Kwanini ndugu wa mwanamke mara zote hukaa kwenye familia kuliko ndugu wa mwanaume?

Kwanini ndugu wa mwanamke mara zote hukaa kwenye familia kuliko ndugu wa mwanaume?

Kuna mwingine hadi mwanamke kwa zengwe lake tu mama mkwe mgonjwa asikae kwake, alipelekea mama kafa kwa presha. Jamaa hadi kesho anajua alitesababisha kifo cha mama yake ni mke wake.
Ukiona mwanamke haelewi bora uwaweke mbali tu ndugu.
Vyanamke vingine unakuta dini ulokole hashikiki wala hakaambiliki lakini kana roho mbaya kama koboko. Ndugu wa mume hagusi. Anakata na ukoo wako usipojitambua.
Ogopa sana mwanamke anayejiita mlokole 😭😭
 
Wanawake tutabisha tu...lakini wanawake ni wabinafsi mchawi akasome
Na ndo maana Adam alipotoa gap tu Hawa kwa ubinafsi wake akaimbishwa na nyoka akakolea Adam naye kwa kumpenda mkewe akaingizwa king aisee God fundi hakukosea alipotuagiza tuishi nanyi kwa akili. Na mnavyotuwaziaga kuanza kufa 🤣🤣🤣 dah yaan
 
Hao ndugu wanatafuta nini kwenye familia za watu?
Unauliza tatizo nini, tatizo ni hao ndugu! Ukihamia kwenye familia ya watu lazima ujue wewe ndo tatizo, maana unaenda kuvuruga utaratibu wao waliojiwekea!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja nzuri, ila tunajiuliza kwa nini kama wakiamua kuja. Watakaotoboa ni wa upande wa mama mwenye nyumba zaidi
 
Upande wa mwanaume kutoboa labda mume nae awe mbabe kama wazee wetu wa zamani. Lakini pia zama hizi sioni sana ndugu kukaa kama zamani. Zamani unakuta nyumba imejaa kama kajiji flani hivi kumbe mjomba, mtoto wa baba mdogo mara mtoto wa dadako mara mdogo wa mke mara ndugu gani huko.....sahivi naona wengi wanaishi kisasa sana, ile socialism imekufaa
 
Back
Top Bottom