Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Ndio mumechaguwa watu wawili kutoka watu milioni 60??Ndio maana tunasema ninyi mnaakili kisoda kwa uandishi huo kweli Zanzibar ni wajinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mumechaguwa watu wawili kutoka watu milioni 60??Ndio maana tunasema ninyi mnaakili kisoda kwa uandishi huo kweli Zanzibar ni wajinga
Raisi wa Zanzibar wa sasa, Dr. Hussein Mwinyi ni raia wa wilaya ya Mkuranga na baba yake aliamuru akifa azikwe Mkuranga wakaona aibu(karma itawalipa). Ila point yako imeeleweka vizuri, huu muungano ni feki hata wao wanajua tu.
Acha kumiliki matako badala ya kichwa unayapa mabega kazi nzito.Yaani wenyewe mmeona ndio point ya kushikilia hapo!
Kila nikiliona hili tangazo napata jazba sana mpk natamani nimvamie mpemba aliyepo hapa jirani kwangu.
Bila shaka umeelewa mantiki ya swali languMiaka mingi tu.
Je, una swali lingine?
Mwinyi ni raia wa Mkuranga, Zanzibar ni kwa mkewe mama Siti Mwinyi. Na yeye anamiliki ardhi Zanzibar.Ukoo wa mwinyi upo zanzibar kule. Mkuranga kanua ardhi tu.
SureZanzibar watakua walitukopesha hela nyingi sana hata hatuwezi kuwalipa na sasa kiufupi Tanganyika ni koloni la Zanzibar, ukibisha bisha na facts.
Huu muungano siutaki hata kidogoUkweli huu muungano una maswali mengi kuliko majibu. Sijui kuna nini chini ya kapeti. Kwa sababu kwa ninj isingeamuliwa tuwe na nchi moja tu? Au tuwe na serikali za majimbo.
Mbona yupo mwenda kamishina wa ZRAMnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
View attachment 2978848
Hussen Mwinyi amezaliwa Zanzibar.Mwinyi wa Mkuranga ni Rais wa Zanzibar.
Kuna syndicate mbaya sana inaendelea Kilosa, uporaji wa ardhi usishangae uksikia hawa ni mawakalaMnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
View attachment 2978848
Wanajua Zanzibar hakuna ardhi ya kutosha.. wanasambazwa wawe sehemu ya udalali wa kununua ardhi TanganyikaKuna syndicate mbaya sana inaendelea Kilosa, uporaji wa ardhi usishangae uksikia hawa ni mawakala
Ipo siku watajua kuwa hesabu zao hazikuwa sahihiWanajua Zanzibar hakuna ardhi ya kutosha.. wanasambazwa wawe sehemu ya udalali wa kununua ardhi Tanganyika
Ndio maana unaona Teuzi zao za huku Tanganyika