Kwanini ndugu wa mwanamke mara zote hukaa kwenye familia kuliko ndugu wa mwanaume?

Kwanini ndugu wa mwanamke mara zote hukaa kwenye familia kuliko ndugu wa mwanaume?

Uzoefu unaonyesha katika familia nyingi ndugu wa mwanamke ndio anaweza kutoboa na kuishi kwa amani kwenye familia nyingi. Ndugu wa mwanaume ni mara chache sana, tena wanaishi kwa kufosi.

Tatizo huwa ni nini?
Mwanaume anakuwa dominated na eneo dogo sana lisilozidi hata 10 cm2 akileta za kuleta anadondokea nje
Nadhani umenielewa
 
Kwa Sababu ndugu wa mwanamke Huwa anaheshimu wote yaan ndugu Yao(mwanamke) na baba mwenye nyumba ila ndugu wa mume Huwa wanamheshimu mwanaume tu. Yaan ndugu wa mume Huwa wanahisi baada ya ndugu Yao wanaofuata ni wao then mke wa ndugu yao anakuja mwisho.
 
Sitosahau ndugu yake mkewangu alikuja huku kwangu nikajua kaja kututembelea tu sasa nashangaa tu siku zinaenda hatoki,nikinunua hata papai kwa ajili ya mwanangu na yeye anakula bila aibu,halafu ukifikiria ana miaka 28 nambaya zaidi ni mwanaume, kuna siku dogo akajichanganya akafumaniwa na mke wa mtu chooni kwahao wanandoa aisee walimpiga sana wakampeleka ofisini tukaongelea sana akatozwa laki 8 nikiwapigia kwao mama yake anadai sina pesa kama vipi wamfanye chechote kile
 
Usipokuwa na taa ya Mungu rohoni hali ndo huwa kama hivi,

Kuwachukia ndugu na jamaa pasipo na sababu ya msingi. Roho ya choyo ni machukizo kwa mwenyezi Mungu.
Mbona unabadilisha maneno? Kuna mahali nimesema nachukia ndugu? Tabia mbaya sana kubadilisha maneno ya mtu na kujitungia yako [emoji4][emoji4] hii ndio wale tunasema umbea ambao watu wanasutwa
 
Uzoefu unaonyesha katika familia nyingi ndugu wa mwanamke ndio anaweza kutoboa na kuishi kwa amani kwenye familia nyingi. Ndugu wa mwanaume ni mara chache sana, tena wanaishi kwa kufosi.

Tatizo huwa ni nini?
Iko hivi wakati mwingine tunajudge isivyo.Ndugu wa mwanamke siku zote atajiona nipo ugenini kwa kuwa ni kwa shemeji hivyo atakua humble kidogo na wa kiume kwa kaka anapaona ni kwake hivyo kutaka kuwa na mamlaka jambo hilo huwaudhi sana akina mama na chuki huanzia hapo.Japo yapo mazingira ambayo ubinfsi hutangulia zaidi
 
Mbona unabadilisha maneno? Kuna mahali nimesema nachukia ndugu? Tabia mbaya sana kubadilisha maneno ya mtu na kujitungia yako [emoji4][emoji4] hii ndio wale tunasema umbea ambao watu wanasutwa
Kutotaka wasije kwako hiyo ni chuki na choyo juu, na aghalab masikini ndo huwa na roho za namna hiyo sababu ya ufinyu wa bajeti zao.
 
Uzoefu unaonyesha katika familia nyingi ndugu wa mwanamke ndio anaweza kutoboa na kuishi kwa amani kwenye familia nyingi. Ndugu wa mwanaume ni mara chache sana, tena wanaishi kwa kufosi.

Tatizo huwa ni nini?
Huwa wanakaa hapo sana ili watumike kama substitute ya ndugu yao anayehenyeshwa usiku kuhudumia mahari wsliyopokea.

Hayo tu mkuu🤣
 
Hizo sio mila zetu ni mila za wazungu. Waafrica kukaa pamoja na kutembeleana ni mila tumedumu nazo tokea tuje duniani
Hatukatai kutembeleana, issue inakuja unataka ukae kwa watu permanent, Bora angalau uende kimasomo, au kusikilizia mchongo Fulani, lakini hii unakuja kukaa kwa ndugu permanent kama kwenu sio poa.
 
Hatukatai kutembeleana, issue inakuja unataka ukae kwa watu permanent, Bora angalau uende kimasomo, au kusikilizia mchongo Fulani, lakini hii unakuja kukaa kwa ndugu permanent kama kwenu sio poa.
Aisee ni nani huyo anakuja kuishi kwa ndugu permanent? Yaani anakuwa yupo tu bila shughuli na hujamuita! ? Hii mbona km haingii akilini
 
Back
Top Bottom