Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

Hata huyo Shaka ukimfuatilia utakuta kuwa wamekuja zenji baada ya mapinduzi. CCM zanzibar, 98% ni watu wenye asili ya bara. Wazanzibari asili wamekataa kabisa masuala ya muungano ndio maana kila kukicha tunaletewa jeshi na nyimbo ya mapinduzxi daima.
 
Shaka asili yake ni Oman
 
Itakuwa ni Zanzibar na Oman
Technically, Zanzibar inaweza ikaamua leo kucheza deal na Oman, Iman ikaandaa Mkataba ikijifanya ndiyo ile nchi nyingine iliyoingia Mkataba na Zanzibar kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mkataba huo ukakubalika katika UN.
Maana Tanganyika hawainekani, wala hawana Mkataba wowote ule, unaozungumzia kama imeshiriki kuunda Muungano.
Hii nchi kamasikhara tu kuna siku itaamka na kujikuta watu wake wote ni wakiloni wa ncho fulani.
 
Mtu anakuwaje raia wa wilaya ya Mkuranga??
Aaah hizo mbwembwe tu za uandishi mkuu, ila point ni kwamba ni mtu wa huku bara. Wengi wameelewa. Mara nyingi tu unamkuta mchaga au msukuma Dodoma unamwambia naona umeshapewa uraia wa Dodoma.
 
Back
Top Bottom