Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?


Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar akielezea kwanini mtanganyika haruhusiwi kumiliki.
 
Ukoo wa mwinyi upo zanzibar kule. Mkuranga kanua ardhi tu.
Raisi wa Zanzibar wa sasa, Dr. Hussein Mwinyi ni raia wa wilaya ya Mkuranga na baba yake aliamuru akifa azikwe Mkuranga wakaona aibu(karma itawalipa). Ila point yako imeeleweka vizuri, huu muungano ni feki hata wao wanajua tu.
 
shaka huko kilosa atakuwa ameshusha moyo wa kufanya kazi, Lisu kiboko.. Na akipita kilosa akaweka kambi sijui itakuwaje? jamaa asijaribu hata kuzuia mikutano ya lisu maana atapayuka hadi za chini ya uvungu...lisu ameamua kuwaeleza watanzania ili tu wajue...kuamua ni juu yao.
 
So sad kwamba hakuna mwanaume yeyote mtanzania mwenye akili aongoze nchi mpaka nchi iongozwe na mzanzibar tena mwanamke
Sio kwamba nawadharau wanawake but mwanaume kaumbwa kuwa kiongozi hata dini zote zinaonesha hivyo, ili shetani afanye kazi anategemea sana uwepo wa wanawake kwenye nyadhifa za maamuzi
So sad
Yaani kwa hili mpaka magufuli namchukia
 
Huu Muungano wa kipumbavu muda sio mrefu tutauvunja hata Kwa mtutu itakapobidi.
 
Kuna syndicate mbaya sana inaendelea Kilosa, uporaji wa ardhi usishangae uksikia hawa ni mawakala
Wanajua Zanzibar hakuna ardhi ya kutosha.. wanasambazwa wawe sehemu ya udalali wa kununua ardhi Tanganyika
Ndio maana unaona Teuzi zao za huku Tanganyika
 
Wanajua Zanzibar hakuna ardhi ya kutosha.. wanasambazwa wawe sehemu ya udalali wa kununua ardhi Tanganyika
Ndio maana unaona Teuzi zao za huku Tanganyika
Ipo siku watajua kuwa hesabu zao hazikuwa sahihi
 
Uporaji wa Ardhi na maeneo unaofanywa na Viongozi wa Asili ya Zanzibar walioteuliwa huku Tanganyika nani yupo Nyuma ya mpango huu wa Udalali?
 
Back
Top Bottom