambia atawaoa wapo humu. Sasa sisi ambao macho yetu hayakinaishwi na wake zetu naona uzi huu umetupita kushoto. Tamaa ya fisi ni mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…