Kwanini mwanaume mwenye wake wengi halali nao sehemu moja?

wanavurugana kivipi wakati mmeshakubaliana? Kipato kinashuka kwa sababu zipi? Yaani umefika kutoa hitimisho bila sababu?!
Wanavurugana sababu zipi wakati mlikubaliana?
Kuna majibu unayatafuta kijana. Mimi sinayo hayo.
 
Mfano nikihangaika na kupata kiasi Fulani Cha pesa baada ya kuwaza ktk uwekezaji niwaze kuongeza mke wa pili au watatu... .kipindi nawaza hayo wenzangu wanawaza juu ya rasirimali zetu kama madini, ardhi yenye rutuba na gesi
Lakini maelezo yapo wazi ni mtu mwenye uwezo kwa kipato ndio anapaswa kufanya Kuna tatizo gani hapo na kuchukua rasilimali?
 
Brother ulimwengu huu wa digital unataka nikupe takwimu kweli
tatizo si ulimwengu huu. Tatizo hata mm naambiwa mbona wengi huko wana wake wawili. Sasa ili kujitofautisha takwimu ni muhimu mzee. Yaani natamani kukuelewa lakini nashindwq kuamini maneno matupu. Nisaidie mkuu takwimu
 
Pitia kwenye mitandao mbalimbali mbona simpo tu
 
tatizo si ulimwengu huu. Tatizo hata mm naambiwa mbona wengi huko wana wake wawili. Sasa ili kujitofautisha takwimu ni muhimu mzee. Yaani natamani kukuelewa lakini nashindwq kuamini maneno matupu. Nisaidie mkuu takwimu
Pitia Hapa unaweza okota kitu
 
kwani mwanaume anapoenda kuoa Mke wa pili dini si inasema lazima Mke wake aridhie? Sasa kama karidhia kwanini wasilale pamoja na mume wao? Hawazungumzi lugha moja kvp ?
Nchi hii inawajinga wengi sana. Dini ipi inasema hvyo?
Kwanini usimuulize huyo jirani yako? Kila kitu jamii forums ina maana saizi vijana hamna uwezo kufikiria wenyewe
 
Ni dhambi kutizama utupu wa binadamu mwenzio.

Sasa ukilala nao wawili hao wanawake watatizamana tupu zao 🥴🥴
 
wakuu wasaalamu.
Kama kichwa cha Habari kinavyosema. Nimeona wanaume wengi sana wenye wake zaidi ya mmoja, Lakini kitu kinachonishangaza Hawa wanaume utakuta Mke mkubwa anaishi wilaya hii mwingine wilaya nyingine, au wilaya moja lakini mbali mbali! Na kabla hajaoa alimtaarifu Mke wake.

Nichukulie mfano hapa ninapoishi kuna sheikh mmoja hivi ana wake wawili. Hii nyumba ya hapa ni nyumba kubwa tu yenye nafasi.

Lakini Alipo oa Mke wa pili akaenda kumtafutia sehemu nyingine huko maeneo ya chanika.

sasa kwa wajuzi naomba kujua Kwanini kama ni halali dini inaruhusu na uwezo anao Kwanini asilale nao chumba kimoja?

Kwanin wengi huwa hawakai pamoja?
Karibuni
Kulala na mke chumba kimoja kosa kubwa.
 
kwani mwanaume anapoenda kuoa Mke wa pili dini si inasema lazima Mke wake aridhie? Sasa kama karidhia kwanini wasilale pamoja na mume wao? Hawazungumzi lugha moja kvp ?
Ni dhambi kutizama utupu wa binadamu mwenzio.

Sasa ukilala nao wawili hao wanawake watatizamana tupu zao 🥴🥴
 
Je umejiuliza kuwa, vipi kama hao wanawake wawili wasipokuwa na maelewano????? (hawazungumzi lugha moja)
Kwanini watofautiane wakati ni halali kidini!? Kwamba dini iliidhinisha jambo ambalo lina ugumu kiasi hicho (lisilowezekana)?
Hapa ndo nnapoamini NDOA NI MKE MMOJA MME MMOJA
 
Pitia Hapa unaweza okota kitu
hapo sasa mekupata. Lakini wanasema aya hiyo kipindi hicho kulikuwa na vita katika jamii nyingi za kiarabu hivyo wanawake wengi wakibak wajane ndio maana ikapitishwa hiyo sheria mwanaume mwenye uwezo kuoa mwanamke zaidi ya mmojaz kwahyo primary reason ilikuwa ni kuwastiri wanawake wajane ambao waume walikuwa wakifariki katika vita na sio rasilimali za afrika kama sisi tunavyosema.
Lakini kabla ya kufika muarabu ni kwel wazee wetu walikuwa hawaoi wake wengi?
 
Wanafanya vile (kuwapangia seheme tofauti tofauti) kwa sababu ya kuhofia wivu na kutaka kutupiana majini
Kwahiyo dini ilihalalisha jambo linaloleta vurugu na migogoro ndani ya ndoa!? Kama ni halali kidini kwanini watofautiane na kutupiana majini?
Hili jambo lina ukakasi
 
hapo sasa mekupata. Lakini wanasema aya hiyo kipindi hicho kulikuwa na vita katika jamii nyingi za kiarabu hivyo wanawake wengi wakibak wajane ndio maana ikapitishwa hiyo sheria mwanaume mwenye uwezo kuoa mwanamke zaidi ya mmojaz kwahyo primary reason ilikuwa ni kuwastiri wanawake wajane ambao waume walikuwa wakifariki katika vita na sio rasilimali za afrika kama sisi tunavyosema.
Lakini kabla ya kufika muarabu ni kwel wazee wetu walikuwa hawaoi wake wengi?
Soma hizo data vizuri Kuna swali nitakuuliza
 
Back
Top Bottom